Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
ndio love, nimesogeza sikio hapa usining'ate tuNikunong'oneze beb

siwez kufanya hivo huniendio love, nimesogeza sikio hapa usining'ate tu
ok temmesiwez kufanya hivo hunie
nimemiss kusikia sauti ya kichekoHahahahahha
Sehemu ya 76
Dakika chache zilizofuata, tuliwasili nyumbani kwangu, Kinondoni studio, kama tulivyotegemea, Nasra alikuwa ameketi kitako, amegea ukuta wa nyumba yangu.
Alipoliona gari, akasimama na kusogea, tembea yake ilionekana ni mwenye maumivu ya tumbo, nadhani ni athari za lile teke. Nilisogeza gari hadi getini, naye akasogea upande wangu.
Nilipandisha vioo, yeye hakuniona ila mimi niliomwona. Vioo vilikuwa ‘tinted’ akiwa dirishani akawa analia mikono yake akionesha ishara ya kuniomba kwa kunibembeleza.
Wakati uwazi wa geti unazidi kufunguka ndivyo Nasra alivyokazana kunisihi nimlete mtoto amwone, katika muda wa sekunde za kuhesabu, geti lakawa wazi.
Kwa kutumia kioo cha mbele, nikampa ishara mlinzi amzuia kiumbe yule asithubutu kuingia ndani wakati naliingiza gari.
Nasra akaendelea kulia machozi aliniomba nimkutanishe na mwanaye, labda kwa mtu mwingine aliyekuwa akishuhudia jambo lile angeweza kushikwa na huruma, lakini moyo wangu haukuwa na huruma hata chembe na mwanamke yule.
Nikawa nalingiza gari, huku naye akilifuata, alikaribia getini, mlinzi akamzuia. Akalia kama mtoto, masikini Nasra alitia huruma mno. Nilimteremsha mke wangu mtarajiwa Debora, nikamwingiza sebuleni.
Baadaye nika nikarudi nje kumweleza ukweli mwanamke yule kwamba mtoto alikuwa kwa bibi yake.
Nilipotokeza tu, kama kawaida Nasra alinifuata na kunipigia magoti. “Niko chini ya miguu yako, naomba nimwone mtoto japo kwa dakika moja tu.”
“Nisikilize Nasra…” nilisema, nikaendelea. “Mtoto hayupo hapa, anaishi kwa bibi yake huko Nguruka Kigoma,”nilimwambia, alibakia kimya, ni kama vile alikuwa akisubiri aambiwe jambo hilo ili atulie, alikuwa mtulivu ni kwikwi za kilio tu ndio zilimtoka.
Baada ya kumweleza hayo, nilirudi ndani. sikujua baada ya pale Nasra alielekea wapi, sikutaka kujua maisha yake wala lolote kumuhusu.
Ninachokumbuka baada ya kama siku tatu nikapoke simu kutoka kwa mama. “Mwanao amepotea,” lilikuwa ni neno la kwanza kuzungumzwa na mama baada tu ya kupokea simu yake. “Nini!!!” nilishituka. Nikamkumbua Nasra.
ITAENDELEA…..
Weka nyingine bana hii marudioSehemu ya 76

haha labda leo utaisikianimemiss kusikia sauti ya kicheko
sawaahaha labda leo utaisikia
ayasawaa
MfyuuuuKizuri unachokipenda wewe
My bana
Huyo ni eksi wangu kipenzi changuNatangaza rasmi wewe sio babe wangu tena
Huo ni utani bana kipenzi changuSikutaki tenaaa
naona jitihada, ngoja niwe mtazamaji
ukikojoa dagaa utajua mwenyewe