mhanuzi wangu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 290
- 254
Nipo macho kusubili hyo bonus mkuu, Fanya kweli.Au tuanze nayo asubuh tu

Tilte inavutia nitasoma baadaeTEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA KWANZA
MTUNZI Mbogo EDGAR
Story inaanza mwaka 1997, week ya kwanza ya mwezi wa tano mida ya saa moja jioni kama sio usiku, maana giza lilishatanda mashariki mwa mji wa songea mkoani Ruvuma, kwenye kitongoji kikubwa sana cha Luhuila mtaa wa Luhuila B, mtaa ulionekana kuchangamka hasa sehemu zenye vilabu vya pombe za kienyeji ambazo hunyweka sana mtaa huu, ambao kwa miaka hiyo ulikuwa unakaliwa na watu wenye kipato cha chini, japo ni kilomita chache toka mjini lakini palikuwa panaonekana kama vile kijijini kutokana na kutawaliwa na nyumba nyingi za hali ya chini ambazo nyingi kati yake hazikuwa na umeme,
Nje ya duka moja la pekee katika mtaa huu wa luhuila B, maarufu kama kwa Frank wa dukani, walionekana watu wengi wakipata mahitaji yao dukani hapo kwa bwana Frank, lakini ukizunguka nyuma kidogo ya duka hilo kwanza tuna kutana na baiskeri ikiwa imelazwa chini, na tukitazama pande wa ukuta wa duka hili tunaweza kumuona kijana mmoja mdogo mwenye umri wa miaka kumi na sita alievalia uniform za shule ya sekondari ya luhuwiko, akiwa amekaa chini kwa kujiegemeza kwenye kiambaza cha duka hilo upande wa nyuma akifichwa na giza akiwa katika hali ya utulivu uliopitiliza, akionekana wazi kujawa na mawazo fulani yaliyo uchonyota moyo wake, na ukimwangalia usoni kwa umakini unagundua kuwa kijana huyu mdogo alikuwa analia kimya kimya, huku mkoba wake wa daftari ukiwa umekaa pembeni yake akionyesha kuwa toka amerudi shule hakuwa ameingia nyumbani kwao, “sijui nime mkosea nini Hilda?” alisikika kijana huyu mdogo akijiuliza kwa sauti ya chini iliyo ambatambatana na kilio cha kwikwi, akionyesha machungu makubwa moyoni mwake.
Ukweli ni kwamba, kijana huyu mdogo anaitwa Higgy kama wenzake hapa shuleni wanavyo penda kumuita, ila kwa wale wanao mfahamu, wanapenda kumuita Higgy wizzy, ila jina lake la kwenye cheti cha kuzaliwa ni Higgno Frank, alikuwa ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekodari ya Luhuwiko, ni kijana ambae alijizolea sifa ya kuwa na sifa nzuri pale mtaani kwako hata shuleni kwao, pia higgno licha ya kuwa na umbo zuri la kiume na sura ya kitanashati pamoja na usafi wa mavazi na mwili tofauti na vijana wengi wa umri wake na walio mzidi waishio luhuila, pia alikuwa msikivu na mwenye nidhamu ya hali ya juu, hakujivunia hali ya uafadhari ya wazazi wake, ambao walionekana kuwa na fedha nyingi baada ya kumiliki duka, aliheshimu kila mmoja na aliongea na kila mmoja tofauti na vijana wengine wakipindi hicho, hata pale mzazi wake anaponunua baiskeri basi ange tembea kifua mbele na dharau nyingi kwa watu wote.
Leo kijana Higgno alikuwa analia kwasababu ya mapenzi, penzi la mschana Hilda Komba ambae ni mwanafunzi mwenzake luhuwiko sekondari, anaeishi jirani yao nyumba ya tatu toka hapo kwao, ukiachilia yeye Higgno na mschana Hilda kuwa wanafunzi pekee toka shule ya msingi Luhuila kwenda kusoma sekodari ya kulipia, baada ya wao na wenzao kufeli mtihani wa darasa la saba na wenzao kukosa watu wa kuwa lipia kwenye shule binafsi, pia wawili hawa walianza urafiki mwaka mmoja uliopita, wakiwa darasa la saba, ilianza taratibu kwa Hilda kujenga mazoea kwa Higgno, akimptia wakati wa kwenda shuleni na kumsubiri wakati wa kurudi, huku wakati wa mapumziko Higgy akimnunulia mschana huyu vitu vidogo vidogo kama bagia bumunda na kashata, hivyo ndivyo vitu ambavyo vilimfanya mschana huyu ajenge urafiki kwa Higgno, ambae alikuwa na uwezo wa kupata fedha ndogo ndogo kuanzia shilingi moja mpaka mia mbili toka kwa baba yake.
