Simuhitaji sana lakini naumia kuachana naye

1.4million per month?

Kuna msemo wa Warren Buffet

"Don't put all eggs in one bucket" and do not test the depth of water with both legs"

Mkuu wewe ulifanya investment..na kilichotokea ni kushuka kwa hisa. Yaani kiufupi umepata hasara.

Let it go. Endeleea na maisha. Jambo la muhimu umejifunza hivyo huwezi kurudia kosa.
 
Kuna huyu mdada single mother, ana watoto wawili. Nimekuwa naye for a while mwezi ujao tungefikisha miaka 2. Ukweli huyu dada nilimkuta na hali mbaya sana kiuchumi. Lakini uzuri wake uliweza kuonekana hata katika hiyo hali. Basi nikajitolea kumsaidia. Ana Degree na kazi ya kawaida, lakini alikopaga hela nyingi akaanza biashara ambayo haikumlipa ikafa. Hivyo Mshahara wake wote unakatwa. Anabaki na kama laki 3 tu kwa mwezi ambayo haimtoshi.

Basi nikawa na mlea na watoto wake. Ki ukweli toka tuanze nilikuwa nampa jumla ya tsh 1.4m kwa mwezi cash. Ikiwa ni nyumba laki 3, vicoba laki 2, matumizi laki 6, rejesho deni la vicoba laki 3. (Alikopa ada za watoto wake na some furniture).

Sasa cha ajabu huyu dada alianza kama kupoteza furaha na mimi, nikawa namuuliza nini shida anasema hakuna shida. Hali hiyo ikaendelea na akawa sasa hanitafuti wala kusalimia hadi mimi ndo nimuanze. Nikimuuliza anajibu tu kifupi kwamba hakuna shida yuko sawa, mara ya mwisho akanijibu kama unaona nimebadilika si uniache kwani umelazimishwa.

Kuanzia siku hiyo sijamtafuta wala hajanitafuta, ni mwezi sasa umepita. Ninachojiuliza huyu dada ana jeuri gani, anajiamini nini? Siamini kama ana mtu, ambaye anaweza kumuhudumia zaidi kuliko nilivyokuwa nafanya mimi. Kimsingi simuhitaji sana kwani alikuwa hana jipya zaidi ya kumzoea na kumpenda tu, ila namuonea huruma. Nimejikuta nawaza sana juu ya hatima ya maisha yake. Sijui ni kwanini. Naombeni ushauri.
ushaambiwa hujalashwa hata mipicha picha huoni
 
wazee hizo pesa si mje mkopeshe vijana huku tukamate fursa turudishe hata kwa riba..... kuliko hao viumbe mnaowapa
 
Namjua huyo Dem wako ni mtata balaa Bora umteme tu maana ni jeuri kishenzi anajiita jike dume
 
Kuna huyu mdada single mother, ana watoto wawili. Nimekuwa naye for a while mwezi ujao tungefikisha miaka 2. Ukweli huyu dada nilimkuta na hali mbaya sana kiuchumi. Lakini uzuri wake uliweza kuonekana hata katika hiyo hali. Basi nikajitolea kumsaidia. Ana Degree na kazi ya kawaida, lakini alikopaga hela nyingi akaanza biashara ambayo haikumlipa ikafa. Hivyo Mshahara wake wote unakatwa. Anabaki na kama laki 3 tu kwa mwezi ambayo haimtoshi.

Basi nikawa na mlea na watoto wake. Ki ukweli toka tuanze nilikuwa nampa jumla ya tsh 1.4m kwa mwezi cash. Ikiwa ni nyumba laki 3, vicoba laki 2, matumizi laki 6, rejesho deni la vicoba laki 3. (Alikopa ada za watoto wake na some furniture).

Sasa cha ajabu huyu dada alianza kama kupoteza furaha na mimi, nikawa namuuliza nini shida anasema hakuna shida. Hali hiyo ikaendelea na akawa sasa hanitafuti wala kusalimia hadi mimi ndo nimuanze. Nikimuuliza anajibu tu kifupi kwamba hakuna shida yuko sawa, mara ya mwisho akanijibu kama unaona nimebadilika si uniache kwani umelazimishwa.

