This only for football manager rather offline or online games, but best ni offline games I never playing online for FM, maybe TOP ELEVEN only, which allow for plays online only!!Sorry this thread fr online football games? Perhaps i like other games like x plane its a flight simulation gm, n mission games like middle of honour, delta force, sniper gost warrior, call of duty etc. Can i get a free site to download ths knd f gm on pc, any gyz anayefaham.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu zote zipo kamili mm nimecheza zote kuanzia fm15 ad fm 17 zote Zina majina kamili na fm 17 ipo well developed na Inataka utumie akili nying though unaweza ukafungwa mechi zote au LA sivyo kila timu utakuwa unafukuzwa, m Mara ya kwanza niliona easy kama fm16 nikaanza na timu za tz na badae nikaomba kazi timu za France nikapata kwa sabab nilikuwa na kombe LA ligi kuu ya tz, badae sikushind mech nying nikaanza kupewa warning badae nikafukuzwa na timu ya OL, sitak kuanza new game bado nakazana kuomba Kaz timu nying Lakin nying nashindwa kwa sabab unawekwa short list na watu more reputable yan1. la 2015 ndio best lililo kamili
2. la 2016 halikuwa na crack
3. la 2017 lina fake names hivyo hutaona mchezaji unaemjua.
Nilitaka iliyo tayari mkuuoceanofgames ipo
Mbona mimi ninalo la 2016 cracked1. la 2015 ndio best lililo kamili
2. la 2016 halikuwa na crack
3. la 2017 lina fake names hivyo hutaona mchezaji unaemjua.
Mkuu, ligi ya bongo ipo?Mkuu zote zipo kamili mm nimecheza zote kuanzia fm15 ad fm 17 zote Zina majina kamili na fm 17 ipo well developed na Inataka utumie akili nying though unaweza ukafungwa mechi zote au LA sivyo kila timu utakuwa unafukuzwa, m Mara ya kwanza niliona easy kama fm16 nikaanza na timu za tz na badae nikaomba kazi timu za France nikapata kwa sabab nilikuwa na kombe LA ligi kuu ya tz, badae sikushind mech nying nikaanza kupewa warning badae nikafukuzwa na timu ya OL, sitak kuanza new game bado nakazana kuomba Kaz timu nying Lakin nying nashindwa kwa sabab unawekwa short list na watu more reputable yan
Pirate
la simu mkuu, oceanofapk amesema amedownload sio la pcMbona mimi ninalo la 2016 cracked
mkuu hapo juu jamaa amezungumzia simu na sio pc.Mkuu zote zipo kamili mm nimecheza zote kuanzia fm15 ad fm 17 zote Zina majina kamili na fm 17 ipo well developed na Inataka utumie akili nying though unaweza ukafungwa mechi zote au LA sivyo kila timu utakuwa unafukuzwa, m Mara ya kwanza niliona easy kama fm16 nikaanza na timu za tz na badae nikaomba kazi timu za France nikapata kwa sabab nilikuwa na kombe LA ligi kuu ya tz, badae sikushind mech nying nikaanza kupewa warning badae nikafukuzwa na timu ya OL, sitak kuanza new game bado nakazana kuomba Kaz timu nying Lakin nying nashindwa kwa sabab unawekwa short list na watu more reputable yan
Pirate
OK mkuu, napenda sana challenge wakat na cheza fm16 ilikuwa nai-master sana but nimependa fm 17 imekuwa more challenging zaidi but na nimesajli sana wonder kids but the problem wanazd kudevelop na timu ndio inazid kufungwamkuu hapo juu jamaa amezungumzia simu na sio pc.
kuhusu football manager mimi ni mzoefu kidogo huwa napenda kuanzia madaraja ya chini na kila mwaka napanda hadi kuchukua kombe kubwa la ligi na uefa.
ili uweze kuli master inabidi sana utumie tip mbali mbali online. mfano vitu kama hivi.
