Simulizi: Baradhuli mwenye mikono ya chuma

Simulizi: Baradhuli mwenye mikono ya chuma

simulizi yangu ya BARADHULI inarushwa Kings FM pasipo kujua mimi kama mwandishi. Kitu hiki kinakatisha sana tamaa, kinanifanya nisite kutuma simulizi zangu mitandaoni.



yani kila siku ya Jumamosi na Jumapili majira ya mchana wanasoma simulizi yangu, roho nyeupe!
Screenshot_2017-11-08-13-31-27-1.png
 
mtoto wa katende kamchoraje miraji jamani na kulikuwa gizani..??..ni mwanga wa tochi tuu ndio uliosaidia..tena kwa muda mfupi...labda kwa miraji kujitaja yeye ni mtoto wa malale....
 Thanks
#alijimulika tochi usoni mzebab,,,soma vzur kabla hujakosoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom