Simulizi: Miss Tanzania

ooohh asante pia ".. peniela nimeshaisoma "... tangu enzi ile inaletwa na lege humu ... na ile ya yule binti mrembo africa jina aliyeolewa na raisi wa congo ".(jina limenitoka)

so naomba unitag kwenye hiyo ya i died to save my president
itakua queen monica ngoja nikakutag
 
Hivi kuna watu wana mapenzi kama.haya
 
Thad .. nakushauri anza na hii .. ni moto wakuotea mbali aisee
 
Nimetumia muda wangu mwingi sana na siku nyingi sana, hakika mtunzi unastahili PONGEZI, Umetunga kitu kizuri sana .....imeniliza sana , nitakutafuta kwa mawasiliano zaidi
 
Daaah baada ya siku kadhaa Leo nimeimaliza hii story ni booooooooonge la story pongezi kwako mtunzi Patrick CK ni kama muvi asee.
 
Zipo hadithi nyingi tu za Patrick CK huwezi juta ni move kabisa
Huyu Patrick Ck ni genius yani anatunga story matata sana ,nlipoanza kusoma Miss Tz sikuingia majukwaa mengine kabisa hadi nimemaliza kuisoma
 
Moja ya simulizi bora kabisa ...Ambazo nimewahi kuzisoma katika maisha yangu. ..

Hii simulizi na peniela ndio zilinifanya ni Muone Patrick ck kuwa ni mtunzi bora kwa sasa tanzania nzima ''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…