MuganyiziMushiMwaipopo
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 365
- 706
Hadi sasa kwa upande wangu sijaona kama Jina la Tembele la uwani linasadifu hadithi hii bora hata ingeitwa UBAYA UBWELA
Hujajua tu staring wa hii picha ni Hilda a. k. a. Tembele la uani we tulia uone mwisho wake, huko chini mambo ni motoo,,Hadi sasa kwa upande wangu sijaona kama Jina la Tembele la uwani linasadifu hadithi hii bora hata ingeitwa UBAYA UBWELA
Sawa goja tusubili na kujioneaHujajua tu staring wa hii picha ni Hilda a. k. a. Tembele la uani we tulia uone mwisho wake, huko chini mambo ni motoo,,
Yaah tusibili tuone timu wanywa ulanzi tutakavo ibuka washindi zidi ya mahamud mwarabu😅🤣😅😅😅Sawa goja tusubili na kujionea
Yaah tusibili tuone timu wanywa ulanzi tutakavo ibuka washindi zidi ya mahamud mwarabu
Wee Jamaaa😂🤣😂🤣🤣Hadi sasa kwa upande wangu sijaona kama Jina la Tembele la uwani linasadifu hadithi hii bora hata ingeitwa UBAYA UBWELA
🤣🤣🤣 Me nilitengeneza wa IA ila nae nikamuona bado tu hamfikii wa kwenye tembeleHii hadithi imenifanya kila nikikutana na mdada mwenye niqab nihisi ni Soraya
lete mambo mkuu🤣🤣🤣 Me nilitengeneza wa IA ila nae nikamuona bado tu hamfikii wa kwenye tembele
Ndio yenyewe hiiMida ya wanga sio
Sijui hana mpango wa kuweka?? maana inaelekea saa nne hiiAkiweka Nishtueni Ba'Ndugu
Daah, Nami Simu inazima Chaji Na Umeme Hakuna Huku 😢 Basi Ntaikuta Kesho inshallah ...Sijui hana mpango wa kuweka?? maana inaelekea saa nne hii
Usikute anaandaa vipande vitano iviSijui hana mpango wa kuweka?? maana inaelekea saa nne hii
vitano kabisa?Usikute anaandaa vipande vitano ivi