Kuanzia siku hiyo sijamtafuta wala hajanitafuta, ni mwezi sasa umepita. Ninachojiuliza huyu dada ana jeuri gani, anajiamini nini? Siamini kama ana mtu, ambaye anaweza kumuhudumia zaidi kuliko nilivyokuwa nafanya mimi. Kimsingi simuhitaji sana kwani alikuwa hana jipya zaidi ya kumzoea na kumpenda tu, ila namuonea huruma. Nimejikuta nawaza sana juu ya hatima ya maisha yake. Sijui ni kwanini. Naombeni ushauri.
Ukiwaza sana mambo ya wanawake utakuwa kichaa
 
Ila huyu ni mtu mwema sana, km huna amani endelea kutoa msaada huwezi kujua. Kuna baraka zake
 
Kaka Fanya yako kapata MTU huyo
 
Kati ya vitu ninavyojipongeza mwenyewe ni kushindwa kuhonga kiasi kikubwa cha pesa!Pesa yote hiyo unampa mwanamke ambaye si mke wa ndoa?
Wanawake hawana jipya,utajiumiza bure kwa huyo mwanamke huku yeye hata hajali.Wee fanya mengine,achana naye.
 
Hapo hukusaidia bali uliwekeza.Uwekezaji huwa una matarajio ya faida,hujapata faida uliyopanga kupata.
Ingelikuwa umemsaidia kwa dhati ya moyo wake hungeitaji kukumbukwa kwa kupigiwa simu ama mawasiliano mengine.
Usiudanganye umma kuwa ulimsaidia,ueleze umma kuwa uliwekeza na sasa sehemu uliyowekeza haileti matunda uliyotarajia.Ukiwa mkweli tutakusomesha njia ya kuondoka hapo ulipokwama.
 
Mkuu jitahidi kumpotezea huyo mwanamke assume yuko nchi nyingine na umepoteza mawasiliano naye. Ukiendelea ukaribu naye kuna vitu utakuja gundua vitakuumiza mno.
 
Kuna huyu mdada single mother, ana watoto wawili. Nimekuwa naye for a while mwezi ujao tungefikisha miaka 2. Ukweli huyu dada nilimkuta na hali mbaya sana kiuchumi. Lakini uzuri wake uliweza kuonekana hata katika hiyo hali. Basi nikajitolea kumsaidia. Ana Degree na kazi ya kawaida, lakini alikopaga hela nyingi akaanza biashara ambayo haikumlipa ikafa. Hivyo Mshahara wake wote unakatwa. Anabaki na kama laki 3 tu kwa mwezi ambayo haimtoshi.

Basi nikawa na mlea na watoto wake. Ki ukweli toka tuanze nilikuwa nampa jumla ya tsh 1.4m kwa mwezi cash. Ikiwa ni nyumba laki 3, vicoba laki 2, matumizi laki 6, rejesho deni la vicoba laki 3. (Alikopa ada za watoto wake na some furniture).

Sasa cha ajabu huyu dada alianza kama kupoteza furaha na mimi, nikawa namuuliza nini shida anasema hakuna shida. Hali hiyo ikaendelea na akawa sasa hanitafuti wala kusalimia hadi mimi ndo nimuanze. Nikimuuliza anajibu tu kifupi kwamba hakuna shida yuko sawa, mara ya mwisho akanijibu kama unaona nimebadilika si uniache kwani umelazimishwa.

Kuanzia siku hiyo sijamtafuta wala hajanitafuta, ni mwezi sasa umepita. Ninachojiuliza huyu dada ana jeuri gani, anajiamini nini? Siamini kama ana mtu, ambaye anaweza kumuhudumia zaidi kuliko nilivyokuwa nafanya mimi. Kimsingi simuhitaji sana kwani alikuwa hana jipya zaidi ya kumzoea na kumpenda tu, ila namuonea huruma. Nimejikuta nawaza sana juu ya hatima ya maisha yake. Sijui ni kwanini. Naombeni ushauri.
Hahahahaha bado unampenda bana na hiyo itakutesa sana we jidanganye tu
 
Back
Top Bottom