Simulizi: Muhanga Wa Mapenzi

Sehemu ya 16

Nikiwa sijakaa sawa mara, Alex akawa ananichezea maeneo ya ikuru, midomo yake ikikazana kumung’unya embe zangu zilizokuwa wima kifuani mwangu kama kengele.

Nikajikuta napiga kelele kama mwendawazimu. Kimoyomoyo nikasema: kumbe haka kamchezo katamu hivi, ni haki watu wajiue kwa sababu ya mapenzi!.

Zoezi lile lilidumu kwa dakika kadhaa, nikawa hoi. Alex akawa anamshika shika mzee wake wa kazi, aliyekuwa wima, akiniangalia kwa uchu. Nikamwambia:
“Alex mimi ni bikira.”
“Wacha wee!!”

Alex macho yalimtoka.
“Kweli nakwambia.”
“Hujawahi ku duu?!” “Sijawahi.”
“Ngoja tuone kama ni kweli,”alisema.
Pale pale bila hata kutumia kinga, akaupachika ule muhugo wake kwenye sehemu zangu.

Akaanza kuniingilia kimwili!. Wakati Alex amekazana kunifanyia yale majambozi ya kiutu uzima, ni sahihi kusema, nilisikia raha iliyochanganyika na uchungu, na kadiri kipute kile kilivyokuwa kikiendelea nikawa namvuta na kumsukuma kifuani mwangu.

Matendo hayo niliyafanya kutokana na ule uchungu na utamu niliokuwa nikiusikia kwa nyakati tofauti. Ikafika wakati uchungu ukawa unapungua na raha ikiongezeka!.

Mpenzi msomaji, kama nilivyosema awali, ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kucheza gwaride katika uwanja wa sita kwa sita. Na bahati nzuri mwanaume yule alinipa gwaride la kiskauti. Sio la kijeshi. Hadi tunafika tamati, nilikuwa nahema kama jibwa koko lililojeruhiwa na fisi.

“Ahsante mpenzi.” Alex aliongea kwa kunong’ona, alikuwa amelala chali, anahema kama katoka kwenye mbio za marathoni.

“Kwa nini umefanya bila kinga?” nikamuliza bila kuitikia shukrani yake.
“Samahani Sofia. Nilisahau.”
“Ulisahau ama umefanya makusudi!” niliunguruma kwa ukali.

“Nilisahau.” “Vipi kama umeniambukiza Ukimwi?”
“Sina Ukimwi mpenzi.” Alex alijibu kwa upole.

“Mimba je?” Kimya kifupi kikapita. Kila mtu akawa anafikiria jambo lake. Sekunde kadhaa Alex akaniita kwa sauti ya upole.

“Sofia.”
Nikageuka kumwangalia. “Umewezaje kujitunza miaka yote hiyo?”
“Kivipi?”

“Umekuwa na bikira na ukubwa wote huo!.” “Nimekulia kwenye maisha ya kichamungu.” Nikamdanganya.

“Kweli?!”
“Huamini?”
“Hongera sana Sofia, unaonaeje tukianzisha uhusiano siliasi.”
“We huna mke?”
 
Mtunzi Ally Katalambula

Sehemu ya 01

Jina langu naitwa Sofia ni mama wa mtoto mmoja. Katika familia yetu, mimi ni mtoto wa kwanza kati ya watatu, wadogo zangu wawili wote wakiwa ni wavulana. Nilitokea kwenye familia masikini, familia ya mzazi mmoja, yanii mama tu, ingawa kwa sasa naye tumekwisha mzika.

Kuhusu baba, yeye hatukuwahi kumjua wala kumwona maishani, ingawa mama alitueleza baba alikuwa ni raia wa nchi ya Nigeria ambaye alikutana naye kijiji cha Ntumbatu mkoani Morogoro alikokuwa akijishughulisha na ulanguzi wa viazi vitamu na kuvisafirisha jijini Dar es salam.

Mama anasema, baada ya kukutana na baba yetu raia wa Nigeria, penzi lao lilikuwa motomoto, kiasi cha kutosikia la muadhini wala mnadi swala, penzi liliponoga zaidi, akaamua kuhamia kijiji cha ntumbatu ambapo ndipo yule bwana alikokuwa akiishi.

Mama aliendelea kutusimulia kuwa, baada ya wazazi wake kupata habari kwamba yupo kwenye uhusiano na raia wa Nigeria, walimkanya kwa kumtahadharisha ajichunge na wageni kutoka nchi za mbali, hususani Afrika Magharibi kwani wanaume wengi wa huko ni matapeli.

Lakini kutokana na utamu wa penzi la baba yetu, mama aliweka masikio pamba, raha ya penzi ikamfanya anenepe na kuiona dunia yote ni yake.

