SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Habari za jioni wanakijiji cha Luhila

Nimesikitishwa sana na kitendo cha mama Hilda kwakweli ni kitendo cha aibu mno, lakin mzee njogopa ametuaibisha wanaume.

pongezi ziende kwa mzee Mabula ametuwakilisha vema

wenu mwenyekit
sisi kama timu talib tunasema alichofanya mama mkwe ni cha kiungwana kabisa
 
sisi kama timu talib tunasema alichofanya mama mkwe ni cha kiungwana kabisa
Sasa timu Twalib na Team Idd mmeungana, mtapokea posho yenu kwa pamoja, nyie jichanganyeni muende kwa mzee Mahamoud Baba mkwe wetu hatutawaacha salama hakika
 
Hapo kwa mwarabu tunaenda kuchukua mzigo wetu tunasepa zetu south
ngoja ngumi ziwake mchapane wenyewe kwa wenyewe akina Vitusi na Zindo watakubali? kumbeki simu ya ushahidi iko kwa Soraya msijizime data mapema
 
Back
Top Bottom