mireille
JF-Expert Member
- Mar 4, 2020
- 606
- 665
Mmmh [emoji849][emoji15]Mpaka sasa sijaona mahusiano ya heading "biashara ya kifo" zaidi ya kuwadhalilisha mapadri na kanisa
Mmmh [emoji849][emoji15]Mpaka sasa sijaona mahusiano ya heading "biashara ya kifo" zaidi ya kuwadhalilisha mapadri na kanisa
Kuna riwaya ina jina hilihili, ila mwandishi wake ni Halfani Sudy. Hii inalandana na jina lenyeweMmmh [emoji849][emoji15]