wonderkids
hawa ni wachezaji wadogo ambao huko baadae watakuja kuwa wachezaji wa kubwa, anaweza chukua misimu miwili hadi mitatu kuja kuwa top player, mimi hupenda kuanzia ligi ya chini sababu ya hawa ili ukipanda ligi kuu wanakuwa wamesha mature.
wanapatikana bei rahisi sana, na pia mishahara yao ni midogo hivyo hadi timu ndogo za madaraja ya chini zinawapata sema wengine wanakataa timu ndogo.
mfano wa wonderkids ni kina youri tielemans wa anderletch, julian brandt, kina pulisic, renato sanchez, ihenacho, iwobi etc sema hao wenye majina mpunga mrefu.
free players
kila game la footballer manager kunakuwa na wachezaji wa bure wenye miaka 30 na kuendelea ambao hawajaongeza mkataba kwenye timu zao wanaondoka bure, kutegemea na game ila unaweza pata mchezaji mzuri kama tevez, dani alves na wengine wakubwa waliondoka bure.
tactics na training schedule
kila game linakuwa na udhaifu kwenye match engine hivyo unakuta kuna tactics za ukweli ambazo zinaipa nguvu timu yako. mfano kuna baadhi ya FM ukicheza narrow formation bila mawinger timu yako inakuwa na nguvu zaidi, hapa inategemea na game na game.
ujue position gani inataka uwezo upi
sometime unaweza sajili striker mkali anauzwa bei ghali na asifunge magoli sababu stats zake sio za ki striker. mfano mchezaji ni namba 9 poacher halafu kwenye off ball, finishing, heading, shooting yupo mbovu ujue hatafunga hata kama anajua kukaba, ana mbio, ana maguvu, anajua kupiga cross, anarusha vizuri mipira hivyo havimsaidii striker.
kuna mambo mengi ukitulia ukicheki forums za hayo magame utapata ujuzi mkubwa na hayatakusumbua.
ndio maana nikakupa hio tip ya kuanzia daraja la chini kuwapa time wachezaji wadevelop, wonderkid kwenye ligi kuu hawezi perform vizuri.OK mkuu, napenda sana challenge wakat na cheza fm16 ilikuwa nai-master sana but nimependa fm 17 imekuwa more challenging zaidi but na nimesajli sana wonder kids but the problem wanazd kudevelop na timu ndio inazid kufungwabut sipend sana pia kusajil above 30yrs players labda kipa tu ndio uwa nawaelewa, so unakuta ujamaliza msimu ushafukuzwa yan
Pirate
Sawa sawa, but umeshaicheza fm 17 tayar mkuu au bado upo na 16 bado??ndio maana nikakupa hio tip ya kuanzia daraja la chini kuwapa time wachezaji wadevelop, wonderkid kwenye ligi kuu hawezi perform vizuri.
mfano kwenye fm16 timu kama newcastle ilikuwa na bonge la budget, msimu huu wa 17 sijacheki vizuri ila walioshuka kina sunderland, hull city watakuwa na budget nzuri, same kwenye ligi nyengine.
nina fm 17 toka mwaka jana. sema sipendi full version huwa napenda classic/touch version ambayo haina mambo mengi. ila mpaka sasa haina crackSawa sawa, but umeshaicheza fm 17 tayar mkuu au bado upo na 16 bado??
Pirate
Nimekusoma mkuula simu mkuu, oceanofapk amesema amedownload sio la pc
Kwa upande wa simu je ikoje mkuu3,40gb iso file
After installation
7.40gb
Nilokuwa nalo mm kwenye pc yangu
Pirate
--Yap PSN game sharing inawezekana but ipo limited kwa console mbili tu, ukitaka kushare kwa console zaidi ya mbili tafuta MTX key modchipkuna hii kitu ya kusave games kwe external hard disk imekua introduced kwe ps4 kwe new firmware my question is it possible kucheza hiyo external in different playstation au lazima iwe same psn account cc pirate Wapigwe tuu danali the great wizard
thanks boss you have enlighten meMTX key modchip