Luv
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 2,740
- 6,114
Mkuu, lakini mwanamke "anayejitambua" Hadi kufikia hivi ujue Kuna shida ya muda mrefu mumewe aliipuuziaInahitaji moyo wa chuma. Huyu ni mke wa binamu yangu. Jamaa alinipa malalamiko ya aina hio hio sikutaka kutia neno zaidi nilimwambia vizia simu yake tu. Hiki ndicho alichokutana nacho leo. Sijui hata kama ataweza kula.
View attachment 1515503
Mwanamke anafanya CPA private studies chuo flani, hio njemba ni miongoni mwa wanaosoma nae.
Wanawake huchukua muda mrefu Hadi kuanza kufanya ujinga huu wa kujipoza kwa kuchepuka