Simulation games

Simulation games

dhaa nakumbuka nilikuwa nalo lote na lilikuwa HD nilikuwa na add mod sana kiasi kwamba hadi komputer ili anza kuzengua. ila nilikuja kulifuta
So la kwako lilikua na hizo mods au ulidownload na kama lilikua na hizo mod lilikua version ngapi au ilikuaje ikawa na hizo mods
 
VERSION 1.30.2.2 na mod nyingine nilikuwa na download kama mazingira magari logo za makampuni ya sasa ku pimp gari na mengine mengi tu, yani nilikuwa na enjoy sana sio kidogo nakumbuka nili download msongamano wa magari bwana wee ilikuwa ni noma na ukitoa speed limit ndo usiseme

maxresdefault.jpg

maxresdefault.jpg

maxresdefault.jpg

na ramani ya italy

ITALY-MAP-V1.1-1.27.X-MAP-MOD-ETS2.jpg
 
Euro truck simulator 2 funga kazi..inanoga sana ukiwa na mods...

Unachukua scania S yako unafunga Horsepower 2000
Gearbox unafunga mpya
Nyuma trailer unafunga pullin zile (double traller)
Chini kiatu unafunga michellin moja matata
Sound mod unafunga v8 engines sound..yan hapa chuma kinaachia milusi kama ya fuso zile

Mwisho unamalza na map moja ya urusi yan barabara zmepsuka,bumps zakutosha,milima typ za sekenke na vumbi la kumwaga...

Ets2 inataka mods.
 
Mkuu ba

Mkuu naomba hiyo link nidownload hiyo version
 
Euro truck simulator 2 funga kazi..inanoga sana ukiwa na mods...

Unachukua scania S yako unafunga Horsepower 2000
Gearbox unafunga mpya
Nyuma trailer unafunga pullin zile (double traller)
Chini kiatu unafunga michellin moja matata
Sound mod unafunga v8 engines sound..yan hapa chuma kinaachia milusi kama ya fuso zile

Mwisho unamalza na map moja ya urusi yan barabara zmepsuka,bumps zakutosha,milima typ za sekenke na vumbi la kumwaga...

Ets2 inataka mods.
Ni kweli RUS MAP ni poa. Vipi umewahi jaribu FERN BUS Simulator na OMSI BUS Simulator?
 
Fernbus sikuipenda..nilkua nayo...hata EAA bus ni mod ya ets2 ina kua na bus tu pia sikupenda..nilgundua napenda malory kuliko bus mkuu
Ni kweli RUS MAP ni poa. Vipi umewahi jaribu FERN BUS Simulator na OMSI BUS Simulator?
 
gta V huchezi na dual core, call of duty za kizamani utacheza.
mkuu mimi nilikua nadownload pes 2017 nikakwama sehemu wanasema niingize key hapo ndo nilikofeli nikijaribu kubonyeza sehemu walikoandika download wananiambia it is not available for this region naomba mwenye utaalam wa mambo haya anipe mbinu mbadala
 
hujali crack, ulidownload wapi?
 
Back
Top Bottom