Naam siku zilienda urafiki wake na Hilda ukizidi kukuwa, kiasi kwamba kila mtu pale mtaani kwao alihisi kuwa vijana wale walikuwa wana peana dudu, hata wazazi wao walianza kutilia mashaka urafiki ule, japo kwa upande wa wazazi wa Higgno wao hawakuwa wakali, lakini kwa upande wa Hilda walikuwa wakali sana, ilitokea hata siku moja mzee Komba alienda nyumbani kwa mzee Frank na kuongea kwa ukali akimuonya mzee huyo kumkanya mwanae akae mbali na binti yao, lakini walipo gundua kuwa binti mwenye ndie mwenye kimbele mbele wakaacha yaendelee, maana pia walijiridhisha kuwa wawili hawa hawakuwa katika mahusiano ya kimapenzi, ukweli kijana huyu ambae toka amebarehe hakuwahi kuonja kitumbua zaidi ya kumaliza haja zake ndotoni, alijikuta akiaza kupata hisia za mapenzi juu ya mschana Hilda.
Yap mwaka uliisha na wakajikuta wakiwa ndani ya darasa moja katika Luhuwiko sekondari, huku urafiki wao ukizidi kushamili kiasi cha baadhi ya wanafunzi wakihisi wawili hawa ni mtu na mpenzi wake, hasa kutokana na tabia mpya ambayo Hilda aliianzisha, ukiachilia ile tabia yao ya zamani ya kuongozana kwenda na kurudi shuleni ambapo sasa walitumia baiskeri mpya ambayo mzee Frank alimnunulia mwanae, Hilda alianzisha tabia ya wivu kwa Higgno hakutaka amuone akiwa anaongea au ameongozana na mwanafunzi mwingine wakike na ukweli ni kwamba japo Higgno mwenye muonekano wa mvuto kwa mschana wengi pale shuleni, hakuonekana kuhangaikia mschana yoyote, japo walikuwepo waschana wengi wazuri na warembo, ambao ukiwatazama kwa wasi wasi unaweza kusema kuwa waschana wenye kazi zao za maana wamekuja kujiendeleza kielimu.
Ukweli kadiri siku zilivyoenda ndivyo hisia za mapenzi kwa Higgno zilipoanza kuibuka na kujikuta akimtamani Hilda, hata siku moja kabla hawaja funga shule likizo ya pasaka akaamua amueleze ukweli juu ya upendo wake kwake, ilikuwa mida ya saa kumi za jioni wanatembea taratibu kwenye njia nyembamba itokayo barabara kuu ya matogoro kuelekea kwenye mto wa kuvukia mtaani kwao Luhuila, huku Higgno akiwa nyuma anakokota baiskeri, “Hilda unajua pale shuleni kuna watu ni wapenzi?” hivyo ndivyo alivyoanza kuongea Higgno, “najua sana, tena wapo wengi” alijibu Hilda aliekuwa ametangulia mbele huku anajichekesha.
Hapo kikapita kimya kifupi, huku kelele za vyuma vya baiskeri na nyayo za viatu vyao vikisikika, ni kama Higgno alikuwa anahesabu ili ikifika tatu, alitoe la moyoni, lakini akashindwa, “unajua watu wanadhania kuwa wewe ni mpenzi wangu?” aliuliza tena Higgno, huku anajichekesha ikiwa ni mzunguko wa kutafuta njia ya kufikisha ujumbe wake, “hata mimi wananiambiaga hivyovyo” alijibu Hilda, huku anacheka chake kama mwanzo, kikapita tena kimya kifupi, safari hii wote wakijichekesha kama machizi, “tena hata mama yako alidhaniaga mimi na wewe ni wapenzi” alisema Higgno huku akicheka cheka sambamba na Hilda, “kwani we hupendi wanavyosema hivyo?” aliuliza Hilda safari hii akigeuka na kumtazama usoni Higgno, hata macho yao yalipokutana wote walishindwa kuendelea kutazamana na Hilda akatazama mbele na kuendelea kujichekesha, “mi napenda, wewe je hupendi?” aliuliza Higgno na hapo mara moja Hilda akajibu, “napenda sana, kwani mwenzio wakiniulizaga kule shuleni wakina Joan nawaambia wewe ni mpenzi wangu” alisema Hilda huku anacheka cheka.
