Zion jrGong Marley
Senior Member
- Aug 27, 2018
- 173
- 108
Leo vip Hakuna hata episode moja
Muwaache kuwasingizia wapemba na waarabu. Siku hizi Amber rutty haina ukabila. Tabia hizi siku hizi zimeenea.Wanawake wa kipemba na asili Ya kiarabu wengi wana silidi kwenye mwandu tu Ila back stage ni mseleleleka wa mlima kitonga
sio wazenj wote jamani. Hata usenge siku hizi hakuna ukabila vijana wengi wanajiingizahatari sana watoto wa zenji mi huwa nawaogopa mnoo " michezo yao michafu sana
Wamejiingiza baada ya kuona kwa wenzaosio wazenj wote jamani. Hata usenge siku hizi hakuna ukabila vijana wengi wanajiingiza
Maninaa na bado punguwani wewe,na ukimwi juuSEHEMU YA 81
Nilikuwa nikifunga safari za mara kwa mara kwenda Mwanza, huko sikuwa nakaa sana.
Kuna wakati nilifikiria kuhamia Mwanza, wazo hilo likawa gumu kiutekelezaji kutokana na miradi yangu mingi kuwa Dar es salam. Debora alikuwa akinishirikisha kwenye baadhi ya kazi zake, na mimi nilikuwa nikimpa msaada kadiri ya uwezo wangu.
Siku moja nilifunga safari hadi Mwanza, nilifika mapema tu, majira kama ya saa nne asubuhi. Nakumbuka Ilikuwa siku ya Ijumaa.
Baada ya kufika kwenye nyumba aliyokuwa akishia, bahati nzuri au mbaya sikumkuta.
Lakini kwa vile nilikuiwa mwenyeji, nikapitiliza hadi chumbani.
Nilipofika ndani baada ya kuoga na kupumzika, nikiampigia simu kumwambia nimekwisha fika. “Kwa nini uje mapema ?” Debora aliuliza kwa sauti ya ukali hadi nikaogopa. “Sioni ubaya.
Maadhali hapa ni nyumbani, hata ningekuja saa nane usiku, ni sawa tu.” “Sipendi tabia za Kiswahili mimi.” Debora akapayuka. “Ni jambo dogo hilo mpenz…” “Nimekwambia sipendiii!”akapayuka kwa ukali zaidi.
Ikabidi nikate simu, nikafikiria sababu inayomfanya Debora akasirike kiasi kile, bado nikaona jambo lililomudhi ni la kipuuzi tu. “Wanawake bwana, sasa hilo ndio la kumkasirisha!”
Nikiwa katika tafakuri macho yangu yakatua juu ya droo ya kitanda, nikaona kuna pakiti za dawa, nikavutika kutaka kujua dawa zile ni za nini, maana sikuwahi kupata taarifa zozote kama Debora ni mgonjwa.
Nikasogea Nilipoiangalia pakiti ile. Sikuamini nilichokiona!. Kwanza pakiti ile ilionesha kuna tembe kama tano ambazo zimekwisha tumika, ila kubwa lililonishangaza ni kukuta vidonge vile vilikuwa ni vya kuzuia mimba. “Inamaana Debora hataki kuzaa na mimi!” nilijiuliza kimoyomoyo.
“Kwa nini? Anamipango gani? Kwa nini hanishirikishi.?” Maswali yote hayo yalipita akilini mwangu kwa wakati mmoja, kengele ya hatari ikalia kichwani kwangu, nikaanza kuwa na wasiwasi huenda Debora naye ananicheza mchezo mchafu kama alivyofanya mke wangu wa zamani, Nasra.
Nikiwa kwenye mkanganyiko ule, sijui niliwaza nini bwana, nikaanza kukagua kona moja hadi nyingine ndani ya chumba kile.
Nilivuta droo ya kabati la nguo ambapo huwa tunaweka makablasha mbalimbali. Ile navuta tu. Lahaula!!!!...
Ujinga wakeManinaa na bado punguwani wewe,na ukimwi juu
Wacha tusubiri....ile navuta droo tuh,, lahaula.......aah aiseeh ni mkali,,, umetengeneza maswali kichwan,, poa ngoja tuone nn kitaendelea
Ambaruty..na kina kaoge wametokea zenj!sio wazenj wote jamani. Hata usenge siku hizi hakuna ukabila vijana wengi wanajiingiza
Wenzao wazungu...waliowatawala...Wamejiingiza baada ya kuona kwa wenzao