Kama wasemavyo waswahili, hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, kufumba na kufumbua mama akajikuta amezalishwa watoto watatu na yule bwana.

Uzazi wa kila mwaka ukaifanya haiba ya urembo wake kunyauka, mama anasema, miaka michache baada ya kutuzaa sisi, tukiwa angali wadogo kabisa mwanaume huyo alimuaga alimwambia kuwa alikuwa amepata simu kutoka kwao, kwamba wazazi wake walikuwa wamefariki, akamwahidi akishamaliza mazishi ya wazee wake angerejea tena Tanzania kutuchukua ili tukaishi nchini Nigeria.

Mama akabikia na matarajio hayo. Yule bwana alivyondoka hakurudi tena. Hadi leo amebakia kuwa historia.

Mama anasema baada ya hali hiyo, ghafla maisha yalibadilika, akaogopa kurudi kwao, kwa kuwa awali aliwapinga wazazi wake juu ya tahadhari waliyompa. Ndipo kuanzia wakati huo mama akawa na jukumu moja tu. Kupambana kwa kila hali kuhakikisha watoto wake tunaishi maisha mazuri .View attachment 1198891
Mother Confessor njoo huku turefresh mind
 
Sehemu ya 17

“Nimtoe wapi?”
“Mwongo.”
“Naapa kwa jina la mama yangu mzazi.” “Mchumba je?”
“Naye sina.”
“Hata mpenzi?”
“Wajanja walinipora.”

Wote tukacheka. Tabasamu la kukata na shoka la mwanaume huyo likazidi kunipagawisha. Meno yake yaliyopangika vizuri mithili ya kibunzi cha muhindi huku kijimwanya kidogo kikitokeza katikati ya meno yake, mtoto wa kike nilikuwa ‘dhoful hali.

Nilimtizama kwa hila Alex, nafsi yangu ikakiri kuwa mwanaume huyo ni chaguo sahihi la moyo wangu.

Siku hiyo tulizungumza mambo mengi, nikamfahamu Alex alikuwa akijishughulisha na kazi ya udalali wa kuuza magari yaliyotumika maarufu kama ‘used’

Alikuwa kijana mwenye miaka 28 tu, mwenyeji wa huko Bunda mkoani Mara, ambaye alikuwa amelowea jijini kwa miaka mingi.

Kazi yake hiyo ilimpa mafaniko mazuri tu hapa mjini, alimiliki gari aina ya Nissan Murano, nyumba kubwa ya kisasa iliyokuwa huko Mbezi Beach maeneo ya Jogoo, saluni za kiume na za kike, sambamba na maduka ya nguo na vipodozi.

Mafaniko yake na yangu ni kama yalilingana. Tofuati ilikuwa moja tu. Mimi nilifanya biashara chafu kupata pesa, wakati Alex alifanya biashara halali.
****
Penzi langu na mwanaume huyo lilizidi kushika kasi, Alex alinipeleka Bunda, waliko wazazi wake. Akanitambulisha kama mke wake mtarajiwa. Wazazi hawakuwa na hila. Wakatupa baraka zote.

Ulikuwa ni wakati mwingine mzuri mno maishani mwangu, angalau nilijiona mtu katika watu. Ndoto za kuwa na mafanikio maishani nilikuwa nimezitimiza.

Kuna jambo moja nimesahau kulieleza. Nimesahau kueleza kuwa, katika zile nyakati ambazo nilikuwa nimezama kwenye penzi la Alex, nilikuwa nimesitisha kazi yangu ya kuuza picha za utupu kwenye tovuti.

Nilikuwa nimepanga kama ningeingia kwenye maisha ya ndoa kazi ile ningeachana nayo kabisa, kama miradi inayoniingizia fedha nilikuwa nayo, nyumba, gari zuri, vyote hivyo ninavyo. Ya nini kuendelea kujidhalilisha kwa wanaume washenzi wa huko ughaibuni.

Bahati nzuri kazi ile ilibaki kuwa siri yangu. Zaidi ya shoga yangu Liz, si Alex wala mtu mwingine yeyote aliyekuwa anajua kama ninafanya kazi ile haramu.
 
Sehemu ya 18

Mipango ya ndoa yangu ilipamba moto, upande wa mwanaume walisimamia suala lote la harusi, wakati upande wetu wa kikeni, tulisimamia sherehe ya ‘sendoff’ hivyo ndivyo tulivyokubaliana na mchumba wangu Alex.

Kama ilivyo kawaida vikao mbalimbali vilikuwa vikifanyika, na kwa kuwa tulikuwa watu tunaojiweza kifedha hakuna kitu kilichoharibika. Mambo yalikwenda kama tulivyotaka.