Hapo kikapita kimya kifupi, ni kama kila mmoja alikuwa anatafuta la kumueleza mwenzie, ambapo Hilda ndie aliekuwa wa kwanza, “tena tukifika form two tutaanza kufanya” nikama alikuwa anashauri, na hilo ndilo lilikuwa kama agano, lililotolewa siku ya kwanza walipokubaliana kuwa wapenzi, na kuanzia siku hiyo mapenzi yao nikama yalizidi mara mbili, kila mmoja akishangazwa na urafiki wa wawili hawa ambao sasa hata waliporudi toka shuleni walikutana nyumbani kwa kina Higgno au hata njiani na kuongea mengi kisha kuagana kwenye mida ya saa mbili au saa tatu, hata Hilda alipoulizwa juu ya hilo alisema alikuwa anajisomea kwa akina Higgno, na wazazi wake yani mzee Komba na mke wake hawakuwa na wasi wasi.
Higgno anakumbuka week moja baada ya kufungua shule, mida ya saa nne akiwa amesimama na wenzake wa kidato cha kwanza, anapiga soga (maongezi ya porojo) mala wakaja vijana wawili, Vitus na Talib, ukiachilia umaarufu wa Talib, pia mwanafunzi huyu wa kidato cha nne, alikuwa ni mmoja wa vijana wanaliotokea kwenye familia tajiri, yeye akiongoza kutokea kwenye familia tajiri zaidi pale mkoani, familia ya Mahamud, mwarabu tajiri mkubwa mwenye kumiliki gari mengi ya abria yaliyokuwa yanafanya safari zake mikoa ya Mbeya Iringa, Lindi na Mtwara mpaka huko newala, pia alikuwa ndie tajiri wa kwanza kuleta usafiri wa daladala pale songea mjini, na alikuwa ana daladala zipatazo kumi na nane, ukiachilia hivyo pia alikuwa anamiliki magari ya mizigo yenye kuvuta behewa, la kati na yale ya kitoto, yaani sem trellar na zile za pooling.
Ukiachia hivyo pia alikuwa anamiliki maduka makubwa ya nguo na viatu ya jumla na reja reja, na alikuwa anamiliki magari ya kifahari ya kutembelea yeye na familia yake, ambayo katika gari la gharama ya chini kabisa ni Hyundai ambalo lilikuwa linampeleka na kumrudisha Tarib shuleni, japo kuna baadhi ya watu walisema kuwa Talib hakuwa mtoto wa Mahamud, ila alikuwa anamuita mjomba wake, ikiwa ni kwamba Talib alikuwa ni mtoto wa kaka wa mke wa Mahamud, “nyie Njuka (jina ambalo wanafunzi wakorofi ulitumia kwa form one) mnafanya nini hapa” aliuliza Talib kwa sauti ya kivivu, kama yya mtu alie zidiwa na kilevi iliyo ashiria dalili zote za ukorofi, na wakina Higgno wakageuza shingo zao kuwatazama wawili hawa, ambao licha ya kuwa na sifa ya kuishi kifahari hapa shuleni, pia walikuwa na sifa ya kushiriki kwenye matukio mabaya ya kiovu, ambayo kama sio heshima ya mzee Mahamud, ambae ni mtu mwema mwenye kujari watu, basi Talib asinge kuwepo hapa shule na pengine kufungwa kabisa, “oyaaa Talib una mfahamu huyu dogo?” aliuliza Vitus, akimtazama Higgno kwa macho yake ya kivivu, ambayo usinge jiuliza mara mbili kuwa ametoka kuvuta bangi, Talib nae akamtazama Higgno, ambae pia alikuwa anamtazama, ukweli Talib hakuwa na dalili wala chembe ya kwamba ametokea kwenye familia ya kiarab, nadhani ndio maana hata watu wanasema Mahamud hakuwa baba yake ila ni mjomba wake, “kweli bwana huyu dogo si ndio yule anae ongozana na kile kidemu” alisema Talib, huku akiachia tabasamu fulani la ajabu, ambalo lilifanya meno yake meusi kwa moshi wa sigara na bangi yaonekane, “ndiyo huyu dogo wa kibaskeri” alisema Vitus, ambae kikawaida anatokea kwenye maisha ya chini, lakini urafiki wake na Talib ni kwaajili ya mambo mawili, Talib humtumia Vitus kumtafutia bangi, ambayo yeye huipata kirahisi sana nyumbani kwao lizaborn, wakati urafki wa Vitus kwa Talib ulikuwa ni wa fedha, maana Vitus alikuwa na uhakika wa kupata kila kitu anacho hitaji, pengine hata waschana wazuri aliwapata kwa kuptia urafiki wake na Talib.
