Simulizi: Muhanga Wa Mapenzi

P

permist

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Messages
425
Points
250
P

permist

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2017
425 250
Str nzur
Sehemu ya 22

Tulizungumza mambo mengi tu, na kwa kuwa suala la ndoa lilikuwa likiratibiwa zaidi na upande wa kiumeni, mume wangu mtarajiwa aliniaga akisema anakwenda kuendelea na shughuli zilizo salia kabla ya ndoa.

Hata hivyo, kabla hajatoka ndani, aliniachia mabusu motomoto huku akinitekenya tekenya kwa hila. Alizibinya binya taratibu embe zangu wakati mwingine akawa anakipapasa kiuno changu.

Kama isingekuwa mkandamizo wa wa kifikra niliokuwa nao dhidi ya yule fedhuli mwenye picha zangu za utupu, basi asubuhi ile lazima tungeikaribisha kwa mambo yetu yale ya kiutu uzima.

Baada ya kuhakikisha Alex ameondoka kabisa nyumbani kwangu, nilirudi kwenye simu yangu na kumpigia yule bwana, simu ikiwa sikioni nikapokea ujumbe kwamba simu ile ilikuwa haipatikani.
“Kwa nini sasa umezima simu!” niliongea peke yangu kwa masikitiko.

Masikitiko yangu yalikuwa katika tafsiri moja tu. Nilitaka nimalizane na mtu yule kabla ya siku ya ndoa yangu, kitendo cha kutompata katika simu, maana yake ni kwamba, ningeendelea kuishi kwa mashaka na wasiwasi siku zote.

“Nifanye nini?” nilinong’ona mwenyewe.
Kwa kweli nilishikwa na hofu kubwa moyoni, nilirudia kumpigia tena simu yule bwana, ujumbe nilio upata ulikuwa uleule. Namba ilikuwa haipatikani.

Au nimwambie ukweli Alex juu ya mambo niliyowahi kufanya maishani! Sauti moja kichwani ilinishauri. Hata hivyo, wasiwasi wangu ukawa vipi kama nikimwambia halafu nikaishia kuachwa!

Siku hiyo kutwa nzima nilishinda kama mgonjwa. Si chakula wala maji, vyote vilikuwa vichungu kinywani mwangu.
Jioni ilipotimu, mpenzi wangu Alex akanipigia simu. “Unaendeleaje mpenzi?”
“Nimepona.”

“Kuna jambo nataka tuongee,” “Jambo gani?” “Kuna bwana kanipigia simu…” alisema. Mapigo ya moyo wangu yakaanza kunienda mbio, nikatishika vibaya sana. Nikawaza isije kuwa yule jamaa mshenzi, amekwisha weka wazi kila kitu. Akaendelea.

“Jina lake naitwa Kaheza,amesema kuna kitu anataka kunionyesha kuhusu wewe.”
“Kitu gani hiko?” hatimaye mtoto wa kike nikajikaza na kumuuliza bila kuonesha wasiwasi wowote simuni.
“Amenieleza ataniambia kesho asubuhi?”
“Kwa hiyo unasemaje Alex?”
 
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
115,729
Points
2,000
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
115,729 2,000
Dada umeleta story fantastic ilonifunza mengi.
Yani sikuwahi kaa nikapoteza muda nikisoma story namna hii ila leo nimepoteza an hour and ahalf nikiisoma hii hadithi uloleta.
Thanks umenipunguza stress nilizopata leo.
Mungu akubariki.
Asante mkuu tubarikiwe sote soma na hii

 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
804
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
804 500
Sehemu ya 60

Ni tabia yake hiyo ndio imesababisha hadi nijikute naangukia kwa mpenzi wangu wa zamani, Victor, ambaye naye kila ninapokutana naye lazima anifanyie kwenye gari langu mwenyewe.

Machozi yalijikusanya machoni mwangu, kisha yakanibubujika mashavuni. Nikatoka kwenye maficho na kusogea kwenye malango wa chumba ambacho mume wangu alikuwa akiishi.

Nilisikia sauti ya redio ikitokea ndani, lakini katikati ya sauti ya redio, nikasikia sauti za mahaba zinazopishana kwa zamu, ajabu zote zilikuwa za wanaume na mojawapo ilikuwa ya mume wangu. sauti hiyo ilitoka katika namna ya kushangaza kidogo. Alikuwa analia kama mimi mbavyo huwa nalia!!!.

Akili yangu ilishindwa kufanya kazi sawa sawa, nikabakia nimefadhaika. Ndio. Ilikuwa lazima nifadhaike maana sauti ya mahaba ya mtu wa pili nayo nilikuwa naifahamu kabisa. Alikuwa ni Victor. Mchepuko wangu wa Tandale.

Nilishindwa kuelewa. Hawa wanaume wawili wanafahamiana vipi? Lakini humo ndani wanafanya mapenzi na wanawake gani? Wivu na hasira hasa dhidi ya mume wangu ukazidi kufukuta. Nikashika kitasa cha mlango na kukinyonga. Bahati nzuri kumbe ulikuwa haujafungwa. Nikasukuma mlango na kuingia ndani.

Lahaulaaa!!!.

Sikuamini kile nilichokuwa nakiona mbele yangu. Mume wangu Alex alikuwa anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mchepuko wangu Victor. Yanii victor alikuwa amemgeuza mke mume wangu Alex.

Ilikuwa ni kama vile niko ndotoni! Nilikuwa nimesimama wima, macho yamenitoka pima. Kizunguzungu kikali kilikuwa kimenishika. Miguu ikaniisha nguvu, macho yakanilegea, bila kutarajia nikajikuta naanguka chini.

Alex na mwenziye nao walikuwa wameduwaa kama vile masanamu ya kuchonga. Wakagutuka na kuachiana baada ya kuniona nimeanguka chini na kuketi kitako.

Hakuna aliyeongea kitu, macho ya kila mtu yalikuwa na wasiwasi na mashaka, walivaa nguo haraka haraka.
Daaah yani hapa mume na mke wote wameliwa!!!!
Victor mngeseee duh!!!!
 
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Messages
4,073
Points
2,000
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2016
4,073 2,000
Shukran Shuu.. stori ni nzuri na ina funzo...
Victor mbaya..Alex hana haya.. na Bi dada ..yamemkuta..
 

Forum statistics

Threads 1,335,143
Members 512,244
Posts 32,496,885
Top