Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
- Thread starter
- #81
SEHEMU YA 26
Nikajiweka vizuri kitini kumsikiliza. “Nieleze tu dokta haina shida” “Iko hivi…”akaanza kunieleza.
“Mwanao amebemedwa.” “Kubemendwa ndio nini?” nikauliza nikiwa makini sana.
“Kubemendwa ni hali ya mtoto kunyonya maziwa ya mama yake yaliyochanganyikna na mbegu za kiume, yanii manii.”
“Duu! Mbona hilo jambo geni inakuwaje mtoto anyonye maziwa yenye mbegu za kiume?” nikahoji.
“Ngoja nikufundishe kitu…” dokta Chale alisema, akajikohoza kidogo kisha akaanza kunieleza.
“Kitaalamu ndani ya manii au mbegu za kiume kuna vitu vikuu vine. Protein, acid, chromosome na virus, nitakueleza kuhusu Acid kwa kuwa ndio kitu kilicholeta madhala kwa mwanao.
“Acid ni mfano wa tindikali, yaani kitu chenye ladha ya ukali mfano ndimu. Na kitu chenye tindikali kina kawaida ya kuunguza na pia kulegeza, ndiyo sababu kitaalam ukimlinganisha mwanamke aliyeolewa na asiyeolewa kisha akawa hafanyi zinaa maumbile yao yanatofautiana.”
Alisema kisha akaendelea. “Yule aliyeolewa mwili wake unakuwa laini zaidi sababu ya acid inayopatikana ndani ya manii.
Nitakupa mifano mingi iliyo hai ili akili yako ikubali kwamba mwanao amenyonya maziwa ya mama yake yaliyochanganyikana na manii ya mwanaume asiye baba yake.
“Ukitaka kuthibitisha zaidi acid katika manii kuwa inaunguza nakulegeza, ukiwa na kidonda kibichi jaribu kutia manii, kidonda kitauma mara mbili zaidi sababu ya acid.
“Mfano mwingine tazama kwa wale watoto wa kiumeambao wanaingiliwa kinyume na maumbile (mashoga) hata kama zamani alikuwa strong kiasi gani akiingiliwa tu, basi analegea kuanzia kutembea, kuzungumza na kila kitu,sababu ni Acid inayopatikana ndani ya manii.
Ndio maana tunashauri kutomuingilia mwanamke anayenyonyesha sababu ukimuingilia ukamuingizia manii
ambayo yana acid, acid ile itapanda katika matiti na kuyaharibu maziwa na hapo mtoto akinyonya atanyonyamaziwa yenye acid.
Halia hiyo, itasababisha mtoto kuwa katika hali kama aliyonayo sasa.
“Lakini kama atakula acid ya baba yake hatadhurika sana,sababu atakula acid ambayo kwa asili ndiyo iliyomtengeneza.