Talib aliweka mkono wake wa kulia kwenye bega la Higgno, “dogo yule demu wako lazima ni mtomb..” alisema Talib kwa sauti ile ile ya kivivu, huku macho yake yakiwa kama yamezidwa na usingizi…. NAAM!! NINI KILITOKEA. BASI TUWE PAMOJA NATAKA KUWALETEA SEHEMU YA PILI YA SIMULIZI HII MPYA YENYE KISA CHA KUSISIMUA HAPA HAPA JAMII FORUMS
Hapa safi, ngoja niisome sasaTEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA THEMANINI
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA SABINI NA TISA: alisema Mahamud na hapo Higgno akasimama na hapo mama Soraya aliekaa karibu kabisa na mama Hoggno aliekuwa anatokwa na mchozi kwa sifa alizopewa mwanae, mama Soraya akatoa macho ya mshangao, na kujikuta amesha nongo’ona, “mungu wangu, kumbe ni huyu Higgno, hakika mungu huwajalia mema wale walio wema, mwenyezi mungu ni samehe” alisema mama Soraya na kumfanya mama Higgno, amtazame kwa mshangao…… ENDELEA……..
Lakini akamuona mama huyu ambae anaweza kuwa ndie mke wa tajiri mkubwa kuliko mwanamke yeyote hapa mkoani Ruvuma, akamuona ametoa macho ya mshangao kumtazama Higgno ambae alikuwa amesha simama huku tabasamu likishamiri katika uso wake wa upole, “asalaam alaykum” alisalimia Higgno kwa sauti tulivu ya upole huku tabasamu likiwa limeendelea kushamili usoni mwake, “waalaykum salam” waliitikia watu wote waliokuwepo mule ndani, sura zao zikichanua kwa matabasamu ambayo yalionyesha kupendezwa na sifa ambazo kijana huyu alipewa na Mahamud mwenyewe, na kilicho wavutia wengi ni kitendo cha kukataa kumchumbia binti wa mzee huyu tajiri licha ya kuahidiwa maisha mazuri, mama Soraya akamtazama binti yake akamuona anamtazama Higgno kwa macho fulani ya kipekee, japo ilikuwa vigumu kwa wengine kulifahamu hilo, kwasababu alikuwa amevaa niqab, na akiwa bado anamtazama binti yake mama Soraya akamuona Soraya anaondoa macho yake kwa Higgno ambae hakuwa anamtazama na kumtazama yeye, na macho yao yalipokutana akatazama chini kwa aibu ya kike, “napenda kutoa shukrani zangu kwa mzee Mahamud na familia yake, ambayo kiukweli naweza kusema sijajutia kuifahamu na siwezi kujilaumu kumsaidia mzee Mahamud kupambana na wale jamaa siku ile” alisema Higgno kwa sauti yake ile ile ya upole, ambayo ilimvutia kila mmoja mule ndani huku wakimsiliza kwa umakini, “nasema hivyo kwasababu nilipoamua kumsaidia mzee Mahamud toka kwa wanyang’anyi, siku tegemea kama nitapewa heshima kama hii katika sehemu kama hii, hivyo siwezi kulinganisha na msaada nilioutoa kwa mzee Mahamud, ambao umekuwa mdogo sana ukilinganisha na heshima aliyonipa mbele ya watu wake katika siku muhimu ya binti yake” hapo kila mmoja akakubali kwa kuitikia kwa kichwa, huku baadhi wakipiga makofi ya kumpongeza kijana huyu, “ina maana ni kweli hajui kuwa mwanamke mwenyewe ni Soraya, na mchumba wake ni yeye” aliwaza mama Soraya safari hii kimoyo moyo, japo uso wake ulionyesha mshangao wa wazi, “kitu nadhani hata mzee Mahamud na familia yake hawajatambua pia na wao wametoa msaada mkubwa sana katika familia yangu, ni juzi tu baba ameunguliwa na duka lake na mumemsaidia kulirudisha duka lake, hii ni tosha kuwa hata ningepoteza maisha yangu wakati nakusaidia mzee wangu, damu yangu ingekuwa imeenda mahali pazuri” alisema Higgno, na hapo kila mmoja akaonekana kusisimkwa kwa maneno ya Higgno, hata wazazi wake walishangazwa na busara za hali ya juu alizo zionyesha Higgno, ambae alimaliza maongezi yake na kukaa chini akiwa amesahau kujitambulisha jina lake.
