Sio wewe peke yako mama mpo wengi mnaopita kimya hata likes hamtoi [emoji1787]Na mie ghost follower wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...mana navokufatilia ni balaa story zote nimooo kasoro nasahau kulike[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Sio wewe peke yako mama mpo wengi mnaopita kimya hata likes hamtoi [emoji1787]
Siku arosto ikizidi mlipojificha ndio mnatoka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eenh bwana utawasikia ndio mana sipendi kufatilia story za humu watu wana arosto sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Shunie mbona kimya..[emoji3][emoji3] wanazengo hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi tunakua wakali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chezea uraibuSio wewe peke yako mama mpo wengi mnaopita kimya hata likes hamtoi [emoji1787]
Siku arosto ikizidi mlipojificha ndio mnatoka
Hahahhha nilivyoona avatar nilihisi kama Brenda nikasema ni yeye kweli kaja kivingine au hisia zangu tuHadi tunakua wakali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chezea uraibu
Kwa niaba ya maghost wenzangu tutaanza kulike kila post ili kukupa morali fanani wetu[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app