Pamoja na kwamba, nilikulia katika mazingira ya kutowajua ndugu zetu upande wa mama, kutokana na ufukara tuliokuwa nao, lakini kama mjuavyo mtu ukiwa na mafanikio, ndugu hujitokeza wengi, na kila mtu hujifanya anakuthamini mno.

Katika nyakati zile ndugu zake mama ambao enzi za uhai wake wengi walikuwa hawana habari naye, wengine hata kuwajua hatukuwahi. Walijitokeza wengi kunipa sapoti katika sherehe yangu.

Siku zilikwenda hatimaye siku ya sendoff yangu ikawaidia. Watu wakawa wamefurika katika ukumbi wa ‘King Solomon’ vinywaji na vyakula vilikuwa vya kusaza.

Nilikuwa nimevaa gauni refu, zuri la kuwaka waka, uso wangu ulirembwa ukarembeka, kila mtu aliyenitia machoni, alikiri kwenye nafsi yake Alex alikuwa ameng’oa kifaa.

Mume wangu mtarajiwa, Alex na marafiki zake wachache walijumuika kwenye sherehe yangu ile. Watu walikunywa wakacheza muziki. Nikapewa zawadi na pongezi nyingi.

Shauku ya moyo wangu ilikuwa ni ndoa. Ndoa iliyotarajiwa kufungwa siku mbili kutoka siku hiyo.
****
Nilikuwa nimeduwa kwenye box moja la zawadi katika mengi niliyotuzwa usiku wa kuamkia siku hiyo. Moyo wangu ulikuwa ikinidunda kwa wasiwasi.

Box lile lilikuwa limesheheni picha zangu. picha chafu. Ambazo niliwahi kuziuza katika moja ya tovuti za nga’ambo. Mungu wangu!! Nani kazileta hizi. Na kwa nini? Nimekwisha. Akili ilinizunguka. Niliamini mletaji wa picha zile alizileta kwangu kwa makusudi fulani.

NILIHISI dunia inazunguka kwa kasi kama gurudumu huku mimi nikiwa ndani yake. Katika jambo ambalo sikuwa tayari kulipokea ni kuona ndoa yangu na Alex inakufa, na sasa niliona viashiria vya tukio hilo.

Nilihisi kushikwa na kizunguzungu, koo likanikauka, jasho nalo halikuniacha. Niliendelea kujiuliza. Ni nani ameleta picha zangu za utupu kama zawadi? Lengo lake ni lipi?
 
Sehemu ya 19

Katika kuwazawaza huko, nikaanza kumuhisi Liz, huyu ni yule shoga yangu, aliyeniingiza kwenye kazi ile haramu. Je Liz yupo nyuma ya jambo hili? Na kama anahusika na hili shida yake ni nini hasa? Hataki niolewe?

Nilimuwaza Liz kwa kuwa ndiye mtu pekee aliyekuwa akitambua mimi nafanyaka kazi ile chafu. Nilichofanya ni kuchukua simu na kumpigia, simu iliita kidogo tu kisha ikapokelewa.
“Liz” “Nambie Bi harusi.” alinipokelea kwa bashasha na utani.

“Naomba kukuuliza kitu…” niliongea kwa utulivu, hasira kali zikiwa zimejificha kifuani mwangu. Nikaendelea.
“Nataka kujua kwa nini umeniletea zawadi ya namna hii?” “Kwa nini. Hujaipenda?”
“Lengo lako ni nini Liz? Hutaki niolewe ana Alex?”

“Kivipi Sofia mbona sikuelewi. Sijaelewa mantiki ya kauli yako…”
“Liz nataka majibu, nini dhamira yako?” nilimkatisha kwa ukali.

“Unazungumzia nini wewe?”
“Nazungumzia picha za utupu ulizonipa kama zawadi kwenye ‘sendoff’ yangu.”

“Mimi!!!”
“Kumbe nani?”
“Sijaleta zawadi ya hivyo mimi.”
“Wewe ulinituza zwadi gani?”
“ Ni runinga flat screen nchi 36 na jiko la umeme, hayo mengine sihusiki kabisa ,” Liz alijitetea simuni.

“Anayejua nafanya ukahaba wa mtandaoni ni nani zaidi yako Liz?”
“Hakuna ajuaye.”
“Sasa?”
“Sofia siwezi kukufanyia utani wa kipumbavu namna hiyo, sihusiki na jambo hilo.”

Liz alishikiliia msimamo wake, kwa namna alivyoongea, dalili zilionesha ni mtu asiyejua lolote.

Nilishusha pumzi ndefu kichwa kikazidi kuchemka. “Sasa atakuwa nani!.” Nilisema katika hali ya masikitiko.