Naam hapo ndipo mjomba akasimama, “sasa nimeelewa kwanini shemeji yangu alipenda huyu kijana awe mkwe wake, hakika wazazi wa kijana huyu wamebahatika kupata zawadi kubwa sana, ya kuwa na kijana kama huyu” alisema mjomba na kila mmoja akaunga mkono maneno yale huku wengine wakikosoa kuwa haikuwa vyema kusema maneno ya kuwa alitamani kijana huyu ndie angekuwa mkwe wake, maana yangemvunja moyo mwanaume ambae anakuja kutambulishwa kuwa mchumba wa binti yao, “sasa nadhani tunaenda kuanza ratiba yetu, wageni waruhusiwe kuingia” alisema mjomba akiamini kuwa wageni bado wapo nje wanasubiri utaratibu wa kuingia ndani, naomba wageni wetu wakiingia tuwapokee kwa kusimama kidogo, maana ndio wakwe zetu watarajiwa” alimaliza mjomba kisha akamtazama mzee Mahamud ikiwa ni kumjulisha kuwa wageni wajulishwe waanze kuingia ndani.*******
Naam dada yake mzee Komba yaani shangazi yake Hilda alifika nyumbani kwa kaka yake, na kukuta hapakuwa na mtu yoyote, akaenda nyumba ya jirani kuuliza napo akaambiwa kuwa mara ya mwisho alionekana Hilda akitoka na kuelekea upande wa barabarani, ni lisaa limoja limeshapita, “atakuwa ameenda kwenye ulanzi, kule vilabuni, lakini mama yake sijamuona kabisa” lilikuwa jibu baya sana kwa dada yake mzee Komba, ambae alielekea huko barabarani kwenye vilabu vya pombe lengo kumpata Hilda ili amueleze mambo mawili ni jambo gani lilimshtua mzee Komba na kuanguka ghafla, pili ni sababu zipi zinazowafanya wamtelekeze namna ile mzee Komba.
Dakika kumi baadae akafanikiwa kufika barabarani, sehemu ambayo kulikuwa na vilabu kadhaa vya ulanzi, ambavyo mida hii ya saa saba mchana tayari pilika zilishaanza, music mkubwa ulianza kusikika, watu walishaanza kuingia mahali pale ambapo palikuwa pametawaliwa na harufu ya nyama za kuchoma, nyama ambazo watu hununua bila kuuliza ni nyama ya nini.
Shangazi yake Hilda alianza kuingia club moja baada ya nyingine, akimsaka mtoto wa kaka yake, ambae katika miaka ishirini na nne ya kuzaliwa tayari binti huyu alikuwa mlevi mbwa wa ulanzi, “samahani Hilda alikuja hapa leo?” aliuliza shangazi, kila alipoingia, “Hilda ni yupi huyo?” lazima angeulizwa swali hilo na yeye angefafanua, “yule binti wa mzee Komba” hapo shangazi ange pewa jibu ambalo lingempa picha ya maisha ya kaka yake na familia yake, ambayo kiukweli sio kwamba hakuwai kuyasikia, ila hakuwahi kuyashuhudia tu, lakini alisha yasikia na kupata habari zake, “hooo kumbe unamaanisha #Tembele, alikuja mida fulani akazuga zuga kisha akatoka mtazame hapo mbele” jina TEMBELE lilimshangaza shangazi, maana hakuwa na habari au kumbukumbu ya kwamba mtoto wa kaka yake alikuwa anajina lingine la tembele, “kwanini anaitwa tembele?” aliuliza shangazi, ili kutoa utata wa jina hilo, hata mjibuji wake akacheka kidogo, “ni TEMBELE LA UWANI si unajuwa ile tabia yake ya kuwasaidia vijana kukata kiu zao” alifafanua mtoa majibu, na hapo shangazi akatoka kwa unyonge kuelekea kule alikoelekezwa.
