Simulizi: Muhanga Wa Mapenzi

Sehemu ya 11

“Have you seen the money I send you?” jamaa aliongea kwa kimombo akimuuliza kama ameiona pesa aliyoituma.

“Yes I do.” Liz naye akajibu, akimanisha ameiona.
“Mlete mbele yangu haraka.” Alisema kwa sauti ya amri.

Liz akanitaka nisogee mbele ya kamera ya ‘laptop’ ili nianze kutoa huduma ‘live’ kwa bwana yule.

Nikiwa mbele ya kamera, jamaa aliniambia nianze kuvua nguo moja baada ya nyingine. Nikafanya hivyo.

Nikachojoa nguo moja, moja, hadi nilipobakia na nguo ya ndani tu, nikasimama wima na kumwangalia Muhindi yule mshenzi. Jamaa alionekana kupagawa vibaya sana kutokana na mvuto wa umbo langu.

Nilijihisi aibu kubwa, lakini kwa kuwa nilikwisha jitoa kwenye jambo lile, ilikuwa lazima nimalizie sehemu iliyobakia. Nikaishika chupi yangu, nayo nikaivua. Nikabakia kama nilivyozaliwa!. Mbele ya mwanaume.

Jamaa aliweweseka baada ya kuniona nikiwa mtupu, naye kule alikokuwa akafungua zipu ya suruali, akazishika nyeti zake akawa anajichua taratibu. Akawa ananiambia nigeuke kila upande ili apate kuniona vizuri, na mimi nikamfanyia manjonjo yalimfanya azidi kujipiga punyeto.

Tukaendelea kufanya upumbavu ule hadi jamaa alipojifikisha kileleni, baada ya kumaliza Liz akasogea kwenye kamera, akamwambia akitaka raha zaidi aje wakati mwingine na pesa nyingine, tukaagana na yule bwana, kisha akaondoka mtandaoni.

Huo ndio ulikuwa mwanzo wa maisha yangu ya ukahaba mtandaoni, nilifanya shughuli kwa malengo ya muda mfupi, lakini kadiri siku zilivyozidi kwenda mbele ndivyo nilivyojikuta nikipenda kazi hiyo. Nilipata pesa nyingi sana.

Wadogo zangu niliwanunulia nguo, chakula pamoja simu, Kila mwisho wa wiki nilikuwa nikiwatumia pesa za matumizi.

Ilikuwa ni kazi iliyonipatia fedha nyingi na kwa muda mfupi, wakati mwingine tulikuwa tukijirekodi vipande vya video vya utupu na kuviuza kwenye tovuti mbalimbali za nje.

Maisha yangu yalibadirika kwa muda mfupi sana, nyumba aliyoiacha marehemu mama niliikarabati na iikawa moja ya nyumba bora kabisa pale kijijini.

Pamoja na kwamba nilikuwa na malengo ya muda mfupi katika kazi ile, lakini kila nilivyokuwa nikitengeneza pesa, ndivyo fikra za kauchana na shughuli ile zilizvyozidi kuyeyuka.
Asante kwa hadhit
 
Ahsante Shunie kwa burudani. Acha wengine wanatupia vihadithi vya kidwanzi. Kusoma mwendelezo hadi ungojelezee wee! Upo vizuri.
 
Sehemu ya 53

“Victor nitilie lita 10,” nilimwambia haraka haraka bila kusubiri jibu la swali nilomuliza.

Alinitilia mafuta garini, tukabadilishana namba za simu, dakika kumi zilizofuata nilikuwa barabara ya Sam Nujoma nikitafuta uelekeo wa Msasani Lounge.
Nilipofika Msasani Lounge niliketi mahali tulivu ambapo niliweza kuiangalia bahari. Ilikuwa ni majira kama ya saa mbili kasoro usiku, kwa Dar es salam tayari giza lilikwisha tanda.

Taa zenye mwanga mkali kutoka pale hotelini zilikuwa zikimulika kwa sehemu ndogo kwenye maji. Wakati sehemu nyingine katika bahari kulitawaliwa na mwanga wa mbalamwezi.

