Simulizi: Bwana Harusi aliyejeruhiwa

Sijui kwa nn nasra kafa jamani kuna nyingine imeanza nimekutag
Mawazo yalimzidi kimo .. kuachwa na yule msanii ..kukataliwa na faraji kufariki kwa mtoto wake na kukosa uzazi mpaka kupewa talaka ni matukio ambayo yaliyo pelekea kujihisi kuwa dunia haimuhitaji tena
 
Na kweli alijihisi dunia imemtenga
 
Sante sana@Shunie ake.
Kama ni kweli hii stori ni ya ukweli basi faraji ana mitihani sana na Mungu amfanyie wepesi kwakweli maana magumu anayopitia yahitaji imani na moyo wa subra kwakweli.
Hii story ina mafundisho mengi sana.
 
Shangazi Shunie hureyyyy [emoji123][emoji123]nimemaliza. Barikiwa sn mama
 
Sante sana@Shunie ake.
Kama ni kweli hii stori ni ya ukweli basi faraji ana mitihani sana na Mungu amfanyie wepesi kwakweli maana magumu anayopitia yahitaji imani na moyo wa subra kwakweli.
Hii story ina mafundisho mengi sana.
Zaidi ya mafundisho jamani inasikitisha sana
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]...!!! Hii kubwa kuliko..!!
 
Aisee Faraji pole sana..ngoja niendelee nitakupa pole vzr nikishamaliza...[emoji134]‍♀️
 
Duuh kweli Nasra ni noumaaah...[emoji15]
 
Aisee Faraji pole sana..ngoja niendelee nitakupa pole vzr nikishamaliza...[emoji134]‍[emoji3601]
Hahahahah
Mbona bado utampa pole mpaka uchoke
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…