Simuelewi mke wangu

Simuelewi mke wangu

Sina furaha kabisa,

Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.

Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.

Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.

NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.

Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.
Nenda nae hospital pengine mkeo ni mjamzito tu
 
Mimi naona hyo kawaida tu sema kuji control basi maana waweza kutana na mwanaume kakamilika kila idara, handsome ana kila kitu, na ajali so mtu unavutiwa naye tu Kama nyie wanaume jinsi huwa mnatamani na wanawake hutokea tu kuvutiwa na mtu, hasa ukute uliye naye Hana hizo taste.
All in all, kuchepuka kwa mke si lazima kiwe kimesababishwa na mume. This is my point. Kuji control ndio neno muhimu nno.
 
Sina furaha kabisa,

Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.

Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.

Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.

NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.

Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.
Pole sana ndugu yangu na kabla ya yote, NAKUSHAURI USICHEPUKE!
Mimi nimewazia mambo mawili;
1. Huenda umebadilisha ratiba yako ya siku zote tangu muoane unarudi nyumbani kwa kuchelewa na bila taarifa
au Pengine unamgombeza kwa kufikiri kuwa yeye hafanyi kitu hata akifanya bidii ya kukulelea mtoto na kukuangalilia nyumba na kutayarisha chakula (bila house girl) - Inachosha bro
2. Angalia kama anatumia dawa za uzazi mpango; kuna baadhi zinaweza kunyima mtu hamu ya unyumba hivyo kama anatumia mshauri aende Hospitali akaonane na Daktari atambadilishia
Mwisho
Jitahidi kuwa na tabia ya kuongea na mkeo mambo ya kawaida pamoja na hilo tatizo hasa wiki endi (mchana) ukiwa nyumbani
 
All in all, kuchepuka kwa mke si lazima kiwe kimesababishwa na mume. This is my point. Kuji control ndio neno muhimu nno.
Kuchepuka ni choice tu na tabia ya mtu Wala haisababishwi na mapungufu ya mwanaume/mwanamke kwenye mahusiano
 
Exactly, yani ikiwa ni ndoa ya kila anachosema mwanaume ndo hicho hicho hasikilizi wazo la mkewe hata moja, hapo ni balaa
Wanaume hufikiria kusikiliza hisia za mke au ushauri wake ni kujishusha na kutawaliwa na mke kumbe sio kabisa, wajifunze kusikiliza wake zao waone Kama vibe litaisha ndani ya nyumba, wanawake hata tukipata Jambo hupenda kusikilizwa wengine hupuuza wakifikiri ndo uanaume
 
Yaani kuona tu hapo penye neno "uliinjoi ee" ndio ingekuwa mwisho wa maisha ya mmoja wetu.
Mwanamke amefanya kwa hiari kabisa, kageuzwa na kugeuzika hata kusiko geuzika ili tu amridhishe mchepuko!!! Enheee Kyala gwa maka...
Kyala gwa maka ndio nini mkuu 🤣🤣🤣🤣!!! Naona umenena kwa lugha aisee...
 
Sasa ukishafanya kwa mda ukaacha ndo unaharibu Sasa maana mtu anaanza kutafta alichokikosa ndani kwenda huko nje.
Mapenzi magumu Kama watu hamko commited na kupendana kiukweli,na hapo ukute binamu yako na yeye huchepuka na mke anamulipiza.
Pia ni ngumu kumridhisha binadamu
Ni ngumu kuwa consistent katika hilo!
 
Sina furaha kabisa,

Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.

Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.

Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.

NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.

Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.