Katika meza yangu kulikuwa na chupa ya red wine iliyokuwa ikiishia tumboni mwangu taratibu.

Nilikuwa nikiwaza maisha yangu na mume wangu.
Ndoa yangu ilikuwa hainipi raha. Yale mahaba aliyokuwa akinioneshea Alex enzi za uchumba wetu yalipeperuka kama tiara.

Hadi wakati huo, sikujua mume wangu alikumbwa na shetani gani. Nyumba ilikuwa haina mtoto. Tendo la ndoa ndani adimu. Alex alikuwa mkali kama moto. Nifanye nini mimi mtoto wa kike.

Nilijiuliza pasina majibu.
Mwisho nilikata shauri la kupeleka mambo yale kwa wazazi, katu nisingeweza kukubali maisha yangu yawe vile. Nilihitaji furaha na upendo maishani. Ndoa isiyokuwa na amani ni jela, tena jela ya mateso.

Kama nilivyosema awali, akili yangu huwa inapata majibu sahihi kila nikiwa katika mazingira tulivu, nikiwa pale napata upepo wa bahari ya Hindi, angalau nilipata faraja kwa kupata njia ya kutatua maswahibu yangu ya ndoa.

Nilinyanyua glasi ya mvinyo ule mwekundu na kupiga fundo refu lililoishia lote tumboni mwangu, wakati nashusha glasi mara nikagutushwa na muito wa simu yangu.

“Hellow.”nilipokea
“Victor hapa.” Moyo wangu ukapiga kite baada ya mvulana yule kujitambulisha. Huwa sijielewi hali yangu. Huyu mwanaume sijui alinifanyiaga nini maishani. Kila ‘ninaposikiaga’ sauti yake mapigo yangu ya moyo hunienda kasi hadi naogopa.

“Hujambo Victor.” Nilimsalimu “Sijambo mrembo wangu wa zamani. Uko wapi?” mvulana yule chakaramu aliniuliza, “Msasani Lounge.”

“Wacha weee!!” alihamaki.
“Nini?”
“Hata mimi niko hapa hapa, umekalia sehemu gani wewe?”
Nilishikwa na kigugumizi. Sikupenda ukaribu na mwanaume huyo.
 
Sehemu ya 54

Ni kweli alikuwa mpenzi wangu wa zamani, niliye mpenda, ambaye aliweza kunigusa kunako, lakini tayari mimi nilikuwa mke wa mtu.

Hata hivyo kama nilivyosema, nilikuwa sijiwezi mbele ya mwanaume huyo, sikuwa na jeuri mbele yake, sijui aliniroga mbwa yule!. Sijui kwa kweli. Bila kutarajia nikamtajia mahali nilipokuwa nimekalia. Akaja.

“Mbona umekaa huku gizani?” aliniuliza.
“Nimeamua tu.” Nilimjibu.
Aliniangalia usoni kwa macho yake makubwa, akatoa lile tabasamu ambalo huko nyuma nilishawahi kulielezea kuwa huwa ni sumu kwangu.

Lilikuwa ni tabasamu lililofanya ule ‘u-handsome boy’ wake uonekane zaidi, huyu dogo alikuwa mzuri jamani, kama ingetokea akavishwa sketi basi usingesita kusema ni mwanamke. Naye alijijua ni mzuri na alitambua ni wapi pa kunasia watoto wazuri kama mimi. “Habari za siku nyingi mpenzi Sofia,” hatimaye alinisalimu kwa sauti yake kama ya mtangazaji wa redio, “Sala...sala...ma tu,”nilimjibu kwa kubababika. “Nilisikia umeolewa, nikaamua kujiweka mbali nawe.”

“Wewe ulinikimbia ulitegemea nini?”
“Unamaanisha nini kusema hivyo?”
“Ulinidanganya unaishi pale Magomeni, ukaniongopea umeajiriwa Maktaba kuu, kote huko nilikutafuta bila mafanikio, ningefanya nini mimi?”