“Hebu nieleze kwa kina juu ya jambo hilo?” Nilimsimulia kila kitu Liz. Tangu nilipotoka katika sherehe usiku, kisha asubuhi hiyo nikaamkia kufungua zawadi, kisha nikakutana na box la zawadi lenye picha zangu za utupu.
“Isije ikawa ni moja ya wateja wako?” Liz aliniambia.

Kidogo nilikubaliana na fikra hizo, lakini fikra hizo zikaniondoka nilipokumbuka wateja wangu wengi walikuwa ni wanaume wa nchi za mbali huko. Ambao kamwe hawajui naishi nchi gani katika bala la Afrika, zadi ya tote walikuwa ni watu waminifu mno.

“Hapana, watu ambao hawajui naishi wapi wanawezaje kufanya hivyo?” Nilimkatalia Liz Simuni. “Kwani hizo picha hazina ujumbe wowote?” Liz alisema.
 
Sehemu ya 20

Naam!. Hatimaye nikaona kitu. Namba za simu. Sikumbuki niligana vipi na Liz ninachokumbuka baada ya kuona namba zile nilibakia nimeduwaa kama nimekutana na namba ya bahati.

Nilizinakili kwenye simu namba zile kisha nikazipiga, simu ilianza kuita. Wakati simu ikiwa sikioni nikingojea kupokelewa mara mchumba wangu Alex akaingia.

Nilichofanya ni kukata simu, kisha nikaweka kila kitu vizuri halafu nikajikausha kama hakuna lililotekea. Alex alinijia pale nilipoketi akanimwagia mabusu ya mahaba. “Unaonekana haupo sawa mke wangu mtarajiwa.” Alex aliniambia huku akinipapasa mgongoni.
“Ni kweli mpenzi,” nilimdanganya.
“Tatizo nini?”

“Tangu nilivyo amka najihisi kichwa kinauma,” nilizidi kudanganya.
“Pole sana. Umepata dawa?”
“Hata sijapata.”

“Kwa nini?”
“Nilikuwa nakusubiri wewe ukaninunulie tembe za maumivu,” niliendelea kumdanganya, mtoto wa kike niliongea kwa sauti ya kudeka macho yangu ya kurembua nayo yakifanya kazi yake ipasavyo.

“Basi acha nikakutafutie hizo tembe za maumivu,” Alex alisema, mtoto wa watu akatoka mbiombio, roho juu kwenda kunitafutia dawa za kutuliza maumivu ya kichwa.

Nilipohakikisha ameondoka kabisa, nilirudi kwenye simu yangu ili niendelee kumtafuta mtumaji wa picha chafu.
Wakati napekua simu, niliona ujumbe umeingia, ujumbe huo ulitoka kwenye namba ileile niliyokusudia kuwasiliana nayo.

“Nipigie.” Ndivyo ujumbe huo ulivyokuwa umeandikwa na kutumwa kwangu.
Nilichofanya ni kupiga namba ile. Simu iliita kwa muda mfupi tu kisha ikapokelewa na sauti nzuri tu ya kiume.
 
Sehemu ya 21

“Wewe ni nani?” lilikuwa swali la kwanza baada tu ya simu yangu kuwa hewani.
“Hata salamu hakuna?” mzungumzaji wa upande pili aliongea kwa dhihaka.

“Sina muda wa kusalimiana na mtu uliyekosa ustarabu, sema upesi unataka nini kwangu?” niliongea kwa jazba machozi yakinilenga lenga.

“Ni suala la makubaliano tu mrembo?”
“Makubaliano ya nini?” nilizidi kung’aka.
“Kuhusu picha au unataka zimfikie mume wako mtarajiwa?” Nilihisi tumbo likipata joto, taswira mbaya ikajitengeneza kichwani mwangu, nikamwona Alex atakavyo taharuki baada ya kuona picha zangu za utupu, tena zikitoka kwa mwanume mwingine.

Mwanaume huyo aliyeufungua usichana wangu, iweje leo aletewa picha za kikahaba atanichukuliaje? Atanionaje? Je atashindwa kudhani ile bikira yangu niliyomtunuku ilikuwa feki?

Hakika nitaonekana mwongo niliyekubuhu. Pia huo ungekuwa mwanzo wa kufahamika kwa kazi niliyokuwa naifanya, picha iliyojitengeneza hapo ni vile mwanaume huyo atakavyovunja uchumba wetu sambamba na chuki kubwa dhidi yangu.

Ukweli ni kwamba itakuwa aibu kubwa na maumivu makali, sikuwa tayari kuchekwa, sikuwa tayari kuingia kwenye aibu kubwa kirahisi vile, kadhalika kiu ya ndoa ilikuwa bado ikinipa joto nafsini mwangu, zaidi ya yote nilimpenda sana Alex. Sikupenda kabisa kumpoteza mwanaume huyo.