Labda sex yako ina m bore humfurahishi inavyiotakiwa...
Mwanamke kama humfurahishi ki mapenzi Yaani kupioteza hisia na wewe ni rahisi sana atakuvumilia mwanzoni then anachoka...
Jitizame wp unakosea isije kua sekunde usha kojoa
 
Kyala gwa maka ndio nini mkuu !!! Naona umenena kwa lugha aisee...
Mkuu haya mambo acha tu
Mtu nipo porini huku mbu ndio rafiki zangu, baridi imekuwa faraja yangu na kadhia zingine kibao ili nitimize mahitaji ya familia, unarudi nyumbani unakutana na huo "uliinjoy eeh".... Ni Mungu pekee mwenye nguvu (Kyala gwa maka) ya kuniepusha nisifanye mauaji
 
Unatombewa hapo anatombwa huyo. Mpe likizo aende bush ndio atakuwa na akili. Wengi wanakuongopea ukweli anakazwa nje. Akili.za mwanamke sio za kumuamini kbs. Mke unamlazimisha kukupa haki yako. FUKUZA
Mke asiyejua wajibu wake huyo siyo mke.
Hapo ni sawa unaishi na shemeji yako tu.
Dawa ni kumpeleka kijijini tu halafu huyo mvhepuko wake kama anampenda kweli akamsafirishe kutoka kijijini amlete mjini kama ataweza.
Hivi vitu haviitaji kupanic wala kutumia nguvu,ni kutumia akili tu.
 
Mkuu haya mambo acha tu
Mtu nipo porini huku mbu ndio rafiki zangu, baridi imekuwa faraja yangu na kadhia zingine kibao ili nitimize mahitaji ya familia, unarudi nyumbani unakutana na huo "uliinjoy eeh".... Ni Mungu pekee mwenye nguvu (Kyala gwa maka) ya kuniepusha nisifanye mauaji
Hahahahah unashinda maporini tu halafu unarudi mjini unakuta ushubwada namna hio!

Bwana alitoa na bwana alitwaa.🤣🤣🤣
 
Sina furaha kabisa,

Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.

Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.

Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.

NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.

Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.

1.Ikiwa anatumia vititi ya uzazi wa mpango huenda vimeshusha hisia za mapenzi. kwa hiyo fikiria hilo kama lipo

2. Huenda kuna changamoto ya mahusiano kati yako na mke wako. Tendo la ndoa liko kwenye mind, kama thinking yake ni negative kwako hayo usiyalaumu maana ndio nature ya binadam. Kama una migogoro midogo midogo ni hatari sana kwa afya ya mapenzi kwamwanamke. Resolve hiyo challenge

3. Humridhishi? Find other ways to make her enjoy her space on you guy

4. Kuwa ana mchepuko it's probably true but not to that extent.

5. Kwanini usimuulize? Tendo la ndoa ndio moja ya mkataba wa kuoana japo halikuwekwa so explicit, biblia yenyewe ilisema 'kupeana joto' means tendo la ndoa. Kama hili haliko effective therefore all you are prone to risks.

6. Anza kumtafutia mkeo furaha, maliza makandokando uliyo nayo ili awe happy. Huenda una michepuko na una migogoro na mkeo kwa hayo, so what is the next?

7. Nilishapitia hali hiyo kwa mke, nilichomwambia hatakaa asahau. Nilimwambia nataka mapenzi kwa sababu ndie wewe peke yako nianaye weza kufanya hili na mtu mwingine asinihoji kwa nini nafanya hivo. Nikamwambia, sio kwamba wengine siwaoni. Nikamwambia anaiambie lini niende kwa hao na lini yeye atakuwa ananitaka. Nikamwambia uataona dalili kwamba 'HAO' wananihudumia kwa kuwa sitamwomba k***ma yake tena. Nikamwambia tangu leo, wewe ndie unitafte maana sitakutafta, nitakuwa na njia nyingine.

Najua yalikuwa sio maneno ya busara, lakini aliomba yaishe. Minafanya kazi mkoa tofauti na familia yangu, lakini good news ni kwamba, nikifika nyumbani mchana, hakika atanitengenezea mazingira ili tuanze na warm up ya usiku.

Usitumie nguvu, tumia tu busara kaka mkubwa
 
Back
Top Bottom