“Kwani ulikwenda kunitafuta pale magomeni?” Victor aliuliza swali la kipumbavu. “Ulichokuwa unataka ni kunilala na ulifanikiwa baba, hongera sana,”nilimwambia “Usiseme hivyo mpenzi, nitakueleza sababu ya kukudanganya.”

Niliona yule mwanaume anataka kuniingiza mjini tena, nilisimama na kutaka kuondoka,
“Sofia, sofia, sofia subiri kidogo, ngoja nikueleze basi,” Victor alinishika mkono kuniuzuia.

Nilitii, nikaketi tena kumsikiliza: “Ni kweli nilikudanganya naishi Magomeni, sikutaka upajue sehemu sahihi ninapoishi Sofia, ni sehemu mbaya mno, ingekuwa noma sana kwa upande wangu.” Victor alisema, uso wake ulionesha kumaanisha kile alichoongea.

“Acha uhayawani Victor, kwani pale uliponionyesha kwamba ndio kwako ni sehemu nzuri? Mimi nilikupenda wewe, maisha yako haikuwa kitu kwangu.”
“Nisamahe sana mpenzi, nakiri ni kosa nilifanya,” alisema Victor.

Ukimya mfupi ulipita baina yetu nikamuliza tena:
“Na vipi kuhusu kule maktaba?”
 
Sehemu ya 55

Kule nimefanya kazi siku moja tu, siku niliyokutana na wewe ndiyo ilikuwa ya kwanza na ya mwisho. Nisamahe pia kwa kukudanganya.” Alisema Victor. “Kwa hiyo we’ unaishi wapi?”
“Mimi mtoto wa Tandale kwa tumbo.” Alisema.

Nilitabasamu naye akatabasamu. “Kweli watoto wa Tandale kiboko, haya mimi naondoka, ukitaka lifti ninalo gari.” Nilimwambia.

Tuliongozana hadi garini kwangu, baada ya kufunga milango na vioo, saa ngapi Victor asianzishe mambo yake. Akaanza kunipapasa mapajani na kiunoni.
“Kwenye gari tena!!” nilimaka.

Victor hakukoma, akaendelea kunichezea sehemu nyeti, nikaanza kuweweseka kwa hisia kali. “WE Victor bwana...nini huko!!” niliweweseka.

Kutokana na mkandamizo wa hisia kali za huba, sikuweza kabisa kumzuia mwanaume huyo asiendelee kunifanyia mchezo ya mahaba.

Nikawa nahema kwa nguvu, Victor naye akazidisha manjonjo. Kwa kuwa nilikuwa na siku nyingi sijakutana na mwanaume, nikajikuta nalitaka penzi la Victor.

Ndani ya gari langu, vitor akanichojoa nguo zangu. Alipopitisha ulimi wake kwenye matunda ya kifuani mwangu, nikajikuta napiga kelele kwa nguvu. Kelele za raha. Mwanaume huyo chakaramu akakazana kufanya ufundi mwilini mwangu.

Kwa mara nyingine maishani, nikajikuta nimefanya mapenzi na Victor. Ndani ya gari langu. Kama nilivyosema mwanzoni, nilikuwa nina karibu miezi mitatu sijakutana kimwili na mume wangu, hivyo nilikuwa nina hamu kubwa na tendo hilo na kwa kweli hamu hiyo ilimalizwa na Victor. Baada ya kufikishwa kilele cha mlima kilimanjaro, ndani y gari langu . Sote tulibaki kimya. Kwa upande wangu, nilikuwa nikitafakari tukio hilo tulilofanya.

“Umesaliti kiapo cha ndoa yako,” sauti moja moyoni ilinisimanga.
Mumeo hawezi kujua, lakini Mungu wa mbinguni ameona kila kitu. Sauti hiyo ilizidi kunieleza. Nilikosa raha, nilijiona mkosefu. “Victor teremka kwenye gari.” Hatimaye nilimwambia kwa sauti ndogo na tulivu.
 
Sehemu ya 56

“Whaat!” Victor alimaka. “Nasema shuka kwenye gari langu.”
“Sofia kuna nini mbona...”
“Shuka...” nilifoka. Victor akabaki ameduwaa.

