Simulation gaming videos from Iringa Tanzania

Mkuu Hans hongera sana kwa ubunifu uluoufanya
 
Volvo ndio gari kweny euro truck ,mengine yote majanga tu
Mr ktk gari ninayoipenda ni SCANIA
mm huwa napenda niipe mpaka speed ya mwisho lkn naona km huwa hazikimbii kabisa. Huwa nafika D12 55MPH Lkn naona speed ni ndogo sana.

Napenda sana ku overtake magari hasa route ndefu huwa nafurahia sana.
Barabara ambazo huwa zisipend ni za ufaransa vizuizi vingi sana mpaka kero
 
Mkuu volvo ni shidaa....

Yani speed napiga hadi 150 labda

Alafu route kama ya linz to praha full kona za kutosha

Sijajua region ipi ina route za kona kona alaf ziwe ni two lane zile ful kupishana
 
Huyu jamaa amefanya kazi kubwa sana,tumpe sapoti hata ya kulike na kukoment kule youtube.
Naona Views 76 lakin like moja sio sawa wakubwa ,tujitahidi kupeana support kwa njia mbalambali.
 
me natumia v1.25.2.5 ambayo ni latest. Mod nyingi zinagoma kwasababu hiyo V1.5.2.1 ni ya zamani. Nakushauri tafuta latest version. Steering iko safi tu sema inategememea unatumia gamepad,mouse,joystick au wheel.
kingine jaribuni kudownload game save profile ambazo zime unlock all features inaweza saidia kuongeza utam wa game
 
Anapaswa kupewa tuzo
Nalitaman sana hili game ila sijajua baada ya kudownload mods
kwahiyo hili file linakuwa wapi? (mydocuments>eurotrucksimulator2>
mods. )
nipe maelezo ya kutosha wakuu. Nalitamani sana nilicheze
 
kingine jaribuni kudownload game save profile ambazo zime unlock all features inaweza saidia kuongeza utam wa game
Mkuu mbona mnaniruka tu. Maelezo plz
Baada ya kudownload moda what next?
 
Mkuu mbona mnaniruka tu. Maelezo plz
Baada ya kudownload moda what next?
Extract mod kisha copy file zenye extension ya .scs kweny folder la mod,kupata folder la mod..fungua my documents kisha euro truck kisha mod af paste hapo .

Baada ya hapo fungua eurotruck na activate mod basi .
 
Habari wakuu humu ndani...mpo safi wazee wa ETS2.
 

Kweli mkuu, Asante sana.
 
My favorite game.. Uko iringa sehem gani mzee.. Na mimi naishi iringa..
 
kweli me natumia F16 750hp
Kuna mod moja ya map ya africa huko north africa kuna njia za porini hizo kama kitonga.. Nilikuwa natumia DAF mbona kuna sehem ilinigomea kupanda.. Ikabidi nikachukue volvo mzee
 
Kuna mod moja ya map ya africa huko north africa kuna njia za porini hizo kama kitonga.. Nilikuwa natumia DAF mbona kuna sehem ilinigomea kupanda.. Ikabidi nikachukue volvo mzee

ok kuna kipindi kuna jamaa alisema anaweza kufanya editing ili kutengeneza ramani ya tanzania ila nashangaa kimya. wewe unweza?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…