realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,985
Utakuwa huna nguvu za kiume
Sidhani kama nilikuwa na mnyanyasa, inagwa kunyanyaswa ni tafasiri na hisia ya mtu. Unaweza kufanya kitu cha kawaida tu lakini yeye akahisi umemnyanyasa kwa sababu unumuwezesha.Nani aliyekufundisha mapenzi ni pesa tu,huenda ulikua unamnyanyasa au unamtreat ndivyo sivyo kachoka kaamua kukupotezea na vihela vyako
Thank you.Msahau huyo kaamua mwenyewe.
Kaka kuna watu wanahonga balaaaaaKuna huyu mdada single mother, ana watoto wawili. Nimekuwa naye for a while mwezi ujao tungefikisha miaka 2. Ukweli huyu dada nilimkuta na hali mbaya sana kiuchumi. Lakini uzuri wake uliweza kuonekana hata katika hiyo hali. Basi nikajitolea kumsaidia. Ana Degree na kazi ya kawaida, lakini alikopaga hela nyingi akaanza biashara ambayo haikumlipa ikafa. Hivyo Mshahara wake wote unakatwa. Anabaki na kama laki 3 tu kwa mwezi ambayo haimtoshi.
Basi nikawa na mlea na watoto wake. Ki ukweli toka tuanze nilikuwa nampa jumla ya tsh 1.4m kwa mwezi cash. Ikiwa ni nyumba laki 3, vicoba laki 2, matumizi laki 6, rejesho deni la vicoba laki 3. (Alikopa ada za watoto wake na some furniture).
Sasa cha ajabu huyu dada alianza kama kupoteza furaha na mimi, nikawa namuuliza nini shida anasema hakuna shida. Hali hiyo ikaendelea na akawa sasa hanitafuti wala kusalimia hadi mimi ndo nimuanze. Nikimuuliza anajibu tu kifupi kwamba hakuna shida yuko sawa, mara ya mwisho akanijibu kama unaona nimebadilika si uniache kwani umelazimishwa.
Kuanzia siku hiyo sijamtafuta wala hajanitafuta, ni mwezi sasa umepita. Ninachojiuliza huyu dada ana jeuri gani, anajiamini nini? Siamini kama ana mtu, ambaye anaweza kumuhudumia zaidi kuliko nilivyokuwa nafanya mimi. Kimsingi simuhitaji sana kwani alikuwa hana jipya zaidi ya kumzoea na kumpenda tu, ila namuonea huruma. Nimejikuta nawaza sana juu ya hatima ya maisha yake. Sijui ni kwanini. Naombeni ushauri.
Mpaka leo sijui, maana kila nilivyokuwa najaribu kumuuliza alikuwa hasemi. Anasema yuko sawa. Kwa hiyo hata mimi nashindwa kujua nini hasa nilimkosea.Tumesikia upande mmoja wa maelezo.sina uhakika kwamba kuna kitu hapo kati hatujaambiwa.kumbuka kila kitu kina chanzo chake.hata ukienda hospitali Dr atakuuliza historia ya ugonjwa wako ili ajue pakuanzia.Hebu tupe ukweli kwa nini amebadilika licha ya huduma nzuri ulizokuwa ukimpa.
basi kama hajasema kitu,vuta subra kidogo na wala usikate mawasiliano.Kuna wakati binadamu hubadlishwa na wasiomtakia mema au matatizo ndani ya jamii inayomzungukaa.mtafute rafiki wa karibu mpe salamu akupelekee." ewe njiwa peleka salaamu....................................."Mpaka leo sijui, maana kila nilivyokuwa najaribu kumuuliza alikuwa hasemi. Anasema yuko sawa. Kwa hiyo hata mimi nashindwa kujua nini hasa nilimkosea.
Sure thats true.WTF...unampa mwanamke 1.4m cash kwa mwezi mama yako unampaga shilingi ngapi,je huna ndugu wa kumsaidia japo kumsomeshea watoto?next time usiandike ujinga huu mbele ya wanaume wanaojielewa!
Uzuri wa humu ndani kila mtu mshua aisee,hadi unampa demu tu kikawaida 1.4 kwa mwezi,yani sina mchezo kwa familia yake anawapa kiasi ganiNadhani mama yake atakuwa anakula hata milion 3 kwa mwezi