Simulizi: Bwana Harusi aliyejeruhiwa

Acha tu mkuu,,masuala ya mademu yanapasua sana kichwa.ni bora ukawekeza kwenye issue zingine sio mapenzi..nme experience mengi
Mkuu sasa hivi sio mademu tu
Kila upande ni mvurugano
Si wanaume si wanawake
 
Huku mwisho wa simulizi imeisha kwa kuniletea simanzi mnoo masikini faraji " masikini mama yake faraji " what a kind of life "!! Wanayoishi "? Masikini nasra Mwenda tezi na omo marejeo ngamani ni huzuni kwakweli
 
Sijui kwa nn nasra kafa jamani kuna nyingine imeanza nimekutag
Kweli " hebu ni tag upya ..leo nime update app ..so tag ambazo zimepita siku kadhaa nyuma sizipati ..ni tag mkuu niipitishe weekend vyema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…