“Husikii!!” nilizidi kumaka.
Mwanaume huyo akaona isiwe tabu, akateremka akiwa haelewi nimekumbwa na nini. Niliondosha gari kwa kasi nikiwa nimeghafirika vibaya sana.

Roho yangu ilikuwa ikinisimanga kwa makosa niliyofanya, vipi nimsaliti mwanaume ambaye hajawahi kunisaliti. Niliona nimemkosea sana Alex, mume wangu.

Nilipofika nyumbani, nilikuta dada wa kazi amekwisha pika chakula cha usiku, mume wangu alikuwa bado hajarudi. Nilipitiliza hadi chumbani ambako nilioga, kisha nikasogea mezani.

Haikuwa kawaida hadi muda huo mume wangu awe hajarudi. Nikaona ngoja nimcheki kwenye simu yake ya mkononi ili kujua yupo wapi. Wakati nawaza kumpigia, nikakumbuka simu yangu ipo kwenye gari. Niliisahau kuichukua kutokana na songombingo la jioni ya leo.

Nilikwenda na kuichukua, nilipocheki kwenye kioo cha simu, nikakuta kumbe mume wangu, dakika arobaini zilizopita, alinipigia zaidi ya mara kumi. Muda ule ambao nilikuwa nikivunja amri ya sita na Victor.

Kulikuwa na meseji mbili, moja aliaandika akiniuliza kwa nini sipokei simu, niko wapi. Meseji nyingine aliandika akinitaarifu kwamba amepata safari ya kikazi ghafla, alisema anakwenda Mkoani Iringa ambako angekaa kwa wiki tatu.

Nilishusha pumzi ndefu kisha nikampigia, simu iliita kwa muda kidogo kisha mume wangu Alex akapokea:
“Mke wangu!!” “Bee mume wangu, habari za jioni.”

“Salama kabisa, ulikuwa wapi?”
“Nilikuwa kwenye kikao cha harusi ya rafiki yangu, mume wangu, samahani kwa kutopokea simu zako,” nilimdanganya.

“Sawa mke wangu Sofia, bila shaka meseji zangu umeziona?”
“Nimeziona nitakumisi sana, si unajua ulivyoniacha.”

“Wiki mbili sio nyingi mke wangu, vumilia nitarudi” mume wangu alisema kwa sauti ya upole.

Baada ya kugana, nilikula chakula, nikaenda kulala. Nikiwa Kitandani, bado taswira ya nilichofanya na Victor kilikuwa kikipita akilini mwangu. Hadi usingizi unanichukua nikalala nikipitiwa na ndoto ya penzi la Victor ndani ya gari. ****
 
Sehemu ya 57

WIKI moja ilikuwa imepita tangu tukio la kwenye gari litokee. Ajabu ni kwamba kadiri siku zilivyokuwa zinakwenda kumbukumbu za penzi lile hazikufutika akilini mwangu kabisa.

Kutokuwepo kwa mume wangu, kukachochea hali hiyo. Ingawa naamini hata kama angalikuwepo pengine bado maswahibu hayo yangenitinga, mume wangu alikuwa hawajibiki na mimi mara kwa mara.

Utamu wa penzi la Victor uliendelea kufukuta akilini mwangu. Kutokulisahu penzi lile, kukatengeneza hali ya kummisi. Wiki ile ile, sauti moja moyoni ikawa inanihimiza nimfuate tena Victor nifanye naye mapenzi.

“Mumeo hawezi kujua, kwanza amesafiri” sauti moja akilini ilinishawishi.
“Kama mbwai na iwe mbwai, lazima nimfuate Victor, siwezi kuendelea kuteseka hivi.” Nilinongona kwa sauti ndogo.

Nilichukua simu na kumpigia mwanaume huyo, simu yake iliita muda mrefu bila kupokelewa. Nikaona isiwe tabu kwa kuwa kazini kwakwe napajua, namfuata huko huko. Siwezi kuendelea kuhangaika na penzi la mpumbavu huyo ilihali yeye yupo. Nikaendesha gari kueleekea kazini kwakwe Victor.