Lakini ile shangazi anatoka nje akakutana na kundi la watu wakike kwa wakiume, likiwa linapita barabarani kuelekea upande wa kule alikotoka yeye, yaani Luhila seko mtaani anakoishi kaka yake, “kimenuka leo, mshenzi sana huyu mwanamke, yaani mume wake anaumwa yupo Hospital yeye anaenda kuinamishwa maporini na waume wa watu” alisikika mmoja wa watu waliokuwepo kwenye kundi lile, “nasena hivi nikimfuma nitamtembeza uchi Luhila yote” alisema mwanamke mmoja ambae alikuwa ametangulia mbele kabisa sambamba na wanawake wawili, wote wakionyesha wana hasira kali sana.
Shangazi hakujiuliza mara mbili, akaachana na ratiba ya kumsaka Hilda ambae anaitwa TEMBELE na kuanza kulifuata lile kundi, maana kwa maelezo yale alijuwa fika kuwa anae zungumziwa ni mama Hilda ambae ni wifi yake, na dalili zote zilionyesha kuwa anaenda kufumaniwa.******
Idd, akiwa amekaa ndani ya gari, huku anakunywa pombe yake kali alisha yaona yale mapokezi na mtindo wa upokeaji wa wagaeni wale ulimshangaza sana Idd, na mpokeaji akiwa ni mama Soraya mwenyewe, “sijaelewa ina maana gani?” alijiuliza Idd, ambae bado macho yake yalikua ameyaelekeza kwenye geti la Mahamud, ambapo dakika chache mbele akiwa bado anajiuliza akamuona Talib anatoka kwa mwendo wa tahadhari kubwa sana, “huyu fala kumbe yupo” alijisemea Idd, ambae aliona kwamba Talib ndie anaweza kumpa habari kamili ya kinachoendelea kwa kina Soraya, huyu boya atanipa report kamili” alisema Idd, huku anaifunga chupa ya pombe na kuiweka kwenye seat ya pembeni ya gari lile na kisha akaliwasha gari akaweka gia namba moja na kuachia clachi gari likaaza kuondoka taratibu kuingia barabarani kwa lengo la kumfuata Talib, ambae bahati nzuri na yeye alipoingia barabarani akaelekea upande wa kulia wa barabara ambako yeye Idd alikuwepo, hapo Idd, akasimamisha gari na kushusha kioo, “oya mchizi mambo vipi?” alisalimia Idd kwa lugha ya kihuni (kwa kipindi hicho) hapo Talib akashtuka na kumtazama msalimiaji, ambae alikuwa ndani ya gari, akamuona Idd, “dah! afadhari nimekuona Idd, mambo vipi?” alisalimia Talib huku akilisogelea gari, “poa tu! vipi mbona unasema afadhari umeniona?” aliluza Idd kwa sauti fulani ya pose na majivuno, “dah! mwenzio nina ubao mkali sana, halafu huko ndani kuna fala amaengia siwezi hata kuonana nae uso kwa uso” alisema Talib, pasipo kufafanua huku anatupia macho kwenye seat ya pembeni na dereva, pale ilipolala chupa ndgo ya pombe kali, ambayo yeye alikuwa ameimisi kwa muda mrefu maana mara ya mwisho ni siku kama nne zilizopita, tena alikuwa amekunywa ulanzi, “kwahiyo unataka nikupe hela ukale?” aliuliza Idd kwa majingambo na nyodo, “hiyo moja wapo, lakini kuna inshu nyingine nataka tuongee” alisema Talib, ambae alionakuwa akimtia nyembe Idd itakuwa rahisi kumsaidia gari kwaajili ya tukio lake la usiku, “unataka kuongea nini Talib, we sema tu nikuachie hata buku ukale kwa mama ntilie” alisema Idd, huku anazama mfukoni kutoa noti kadhaa, ambazo alichomoa buku na nyingine akazieka kwenye mkebe wa dash board, “Tatizo lako Idd unajifanya mjanja, ndio maana hata Soraya umemkosa, ungenishirikisha mimi