yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,901
- 4,128
- Thread starter
- #41
Sana tuUnampa hela?
Sana tuUnampa hela?
💯👌Usiusemee moyo
Kabisa Mkuu, Mwanaume ndani ya nyumba lazima uheshimike katika hiyo Order. Yaan linapokuja suala la BABA MWENYE MJI MUME, MZEE WA KAYA, MZEE WA KAMBI .. Nilazima ibakie ivoivo yaan hili halina mjadala kwangu.( hii ndio silaha walotumia wazeee wetu, unakuta ana wanawake wanne, lkn hakuna mwanamke anayechepuka. Kwasababu wote wanamjua vxuri.... Sada siku hzi mke mmoja tu anavyotoa watu miulimi njer mate kudondoka ,mikono juu


... )Shida na raha mnazoambiwa sio hizi za kufanyiana makusudikile kiapo cha siku ya ndoa...kuwa mtavumiliana kwa shida na raha...maana yake ni pana sana.....vumilia tu mzee...ndoa inaitaji akili ya ziada zaidi...jiongeze mkuu....amekukinai huyo!
Hivi kumkaza vizuri ndio kukoje?
Mungu wangu!
Ngoja nirudi mlimani kuendelea na sala ya toba
Sina furaha kabisa,
Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.
Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.
Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.
NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.
Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.
naona anakuhamasisha sasa nyie mademu huwa mna asilimia au niseme chembe chembe za ulesbanian, 😅 kama nakosea sorry. imagine you with Shunie mnavo convo utasikia hi baby girl or hi girlfriend 😂😂😂Hahahh angalau hii sijakaa kihuzuni
BTW nimekumiss,umekuwa adimu sana huku
Sijawahi chepuka, lakini hapa nilipofika nitalazimika,. potelea mbali
Mkuu kwa uchumi huu ahudumie mke, mtoto,beki tatu na mchepuko? Ajaribu aone.mkuu mi naweza kusema mwache aende zake kama anataka au wewe lea mtoto ndani tena weka beki tatu afu sasa tafuta unayempenda umpangishie muaze maisha naye just simple like that, yaan bandika bandua ndio habari tu, mahusiano ni pasua kichwa kabisa.
mkuu basi afanyaje maana yeye tayari ana mke na mke hataki mpaka jamaa amubake sasa inakuwaje afanye kuomba papuchi na ni haki yake yeye mwanaume.basi afuate ushauri wa wadau wengine mkuu waliotoa hapa jukwaani kama kutolewa out sijui manjonjo ya kumtembeza nakadhalika.Mkuu kwa uchumi huu ahudumie mke, mtoto,beki tatu na mchepuko? Ajaribu aone.
Mkuu,comment zako zote mbili umeziandika kwa hisia sanamkuu basi afanyaje maana yeye tayari ana mke na mke hataki mpaka jamaa amubake sasa inakuwaje afanye kuomba papuchi na ni haki yake yeye mwanaume.basi afuate ushauri wa wadau wengine mkuu waliotoa hapa jukwaani kama kutolewa out sijui manjonjo ya kumtembeza nakadhalika.



Unahisi ndio suluhu. Mwanamke hisia zake zikienda likizo hata ufanyeje hazirudigi kama awali. Atakunafikia tu ila mwisho wa siku utagundua hayuko real utaumia zaidi.Sasa kwanza hebu tafakari mlivyoanza ndoa mlikuwa mnapeana vipi na je kwa sasa mnafanya hivyo,hasa wewe zile staili yale mapigo ya awali unayafanya au ulianza kupunguza manjonjo na mambinu?,pia jiulize vitu unavyomuahadi unamtimizia?.sasa ukishatafakari na ukapata majibu yote hayo,tafuta siku,umtoe out,mkale,mnywe then muombane radhi na mkirudi home,piga yale mapigo ya zamani,mtimizie anavyotaka na ukiwa huna pesa mwambie mapema na mpe ahadi na uzitimize hizo ahadi,kika kitu kitarejea kama ilivyokuwa zamani
Utamuua jamaa mwambie aandike husia kabisa.Fanya uchunguzi mzee lazima unagongewa. Wanawake wakipata mtu anayemfeel anapoteza mapenzi kwa mme wake na uwa ni automatic wenyewe hata hawastuki inatokea naturally. Chunguza simu yake utagundua mengi sana
Pole sana
amna kitu kinaboa kama wewe unapenda show afu demu ni mvivu wa show. wapo watu tunapenda show kuliko maelezo mkuu imagine kwa demu kama wa huyu jamaa unampata afu ghafla analeta mauza uza ushenzi utatimua siku iyo iyoMkuu,comment zako zote mbili umeziandika kwa hisia sana![]()