Wekati nafika Palestina, kulikuwa na kifoleni kama ilivyokaiwaida, kulikuwa na magari yanayoingia na kutoka katika barabara ya Tandale uzuri, mita kama mita mbili kabla ya ya kuwasili katika kituo cha mafuta ambacho anafanyia kazi Victor.

Nikiwa natembea mwendo wa kunyata, mara moyo wangu ulipiga ‘paaa’ baada ya kuona kitu kilichonishitua vibaya sana.Ilikuwa halmanusura nisababishe ajali.

Gari la mume wangu lilikuwa linachepuka kutoka barabara ya Tandale uzuri na kuingia kwenye njia ile ya Sinza na shekirango. “Huyu mtu si yupo Iringa huyu!!” nilinong’ona ndani ya gari.
Gari la mume wangu lilishika njia ile kuu na kuongoza kuelekea shekirango, dhamira ya kwenda kwa Victor ikafa, nikajikuta nalifuatilia gari hilo.

Fikra mbalimbali zikaanza kujitengeneza kichwani mwangu. Kwanza, nikaamini mume wangu Alex, alikuwa hapa hapa jijini, na alikuwa mahali fulani na mwanamke mwingine wakila raha huku mimi nikidanganywa kuwa yupo Iringa.

Nikaendelea kuamini, chanzo cha mume wangu kubadilika siku za hivi karibuni ndio chanzo cha mimi kuangukia kwenye penzi la Victor, mwanamke anayemzuzua mume wangu ni nani?
 
Sehemu ya 58

Nikaendelea kulifuata gari la Alex kwa makini sana. Gari lile lilishia Tabata kimanga, mtaa mmoja unaitwa Shiba, likaingizwa kwenye nyumba moja ambayo kwa harakaharaka kwa kuingalia ilikuwa ni kama ‘appartment ‘ zile nyumba za kupanga. “Inaamana mume wangu, ndio yupo hapa na mchepuko wake!!” nilinong’ona. Nikashuka kuifuta nyumba ile

Ilikuwa ni nyumba kubwa ya ghorofa, kama sio mtu mwenye kufahamu mambo sawa sawa, unaweza kusema ni hotel, lakini kwa kuwa mimi ni ni mjuvi wa mambo, nilijua ile sio hotel bali ni ‘appartment’

Nilipofika getini, mlinzi akanisimamisha.
“We ni nani?” mlinzi wa Suma Jkt, alinihoji kwa sauti kali.

Akili ikanizunguka, sikuwa nimejiadaa kukutana na ukinzani wa mlinizi, wakati huo huo, nilipotupa macho mbele yangu, nikaliona gari la mume wangu limepakiwa kwenye maegesho maalumu katika wigo wa jumba lile la kifahari.

“Ooh samahani kaka, mimi mgeni wa kaka mwenye gari hili?” nilimdanganya yule mlinzi, uso wangu nikiuweka katika namna ya kumlainisha mwanaume yule.

“Unamwongelea Victor?”
Toba!!....Mlinzi akataja jina la mchepuko wangu Victor, badala ya mume wangu Alex. Akili ikazidi kunizunguka, huyu mlinzi kamjuaje Victor? Vipi gari la mume wangu Alex aseme ni la Victor.
Victor na Alex naamini hawajuani kabisa, lakini pia, Victor mtoto wa Tandale, hana hata baiskeli, sasa vipi huyu mlinzi aseme gari la mume wangu Alex ni la Victor.

Anamaanisha nini? Ananijua? Au hamanishi Victor huyu nimjuaye mimi.
“Unamwongelea Victor dada, mbona kimya?” mlinzi akauliza tena.

“Hapana, mwenye gari hili ni Alex, sio huyo unayemsema wewe?” “Mimi namjua kwa jina hilo, ila kama jina lake jingine anaitwa Alex, hilo sijui, inawezekana jina la Alex anatumia kuoporea wadada wazuri kama wewe.”
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom