Sawa MkuuMkuu Clkey napenda sana tuburudike pamoja kuhusu mwendelezo wa simulizi hii, lakini nawajibika sehemu nyingi, hivyo kujikuta nachoka sana na kukosa muda , ila kesho panapo majaliwa tutaamka na vipande viwili.
Kumbuka inahitaji utulivu kuandika ili angalau kuleta ladha kwa msomaji
Hata zingekuja tatu bado tu Nina imani ungetafuta kitu ukakosoa ama kulalamika ,yaani bana Ni nature of our mind to seek negative according how/where we evolved from.Episode Mbili Mbona Ndio Makubaliano Saivi Imekua Moja
Tujifunze kuridhika mkuuEpisode Mbili Mbona Ndio Makubaliano Saivi Imekua Moja
Tujifunze kuridhika mkuu
Ngoja nitamludisha tu
Haaa mkuu, kitu ipo active now, kesho kama kawaida usikose kutembelea mitaa hii.nimeshahama huku,mapenzi yanitese na hadithi pia jaman
nimeshahama huku,mapenzi yanitese na hadithi pia jaman
Ungefanya mipango Mkuu leoooHaaa mkuu, kitu ipo active now, kesho kama kawaida usikose kutembelea mitaa hii.
Mimi ni shabiki na mwanachama wa Young African hivyo nipo busyUngefanya mipango Mkuu leooo
Kiruuuuu eheee basi leo kapaMimi ni shabiki na mwanachama wa Young African hivyo nipo busy
Weee embu apia kama nikwel,nataka niingie mzima mzimaHaaa mkuu, kitu ipo active now, kesho kama kawaida usikose kutembelea mitaa hii.
kuachana nayo kabisa kabisaa ni ngumusasa mapenzi yakikutesaaa si unaachana nayo tuu Mkuu unafanya mambo mengineee