Simulizi: Baradhuli mwenye mikono ya chuma

Pole Steve
Lkn haina mwendelezo hapa tena??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa kubwa nililofanya ni kusoma sana story za patrick Ck na umughaka. Zile story za patrick zinasisimua sana, zinafanya usijue nini kitatokea mbele. Hizi story nyingine nimekuwa nasoma ila sisisimki kwa sababu yatakayotokea mbele yanajulikana
 
Asee uko kama mimi, Patrick CK yuko level nyingine asee.
Ila na huyu jamaa SteveMollel kuna story ameitoa inaendelea ya Tukiwa hai tutasimulia, asee ile story unahitaji umakini sana kueilewa.
 
Nadhan mzimu ni wa bwana Kim toka Korea raheema si alimtapeli yule mkorea
 
Vijana wa Cuba tunamwelewa vizuri kaguta kuliko inspector
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…