tayari ungekuwa umesha jibebea mzigo, ona sasa kuna boya mmoja anamchukuwa mazima” alisema Talib, ambae tayari alisha tamani ile chupa ya kischana, ambayo alikuwa anaitazama kwa uchu, “weeee! ina maana ni kweli Soraya anachumbiwa, anachumbiwa na jamaa gani?” aliuliza Idd kwa sauti iliyojawa na mshangao, “kuna fala mmoja hivi, mjinga mjinga, sijui kama mitishamba haijausika” alisema Talib kwa sauti ya dharau, “dah! huyo fala ana zari kweli kweli” alisema Idd,kwa sauti ya kujilaumu na kukata tamaa, “acha ujinga Idd, hiyo sio inshu, kutegemea demu ili upate mali, wewe si mzee wa inshu, sasa mimi nataka nikupe mpango wa hela” alisema Talib, ambae alijuwa fika kuwa Idd toka amerudi msumbiji hakuwa na fedha yoyote, zaidi ya kumtegemea baba yake, “poa twenzetu mtini pub tupige pombe huku unanipa huo mpngo wako” alishauri Idd, ambae alihamasika kwa kusikia mpangp wa hela, Talib akaingia kwenye gari huku akiiokota chupa ya pombe na kuifungua kisha kuanza kuinywa wakati gari linasogea taratibu mtini pub.********
Naam baada ya mjomba kumuachia ukumbi Mahamud, ambae hakuwa anaelewa utaratibu uliopangwa akamtazama mke wake ikiwa ni ishara ya kumueleza kuwa wageni wanaweza kuingia, hapo mama Soraya akiwa mwenye uso ulioonyesha hali fulani ya fahadhaa, alimtazama mume wake ambae alishangaa kidogo kwa muonekano wa mke wake huyu, “assalam aleykum” alisalimia mama Soraya, kwa sauti ya upole ambayo ilijibiwa kwa sauti kubwa ya shangwe, “waalaykum salaam” Mahamud alimtazama mke wake ambae alionyesha wazi kuwa amenyongea kidogo, akampa ishara ya kuchangamka kidogo, kisha Mahamud akamnongo’oneza Jamal, “kuwa makini sasa, akiingia tu nadhani utamfahamu, maana wewe ni mtoto wa mjini” alisema Mahamud, kisha akamtazama mke wake kama wengine mule ndani walivyofanya, wakiwa wanahamu ya kumuona kijana ambae amebahatika kumchumbia Soraya, “kwanza kabisa niseme kuwa hakika mwenye kutenda mema, basi mwenyezi mungu humjalia yaliyo ya kheri, na wote wenye mioyo safi njia yao ni moja” alisema mama Soraya huku watu wote mule ndani kasoro Soraya na Laylah, ambae sasa aliingia na kukaa nyuma kabisa ikiwa ni sehemu ya mpango wao na Soraya, wao pekee walijuwa mama Soraya anamaanisha nini, wengine wote walidhania kuwa mama Soraya anaunga mkono maneno ya mume wake juu ya kijana Higgno, “ukweli nimefurahi sana kuona binti yangu anapata mume bora, mwenye sifa zote za kuwa mume, na mimi ninampokea kwa mikono miwili kuwa mchumba wa binti yetu, naomba yeye na wazazi wake wafanye utaratibu wa kuleta barua ili tufanye utaratibu wa ndoa” sio Higgno na mzee Mahamud peke yao walioshangazwa na maneno yale ila ni watu wote mule ndani mpaka mzee Frank na mke wake walishangazwa na jambo lile, kasoro mama Soraya Laylah na Soraya mwenyewe, ndio pekee waliojuwa kuwa yule ni Higgno mchumba wa Soraya, watu wote wakamtazama Higgno ambae pia alionyesha kushangazwa na jambo lile, huku akimtazama baba yake kama vile anamuuliza nini kinaendelea, maana yeye aliambiwa kuwa wazazi wake wamealikwa kwa chakula cha mchana, wakaambiwa waende na kijana wao sasa haya mengine yanatokea wapi.
