Simulation games

pirate

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
706
665
Habari wakuu huu uzi ni kwa wanajamvi wanaopenda video games ziwe za pc, ps, x-box, psp nk

Leo nimependa kujaribu kuweka list ya game ambazo ni zinakuja kwa kasi sana japo sio zinapendwa na watu wote lakin inavyoonekana soon zitapendwa sana na watu wanaopenda video games.

Games hizo ni SIMULATION GAMES, kwa maelezo kidogo ni game ambazo uwa inabidi utumie akili kidogo nyingi japo pia video games karibu zote zinataka akili sana ila simulation games inabid akili za zaidi, na kwa upande wangu nazipenda sana FOOTBALL SIMULATION GAMES ambazo nimeanza kuzicheza tangu miaka mingi kidogo na nina uzoefu nazo kidogo kwa jinsi ya kuzicheza najua pia baadhi ya wanajamvi wapo ambao wana uzoefu nazo zaidi hizi games pia, kwa leo nina list ya games ambazo nilishawahi kuzicheza na kwa muda kidogo na kama ni mara yako ya kwanza au ukazipenda kuzicheza na ukawa ujaelewa maelekezo yake jinsi ya kuzicheza naweza nikakusaidia kukupa maelekezo kwa jinsi nitakavyoweza.

#1:
FOOTBALL MANAGER {
2004 - 2017 zinaendelea kuwa released}

kwa maelezo kidogo tu

Football Manager (also known as Worldwide Soccer Manager in North America) is a series of football management simulation games developed by Sports Interactive and published by Sega. The game began its life in 1992 as Championship Manager. However, following the break-up of their partnership with original publishers Eidos Interactive, Sports Interactive lost the naming rights and re-branded the game Football Manager with their new publishers Sega. The latest version of Football Manager was released on 4th November 2016.

header.jpg


football-manager-2016.jpg


jpg


pia zinapatikana kwa pc/iphone/android etc

kwa kusoma zaidi FOOTBALL MANAGER 2018 soma hapa


#2:
TOP ELEVEN


Top Eleven Football Manager is an online football manager simulation developed and published by Nordeus in May 2010, and is available on both Google Play Store and the App Store.

The game can also be played on Facebook and it allows players to play against their friends. The game was conceived in order to address a lack of football management games in the social media environment. The game builds on the concepts and gameplay found in games like Sports Interactive's Football Manager and Electronic Arts' Premier Manager that have managed to engage millions of football fans, and tting them to social features. Top Eleven Football Manager has managed to transfer the look and feel of desktop applications to Facebook.

Since November 2011, Top Eleven is available for mobile devices, Android and iOS.

Two years after being launched on Facebook, Top Eleven was launched on one of the biggest Russian social networks, Odnoklassniki. According to the statistics from Facebook, there were more than 15 million monthly users in 2014.

In 2013, Nordeus introduced José Mourinho as the official "face of the game". Since then players can challenge Mourinho in game and get some tips from him.

On 16 May 2017, Stoke City announced that Top Eleven will become the club's sleeve sponsor beginning from the 2017–18 Premier League season.

murinjo-1.jpg


2DLM-2560x1600.jpg


top-eleven-manager-de-futbol-004.jpg


preloader3.png


available in android devices/apple devices
 
mi pia napenda sana simulation za football management, kwa pc naona kama football manager ni monopoly, ile fifa manager sikuipenda na naona siku hizi wamei discontinue.

pia hizo football manager zamani zilikuwa zinaitwa championship manager, ipo moja ya mwaka 2001 ilikuwa nzuri sana na siku hizi wameifanya iwe bure kabisa kama utakuwa interested.

kwa simu pia zipo hizo zinaitwa football manager handheld au football manager mobile,

naona na square enix wametoa game yao nayo inaitwa championship manager ni ya bure ipo playstore, sema ina mambo ya in app purchase hivyo kuharibu ladha ya mpira.
 
oceanofgames.com ni games za windows wakati oceanofapk.com ni games na apps za android, getintopc.com wao ni software za pc. nafkiri ni kampuni moja.
Asanthe kwa info mkuu. Nlikua natafuta hilo football manager 2017. Kwenye oceanofapk nmelikosa nimelikuta la 2017 tu.
 
Asanthe kwa info mkuu. Nlikua natafuta hilo football manager 2017. Kwenye oceanofapk nmelikosa nimelikuta la 2017 tu.
1. la 2015 ndio best lililo kamili
2. la 2016 halikuwa na crack
3. la 2017 lina fake names hivyo hutaona mchezaji unaemjua.
 
wakubwa mimi ni playstation four maniac...nani anaweza kua tunaazimana latest cds za playsation four humu ndani
 
Sorry this thread fr online football games? Perhaps i like other games like x plane its a flight simulation gm, n mission games like middle of honour, delta force, sniper gost warrior, call of duty etc. Can i get a free site to download ths knd f gm on pc, any gyz anayefaham.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry this thread fr online football games? Perhaps i like other games like x plane its a flight simulation gm, n mission games like middle of honour, delta force, sniper gost warrior, call of duty etc. Can i get a free site to download ths knd f gm on pc, any gyz anayefaham.....

Sent using Jamii Forums mobile app
mh a chick with that hobby please let me marry you ah ah nenda www.oceanofgames.com bundle yako tu
 
Sorry this thread fr online football games? Perhaps i like other games like x plane its a flight simulation gm, n mission games like middle of honour, delta force, sniper gost warrior, call of duty etc. Can i get a free site to download ths knd f gm on pc, any gyz anayefaham.....

Sent using Jamii Forums mobile app
oceanofgames.com

hii site huwa hata siilink, wapenda games wote wanatakiwa waikariri.
 
Back
Top Bottom