Simuhitaji sana lakini naumia kuachana naye

Simuhitaji sana lakini naumia kuachana naye

M nashangaaa sana watu mnajifanya kumsema kuhusu uhongaji wakati nyie wenyew mnahonga vizur saana na wengine mpaka msharaha wote afu mkija hapa jukwaani mnaanza kujishaua [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].....

Mkuu m nadhani baba watoto wake ameanza kujirudi na labda kaingia kwa gia ya ndoa!!!!!
 
1.4 ?? wacha utani ningekua mm ningeifanya mojawapo.kati ya hivi ndani ya huo mda.

1. vyumba vya kupanga vinne chumba na seble

2. viwanja vitatu tens vyenye hati

3. ka min supermarket.

watu kwa nn wanachezea bahati? mwanaume wa hivyo siwezi kumruhusu kujilisha au kujiogesha. kha
 
Aisee naomba Mungu anijaalie na mimi niweze kumpa mtu 1.4m na zaidi kwa mwezi
 
ila mim nahisi mtoa uzi kama unatulisha matango pori vileee
 
Back
Top Bottom