Hapo mjomba baada ya kuona hata huyo kijana mwenyewe yupo kwenye mshangao, akamtazama Mahamud ambae pia alionyesha wazi kuwa katika mshangao mkubwa, mjomba akasimama, “mpaka hapo mumetuacha njia panda, munamaanisha huyo mchumba ndie huyu, kijana ambae alimsaidia mzee Mahamud?” aliuliza mjomba, safari hii sio kama msemaji, aliulizia kama mshangaaji anaehitaji uthibitisho, huku watu wote wakimtazama Higgno ambae bado alikuwa katika mshangao na wasi wasi mkubwa, ukweli hakuna mmoja alie toa jibu, mjomba akamtazama Soraya, mjomba tunaomba ututhibitishie kama kweli huyu ndie kijana mwenyewe au laa, isije kuwa kama siku ile” alisema tena mjomba huku pamoja na watu wote wakitazama pale alipokaa Soraya, ambae alikuwa amevalia niqab yake na kubakiza macho tu! “Soraya akaitikia kwa kichwa kukubali kuwa Higgno ndie mchumba wake, hapo zikalipuka kelele za shangwe na vifijo na vigelegele, huku wakimtazama Higgno kwa macho ya hongera, mzee Mahamud, akionekana mwenye tabasamu la furaha na kushindwa kuelewa ile mipango ilikuwa imewekwa vipi, au walipanga kumshtukiza.
Lakakini basi wakati furaha na shangwe zinaendelea mara ghafla sauti ya mjomba ikasikika, “jamani tulieni kidogo, naona mkwe wetu anataka kuongea jambo” hapo watu wote mule ndani wakatulia kimya, huku wanageuza shingo zao kutazama upande ule aliokuwa amekaa Higgno, wakamuona amesimama uso wake ukiwa katika hali ya mshangao na simanzi, “samahani sana watu muliomo humu ndani, samahani wazazi wa huyu mschana, yaani mzee Mahamud na mke wako, samahani wazazi wangu pia samahani sana wewe mschana mwema” hapo watu wakashikwa na mshangao mkubwa na kuanza kunong’onezana, wakiulizana kuwa “huyu kijana anataka kusema nini?” “halafu mbona kama amekosa amani ghafla?” hayo ndiyo maswali yaliyozagaa pale ukumbini, “ukweli ninatanguliza samahani kwa watu wote humu ndani, kwasababu najuwa nitakacho kiongea hata nyinyi hamtanielewa kama mimi nisivyoelewa kinachoendelea hapa, kwa kifupi mimi sio mchumba wa huyu mschana, pengine amenifananisha, Kwa sababu sijawahi kumuona mschana, naimani hata yeye hajawahi kuniona” alisema Higgno na hapo watu wote wakaacha midomo wazi kwa mshangao na kumtazama Soraya, ambae alikuwa ameinamisha kichwa chini na kabla mtu yoyote hajaongea lolote Higgno akaendelea, “mimi nipo hapa kwasababu nime wasindikiza wazazi wangu, ambao wamealikwa mahali hapa, pia isitoshe nina mchumba wangu, ambae natarajia kumchumbia hivi karibuni, naomba mniwie radhi, nadhani hata binti yenu, ataishi na mimi kwa wasi wasi endapo atagunduwa kuwa nimemuacha mschana mwingine kwaajili yake, hivyo nisameheni na pole ni kwa usumbufu” alimaliza Higgno na kukaa chini……… ITAENDELEA
Leo tena Bosi ?Musilale kuna bonus ya mwisho 😂😂 acha nianze kucheka kwanza maan
🤣🤣Mpaka nimewakuta😂, maana kusoma zote sio poa..
Okay me TEAM HIGGNO💃🏽
Bila ili tembele hapalaliliki mkuuPole mkuu inabidi upate tuzo ya mfuatiliaji bora 😅
Hutojutia mkuuTilte inavutia nitasoma baadae
Achan na uyo mpori pori njoo uku team talib uenjoy bangi🤣🤣🤣
😅Bila ili tembele hapalaliliki mkuu
PambeeeeTEMBELE LA UWANI

Kweli nimeamini hii Higgno ni pori pori, sasa wahuni tumekutana tukapange mipango ya pesa mtini pubAchan na uyo mpori pori njoo uku team talib uenjoy bangi
Karibu uenjoy tembele mkuuSijasoma ila kichwa cha habari nimekielewa
Kumbe upo uku uku kwetu! ngoja kesho nije nikutembelee hapo kwako.Naimalizia naleta
na ili aenjoy zaidi awe timu talibKaribu uenjoy tembele mkuu
Na awamu hii lazima kieleweke,pesa tunabeba alf lawama tunamtupia iddi sisi tunaenda daslamuKweli nimeamini hii Higgno ni pori pori, sasa wahuni tumekutana tukapange mipango ya pesa mtini pub