Simulizi: Miss Tanzania

Haya nimekuelewa na samahani kwa kukukwaza
 
Reactions: ADK
Kwenye stori hii pamoja na kuwa nzuri, kwangu mimi imekuwa zaidi niliposoma Mbalamaziwa na Malangali. Nimefurahi sana
 
DuuuHhhhh "... patrick ck " Anaweza akakuliza . huyu mwehu "... Mtu gani huyu anatunga masimulizi kama mzimu
 
ooohhhhppppssss " Masikini happy "....ama hakika dunia haina usawa"... uwiiiiiii
 
hatimae nimeimaliza "... nina siku ya tatu leo sijakanyaga jukwaa lingine lolote " kwaajili ya kuguswa na uhondo wa hii simulizi "....

Aisee huyu patrick ck anastahiki kupewa nishani ya uzamivu" kutokana na uwezo alionao katika utunzi wa masimulizi ".. the guy ni genius "...
yaani unasoma story mpaka mwili una sisimka .. OMG "

by the way asante Sana Madame S ... usisite kuteletea hadithi nyingine toka kwa huyu jamaa. Jamaa ni kichwa .. huwezi amini now ni saa 1:55 usiku bado sijalala "... story tamu hatari
 
Aya asante kwa kushukuru mwenyewe ana yake sjui kama kishaianza kikosi cha nn sjui, alikataa katakata watu tupost tena kaz yake, halaf kuja moja i died to save my president iko huku icheki, vipi kuhusu penielea umeisoma?
 
Aya asante kwa kushukuru mwenyewe ana yake sjui kama kishaianza kikosi cha nn sjui, alikataa katakata watu tupost tena kaz yake, halaf kuja moja i died to save my president iko huku icheki, vipi kuhusu penielea umeisoma?
ooohh asante pia ".. peniela nimeshaisoma "... tangu enzi ile inaletwa na lege humu ... na ile ya yule binti mrembo africa jina aliyeolewa na raisi wa congo ".(jina limenitoka)

so naomba unitag kwenye hiyo ya i died to save my president
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…