“Hellow,” jamaa alinishitua simuni baada ya kuona kimya. “Shida yako ni nini hasa?” “Nitakuwa na shida gani zaidi ya pesa mrembo,” alijibu kifedhuli.

Kabla sijatia neno mlango wa ndani ulisukumwa na Alex, akawa amerejea kutoka dukani alikokuwa amekwenda kuninunulia dawa ya maumivu ya kichwa.
BAADA ya kumwona Alex ameingia, nilichofanya ni kuikata simu kwa siri.

Kama nilivyosema awali, sikuwa tayari kabisa kuona mwanaume yule anatambua madudu niliyowahi kufanya maishani. “Mbona umeacha kuongea na simu?” Alex aliniuliza. Kumbe aliona wakati naongea na simu.

“Ni mtu amekosea namba,” nilimdanganya.
Mpenzi wangu wala hakuwa na makuu, alinipatia zile dawa za maumivu, nikanywa na maji, kisha tukanza kuzungumza kuhusu ratiba ya ndoa yetu, ambayo ingefanyika masaa 48 kutoka wasaa huo.
 
Sehemu ya 09

Hapo upo shoga?”
“Nipo, nakusikiliza Liz, endelea kuongea.” Nikaongea huku wasiwasi moyoni ukinijaa.

“Eeh!!...Kazi yenyewe ni kuuza picha za utupu mtandaoni.” Liz alinipasulia.
“Mungu wangu!!” nilitaharuki. UKIMYA mfupi ulipita baina yetu, jambo nililo elezwa na Liz liliniogopesha sana, katika maisha yangu niliwahi kujiapiza kwamba kamwe siwezi kuja kufanya umalaya ili nijipatie pesa.

Nilichukia mno kazi ya ukahaba, athari zake nilikuwa nikiziona kwa marehemu mama yangu, sikutaka yale yaliyokuwa yakimkuta mama na mimi yanikute. “

Siko tayari Liz, siwezi kujidhalilisha kwa sababu ya njaa,” niliongea kinyonge, Liz alikuwa kimya, alinisikiliza huku akinitizama katika jicho lilisema hujui lolote kuhusu maisha wewe. Angalia ya Liz iliniona kama mshamba fulani hivi ambaye naweza kukomba chai kwa kidole.

“Umalaya unaondoa heshima ya utu mbele ya jamii….”
“Nisikilize Sofia…”Liz alinikatisha. Aliongea kwa pozi, akaendelea.
“Kuuza picha zako kwa mtu aliyeoko Ulaya na bala la Asia, sio kujidhalilisha. Kamwe huwezi kuja kukutana na wanaume unawao wauzia picha zako. Sasa hapo umejidharirisha vipi?

“Picha moja unaweza kuiuza kwa dolla 10 hadi 20 ambayo ni zaidi ya shilingi elfu ishirini za kibongo hadi 30, huoni kama ni pesa nzuri Sofia? Huoni kama unaweza kutajirika kirahisi tena kwa muda mfupi tu?” Maneno ya Liz yaliningia ndani kabisa ya mtima wangu, moyo wangu ukatamani kabisa kazi ile, fedha zile nilizitaka sana, lakini kulikuwa na kama sauti fulani iliyokuwa inanisihi kutokubaliana na jambo lile moja kwa moja.

Liz ni kama alikuwa akitambua ni kitu gani kilikuwa kinapita akilini mwangu, naye akaniacha niamue mwenyewe. Akapiga kimya.

Nilifikiria kwa kina kisha nikamuuliza:
“Hizo picha chafu, nikishaziuza zinasambaa mitandaoni?”
“Wala. hilo halijawahi kutokea,” Liz alinijibu. “Na umesema hao wanaume siwezi kukutana nao kimwili?”

“Ndio.”
“Kama ni hivyo, nitafanya kazi hiyo, ila itakuwa kwa muda tu, nikipata pesa ambazo naweza kufanya biashara yoyote, nitaachana nayo.” Niliongea kwa yakini, sauti yangu na maneno yangu, yalibeba ujumbe uliomwambia Liz:

‘Nafanya kazi hiyo kwa kuwa nina dhiki lakini kamwe nisingeifanya.’
Pesa hizi jamani 🚶
 
Sehemu ya 22

Tulizungumza mambo mengi tu, na kwa kuwa suala la ndoa lilikuwa likiratibiwa zaidi na upande wa kiumeni, mume wangu mtarajiwa aliniaga akisema anakwenda kuendelea na shughuli zilizo salia kabla ya ndoa.

Hata hivyo, kabla hajatoka ndani, aliniachia mabusu motomoto huku akinitekenya tekenya kwa hila. Alizibinya binya taratibu embe zangu wakati mwingine akawa anakipapasa kiuno changu.

