Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,433
- 38,402
Acha kufananisha goli la kwanza, goli takatifu na vitu kama hadithi!Jamani sawasawa na goli moja halitoshi. Tuongezee na cha 2
Acha kufananisha goli la kwanza, goli takatifu na vitu kama hadithi!Jamani sawasawa na goli moja halitoshi. Tuongezee na cha 2
mkuu poa...poa....[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....nilikuwa sijaona hii........Cc: Kaburungu , zinginary , nancy1983 , compact , matobholo , alphaking mahena , juma chief , fakalava , ArchAngel
nakanyaga kila unapotoa unyayo wako mkuu...nipo..!!!kaburungu zinginary nancy1983 Compact matobholo Alphaking mahena Juma chief fakalava ArchAngel jaxonjaxon @iddyeba Slim5 anthonysamanii
Tuendeleee wakuu...
mzimu wa malale kaka huo....Jamaa wanapunguzwa mmoja mmoja. Hivi haiwezekani kumkodisha huyo jamaa mwenye SHATI LA NJANO aje kuwapunguza wapiga deal?
Kwenye huu msimu wa pili. Kuwa mpole mkuu.najaribu kufuatilia kujua kipengele cha intellijensia mkuu...kinaanzia wapi...??
Nakuona mkuu upo makini sana.miraji anatumika pasipo kujijua maskini....daahh....!!