Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,842
- 10,765
nimeingia google tu nikaandika pes 2017 ikaja nikawa nadownload ndo ikafika sehem ya kueka izo key ndo nikafeli
Logitech G27 zinapatikana Bongo?Fernbus sikuipenda..nilkua nayo...hata EAA bus ni mod ya ets2 ina kua na bus tu pia sikupenda..nilgundua napenda malory kuliko bus mkuu