Kama isingekuwa mkandamizo wa wa kifikra niliokuwa nao dhidi ya yule fedhuli mwenye picha zangu za utupu, basi asubuhi ile lazima tungeikaribisha kwa mambo yetu yale ya kiutu uzima.

Baada ya kuhakikisha Alex ameondoka kabisa nyumbani kwangu, nilirudi kwenye simu yangu na kumpigia yule bwana, simu ikiwa sikioni nikapokea ujumbe kwamba simu ile ilikuwa haipatikani.
“Kwa nini sasa umezima simu!” niliongea peke yangu kwa masikitiko.

Masikitiko yangu yalikuwa katika tafsiri moja tu. Nilitaka nimalizane na mtu yule kabla ya siku ya ndoa yangu, kitendo cha kutompata katika simu, maana yake ni kwamba, ningeendelea kuishi kwa mashaka na wasiwasi siku zote.

“Nifanye nini?” nilinong’ona mwenyewe.
Kwa kweli nilishikwa na hofu kubwa moyoni, nilirudia kumpigia tena simu yule bwana, ujumbe nilio upata ulikuwa uleule. Namba ilikuwa haipatikani.

Au nimwambie ukweli Alex juu ya mambo niliyowahi kufanya maishani! Sauti moja kichwani ilinishauri. Hata hivyo, wasiwasi wangu ukawa vipi kama nikimwambia halafu nikaishia kuachwa!

Siku hiyo kutwa nzima nilishinda kama mgonjwa. Si chakula wala maji, vyote vilikuwa vichungu kinywani mwangu.
Jioni ilipotimu, mpenzi wangu Alex akanipigia simu. “Unaendeleaje mpenzi?”
“Nimepona.”

“Kuna jambo nataka tuongee,” “Jambo gani?” “Kuna bwana kanipigia simu…” alisema. Mapigo ya moyo wangu yakaanza kunienda mbio, nikatishika vibaya sana. Nikawaza isije kuwa yule jamaa mshenzi, amekwisha weka wazi kila kitu. Akaendelea.

“Jina lake naitwa Kaheza,amesema kuna kitu anataka kunionyesha kuhusu wewe.”
“Kitu gani hiko?” hatimaye mtoto wa kike nikajikaza na kumuuliza bila kuonesha wasiwasi wowote simuni.
“Amenieleza ataniambia kesho asubuhi?”
“Kwa hiyo unasemaje Alex?”
 
Sehemu ya 23

“Ndio maana nimekupigia kutaka kujua kama huyo mtu unamjua, na kama unamjua unadhani anataka kuniambia nini?” mchumba wangu Alex aliniuliza.
Nilishusha punzi ndefu kimoyomoyo nikasema, nimekwisha.

“Unaonaje kama ukija tuongee ana kwa ana?” nikamwambia, nikaona kama ni maji yamekwisha fika shingoni. Jambo jema ni kumweka wazi mume wangu mtarajiwa kwa kila kitu.

“Kwanza huyo mtu unamjua?” Alex aliunguruma simuni.
“Simjua kabisa, jina geni masikioni mwangu.”

“Basi kama humjui achana naye mke wangu.”
“Vipi kuhusu jambo analotaka kukwambia kuhusu mimi?” nikamuliza.

“Ungesema unamjua, ningekuja tuongee, lakini kwa kuwa humjui, achana naye, watakuwa wambeya tu. Nitangoja hadi kesho asubuhi nisikie anataka kunieleza umbeya gani.” alisema Alex. Mate mepesi yakanijaa kinywani.

“Nimekuelewa Alex lakini bado nahitaji kuongea na wewe.”
“Kuhusu huyu Kaheza?” “Kuhusu mustakabali wa uhusiano wetu,”nikamwambia.

Alex alipiga kimya kidogo, ni kama alikuwa akitafakari jambo nililo mweleza, alinyamaza kwa takribani dakika nzima, kisha akanimbia:

“Nitakuwa hapo baada ya dakika 30.”
Nilikuwa nimedhamiria kumwambia kila kitu mpenzi wangu Alex, nilipanga kutumia ufundi wote wa kike, sambamba na lugha laini kumweleza undani wa maisha yangu na mafanikio yangu bila kuathiri uhusiano wetu. Sikupenda kabisa kumpoteza mwanaume huyo.

Nikiwa katika kuwaza waza hili na lile huku nikivuta muda kumngojea mume wangu mtarajiwa, mara ile namba ya yule bwana ambaye hadi wasaa huo kupitia mchumba wangu nilimtambua kwamba anaitwa Kaheza alinipigia.
Shauku kubwa ikanishika, upesi nikapokea simu.

“Hellow.” “Bila shaka ni Kaheza. Mtu utakaye kuvunja ndoto zangu za ndoa yangu.” “Kumbe mchumba wako amekwisha kupa taarifa zangu?”
Jamaa alisema kwa dhihaka, kicheko cha kebehi kikisikika kwa mbali.

“Ukivunja ndoa yangu utafadika na nini hasa?” nilisema. Kauli hiyo ni kama ilimfurahisha yule bwana. Sauti na maneno yangu yalidhihirisha hofu juuya adui yule.

“Sababu kubwa iliyonifanya nimdokezee mumeo juu ya ushenzi wako ni dharau ulizonionyesha.”
“Dharau gani nimekuonyesha?” nilieendelea kuonesha hofu yangu kwa bwana yule.
 
Sehemu ya 24

“Sipendi ninapokuwa naongea na mtu katika simu, kuwe na vituo, vituo kwenye maongezi yetu, na haki ya mama, nakuapia Sofia, kama utarudia tabia hiyo, sitakuwa na simile na wewe.”aliniambia kwa sauti ndogo tu lakini yenye kunitisha mno.

“Kwani jambo kubwa unalolitaka kwangu ni lipi?”
“Nikwambie mara ngapi nahitaji pesa.”
“Kiasi gani?” “Laki tano tu itanitosha kuninyamazisha.”

“laki tano!!! Sina pesa ya kuchezea, kama vipi mwambie tu.”
Nilisema kwa ukali, niliona kama jamaa anataka kujipatia pesa ya ‘bwerere’ isiyo na jasho.

“Basi kama ni hivyo, mchumba wako ataziona picha zako za utupu zote. Nitamtumia muda huu huu kwa mtandao wa ‘Whastapp’ na ndoa mliyopanga kuifunga itapeperuka kama tiara.” Jamaa aliongea kwa hasira, na alipomaliza tu alikata simu.

Nikatambua sasa mchumba wangu ndio anatumiwa zile picha za utupu “Mungu wangu!” nilimaka. Mashaka makubwa yakanijaa.

Kwa kweli nilikuwa napitia wakati mgumu sana. Kutoswa masaa machache kabla ya kufunga ndoa, ni matukio niliyozoea kuyaona kwenye filamu. Sasa ilikuwa ni zamu yangu. Haikuwa filamu wala hadithi.

Kwa mara ya kwanza maishani, nikajikuta najutia kujingiza kwenye biashara haramu ya ukahaba.

Hapa napenda watu wajifunze jambo moja, hususani wanawake. Kama leo unajiuza, unatumia mwili wako katika ngono ili upate kazi, ama fursa fulani. Tambua wazi, ipo siku utakutana na athari za moja kwa moja zitokanazo na tabia hiyo ya leo.

Siku hizi wasichana wanafotolewa picha wakiwa na wenzi wao faragha, halafu picha hizo kwa bahati mbaya au kwa makusudi zinavuja mitaoni, aibu utakayoipata leo kamwe haina mwisho.

Usijidanganye hutokutana na athari itokanayo na picha hiyo siku za mbeleni,
Labda unaweza usiwe wewe, ila akawa mwanao, mumeo, wazazi wako, ama nduguyo. yeyote kati yao, ipo siku, mmoja wao atakutana tu athari ya jambo ovu utendalo leo.

Nakumbuka baada ya kama dakika kumi kupita, nikiwa mwenye mashaka juu ya picha zangu za utupu kumfikia mpenzi wangu, simu yangu ya mkononi ikaita. Kucheki mpigaji alikuwa ni Alex, mume wangu mtarajiwa.

Haraka haraka nikahisi kivyovyote jamaa amekwisha zituma zile picha,
 
Sehemu ya 25

Haraka haraa nikahisi kivyovyote jamaa amekwisha zituma zile picha, na kila kitu kipo wazi kwa Alex, nikaamini simu ile ilikuwa ni ya kuvunja tu uchumba. Jasho jepesi likanichuruzika maungoni.

Viganja vya mikono yangu, vilikuwa vikitetemeka. Nikapokea na kuweka sikioni.

“Uko wapi?”
Lilikuwa swali la kwanza baada tu ya mimi kupokea simu ile, sauti ya Alex ilionesha ghadhabu kali, na alikuwa amechanganyikiwa vibaya sana.
“Nipo nyumbani Alex,”nilimjibu.

Baada ya kusema hivyo, akakata simu. Nikabakia nimeganda kama sanamu, simu ikiwa bado sikioni. Sikutaka kujiongopea kama Alex hajajua siri zangu.

Nikafahamu Alex alikuwa njiani kunijia nyumbani kwangu, nikaendelea kutambua kwamba, kilichokuwa kikimleta ni picha zangu za utupu alizoziona. Zaidi ya yote alikuwa akija kuvunja uchumba wetu!.

Bila kutarajia nikajikuta naangua kilio mithili ya mtoto aliyekosa nguo za sikukuu. Kwa kweli nilikuwa nampenda mno mwanaume huyo, sikuwa tayari kumkosa maishani.

Nitaishije bila Alex.
Kwa muda mchache, nilijikuta nikiwaza mambo mengi sana, miongoni mwa mengi niliyoyawaza, ni kuona naingia kwenye aibu kubwa maishani, aibu ya kuachwa kwa sababu ya umalaya wangu mwenyewe.

Nikiwa kwenye tafakuri nzito Alex akafika. Alikuwa amevimba macho yamemwiva.

“Nataka tuongee.” Aliunguruma.
Nilimwangalia kwa wasiwasi, sikujua ningeanzaje kumwelewesha mwanaume yule.
“Una nini Alex?” nikamuliza, nikijifanya sijui lolote.

“Kaheza….”alisema, akasenndelea.
“Amenitumia picha zako.” Ilikuwa ni kama bomu lililotegwa tumboni mwangu sasa limelipuka, nilihisi tumbo likipata joto kali sana, mkojo nao ukanitoka, ukapenya na kulowesha kufuri langu.

Ingawa jambo lile nililitegemea, ila nilijikuta nakuwa katika mashaka makubwa mno. Nilitamani ardhi ipasuke nitumbukie, nipotee milele.

“Kumbe wewe ni changudoa, tena wa kimataifa, ujiuzaye mitandaoni. Kwa nini hukuniambia tangu mwanzo?” alizidi kunipasha. Uso wake ulikuwa umeloa jasho. Maneno yake yaliningia, yakanikaa kichwani na moyoni, akilini ilinizunguka.

Alex akaendelea kunipa vidonge vyangu. “Kumbe wewe mwanamke ni mshenzi kiasi hiki? Sasa sikia. Sioi mwanamke mwenye rekodi mbaya kama yako, kuanzia leo mimi na wewe basi.”
 
Sehemu ya 26

Tafadhali Alex.” “Nasema sikutaki.”
“Nipe nafasi nikueleze.” “Unataka kuzikana picha zako?”

“Hapana, siwezi kukana hizo picha zangu mwenyewe, ila ninachotaka kukueleza ni kwa nini nilijifotoa picha za namna hiyo.”
“Ni nini zaidi ya ukahaba.”Alex alizidi kufoka.

“Nilikuwa muuza picha za utupu, ila sikuwa natoka kimwili na wanaume, ndio maana ulinikuta bikira.” Nilimwambia, Alex akataka kusema jambo, lakini akasita, akaendelea kunisikiliza.
“Na mambo yote hayo, niliyafanya kwa kuwa nilikuwa nahitaji mafanikio maishani.

Nakiri ilikuwa ni kazi mbaya yenye kuadhirisha utu wangu, lakini kwa sasa kila kitu nimekiacha nyuma...”
“Kwa hiyo mafanikio umeyapata?” Alex alinikatisha. Akaniuliza katika namna ya dhihaka.

“Nina maisha mazuri, lakini sina furaha siwezi kusema nimefanikiwa maishani, sijafanikiwa bado.Kazi hiyo imenifanya niwe mtu mwenye woga na wasiwasi.” Nilimwambia. Nikaendelea.

“Binadamu mungwana ni yule anayekiri makosa yake na kuomba samahani, nahitaji msamaha wako kuliko kitu chochote maishani Alex.

Kama utaamua kunisamehe na kunioa nitakuwa nimefanikiwa sana maishani.” “Mimi nitakuwa sijafanikiwa Sofia, ndoto yangu si kuwa na mke aliyepitia maisha ya ukahaba.” Alex aliunguruma kwa ukali. Akaendelea.

“Sikutaki tena Sofia, ndoa yetu iliyokuwa ifanyike kesho, hapa ndio mwisho wake.”

Baada ya kusema maneno hayo aliondoka akiniacha peke yangu, nilichanganyikiwa. Nilimfuata Alex na kumbembeleza mno, lakini mwanaume yule aligoma, msimamo wake ulibaki vilevile, hakuwa tayari kuoa mwanamke aliyepitia rekodi ya ukahaba.

Masaa machache badaye, kila kitu kilikuwa wazi. Suala la kuvunjika kwa ndoa yangu na Alex lilisamabaa kwa kasi kama moto wa kiangazi nyikani. Jambo baya kuliko vyote, picha zangu za utupu zikasambaa kwa kasi kubwa mitandaoni.

Ndoa yangu iliyeyuka kama upepo. Kila mtu aliyekuwa akinifahamu alipopata habari zangu, alibaki mdomo wazi, ilikuwa ni aibu kubwa. Sikuweza kabisa kukabiliana na ukubwa wa skendo ile, nilitamani nitoweke nipotee kwenye uso wa dunia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom