Simuelewi mke wangu

Simuelewi mke wangu

Kaka hapo hakuna JIPYA chagua moja kupiga chini au kuendelea kulalamika ila kubadilika huyo hawezi if a person doesnt love you now, he/she will never ever love you. Dont stress yourself.

Kuna mwanamke out there anakusubiri, go get 1
 
Apo ndugu unatakiwa kusimama kama mwanaume uuoneshe uanaume wako misimamo na mafunzo haswaaaa
jaribu hizi njia
kwanzA ongea nae kiutaratibu kabisa by anymeans usiombe msamaha kwa kauli uliyomtolea
pili ukiona haeleweki kama wewe ni muslm mpe taraka tatu ambayo haina vigezo yaani haijatimia lakin asijue aende kwao akajifunze kama taraka utashindwa mpeleke kwao alafu mwambie taraka yake aataikuta huko akakae kwanza kwao ajifunze maisha kama unasehemu ya kumuweka mtoto wako basi aondoke yeye tu mtoto akuachie ili asipate kisingizio cha kukusumbua kwenye simu
NB:usiiimuoneshe kama unashidaaaaa San na papuchi yake mda huu ila point kubwa iwe tabia zake mbovu zimekuchosha
 
Yes ,in fact am a Hardliner in nature ktk nyanja mbali za maisha yangu , naheshimu sana Sheria za kichwa changu na Moyo wangu.
Sasa wee hapo sio mapenzi, ni ubabe na u dictator. Mmmmmmh
Ni mwanaume , nayeweza kumfanya mwanamke ajihisi Dunia yote niyake kwa furaha Na mabashasha nakila aina ya utamu.
Upande wangu wa Pili. Ni mwanaume Nisovumilia ujinga, mwepesi wa kuacha napoona daily ni kero zonazonikosesha amani, , nikiona unaniishi kwa jeuri nakua Dikiteta , ni Mkali napooudhiwa, mwepesi kukasirika ingawa najioongoza ktk maamuzi.

Kwa ufupi...Maisha yangu hayaruhusu kabisa kabisa mwanamke awe sehem ya kunipa Karaha.

Imeshindikana kila mtu na 50% zake , no kubembelezana ,no kulilia mwanamke nooo nn !!!!.

Kila mmoja akifanya wajibu wake vzuri maisha ni matamu, lkn ukitegemea kunizengua hahahahahhahahahahahahhahahahahhahahaah itakula kwako hata kama tunawatoto .
 
Veri simpo...

Ana jamaa nje anayemgonga...

Ukubali ukatae.

Ukibisha Jaribu kuchukua simu yake KWA KULAZIMISHA.

kama nimm, ningelazimisha kuchukua, najua angenipanda kichwan na ugonv ukawa mkubwa........

Alafu kisha, ningemuondosha ndani kwangu aende huko huko kwa kajamaa kake.

Nilishasema, Siwezi kukutunza, kukulisha kama mtoto, ulale mahali pazuri, kila kitu nikupe mm, . ...ALAFU UNIPANDE KICHWAN ,ET UNICHEPUKIE ?? MATOKEO YA KUCHEPUKA YAKUFANYE UNIBADILIKIE USHINDWE KUTIMIZA WAJIBU WAKO KWANGU??? .nahata kama una kazi yako sijui kipato chako, ili mradi ulikubali kuoana namm, hakikisha unaendelea kuniheshimu km Kichwa chako, Baba wa mji, Mkuu wa kaya ,

mamaeeeeeee .......Siku hizi wanaume wameisha, mnajifanya majentomeni et bebi bebi kibaoooooooo....
Unaongea kama KIM JONG UN vile
 
haya ndio madhara ya kutokujua kupiga BESHENI........unahangaika bureeee......mangi piga nyeto ...nyetoooo...no stress...usichepuke....nje hakufai.....eti unamkaza haswaaa.......unafikiria nje ndani ndi umwamba.........kuto...ba ni starehe....hakikisha na mwenzio anafurahia......mfike wote....sio unamkunja mwenzio kama chapati unakuja hapa unasema unamkaza haswaaaa.......mpe mkeo mahaba ashangae braza.....mtoto bado mdogo huyu.........
 
Ashangae ama utashangaa zaidi wewe. Unataka kushindana na shimo utazama mfukuze akumbane na walimwengu. Hakuna mashindano katika ndoa. Mtakuja kuumizana.
Hilo la kumfukuza ataathirika mtoto ujue ! Na kufukuzana sio deal siku hizi may be kama hamna mtoto
 
Mkuu pole sana. Hii hali jaribu kuwa makini na kuchunguza sana usikurupuke na ushauri ambao unaweza kuwaletea shida kubwa zaidi.

Ebu chukua hii kama case study. Niliwahi kuishi na mwanamke wa aina hiyo akiwa hapendi hata nimsogelee na nikifanikiwa kufanya nae ni kamoko tu.

Baadae tukaja kugundua kuwa ana shida ya upungufu wa hormones za mshawasha aka genye. Dactari akaenda parefu na kutwambia ana tatizo la fungus kwenye kuta za via vya uzazi hadi kupelekea kuugua P.I.D (Pelvic inflammatory disease).

Yote hayo yanapelekea kukosa hamu ya kufanya tendo na pia huzuia mimba.

Tulianza matibabu ndani ya week 2 akawa active kiasi kwamba mimi nikawa ndo nalazimishwa nifanye hata kama ni muda wa kwenda job, navua nguo nafanya nasepa. Alikuja na moto wa jehanam.

Kiukweli kuna vitu vingi vinachangia sana hii migogoro ya kindoa. Kuwa makini ili usolve tatizo na sio kuongeza lingine.
 
Mkuu ulitumia dawa gani aise naomba msaada wako
 
Yes ,in fact am a Hardliner in nature ktk nyanja mbali za maisha yangu , naheshimu sana Sheria za kichwa changu na Moyo wangu.Ni mwanaume , nayeweza kumfanya mwanamke ajihisi Dunia yote niyake kwa furaha Na mabashasha nakila aina ya utamu.
Upande wangu wa Pili. Ni mwanaume Nisovumilia ujinga, mwepesi wa kuacha napoona daily ni kero zonazonikosesha amani, , nikiona unaniishi kwa jeuri nakua Dikiteta , ni Mkali napooudhiwa, mwepesi kukasirika ingawa najioongoza ktk maamuzi.

Kwa ufupi...Maisha yangu hayaruhusu kabisa kabisa mwanamke awe sehem ya kunipa Karaha.

Imeshindikana kila mtu na 50% zake , no kubembelezana ,no kulilia mwanamke nooo nn !!!!.

Kila mmoja akifanya wajibu wake vzuri maisha ni matamu, lkn ukitegemea kunizengua hahahahahhahahahahahahhahahahahhahahaah itakula kwako hata kama tunawatoto .
Hahah yaani mimi ndo sitaki kuwa Hero wa mapenzi,mimi ni muwazi na napenda mtu muwazi.

Kabla hatujaanza mahusiano huwa nawaambia kabisa siku akijisikia mapenzi yameisha au haihitaji kuwa na mimi awe free anambie tu...sitaki dramas na siwezi kukaa na mtu hatuko kitu kimoja.

I'm a good man,i deserve better because i know how to love and how to care for what i love and i can love anybody and women out there loves me.

Ila sijawahi kuachwa zaidi ya mimi kuacha😁😁
 
Umemjibu kimasihara Sana,kwa kifupi mke wake Ana tabia Kama za mke wangu.
Ukweli mimi najua Sana mapenzi,nje ya kitanda na ya kitandani,nasifiwa Sana kwa mapenzi na wanawake ambao mimejihusisha nao,nime dili hata na wanawake wakubwa kunishinda umri,lakini sifa wanazonipa sio kawaida na ninajijua,lakini kwa mke wangu nimefika mwisho.wanawake wa namna hiyo wapo Wala sio hatuwapi ipasavyo,nafikiri ni wako abnormal.

Kweli kabisa
 
Mkuu tafuta sehemu ya kupumulia huku ukifanya uchunguzi utakuja kufa kisa mwanamke, hawaeleweki hawa wapi kama jongoo mbele hujui nyuma hujui.
Ukishapata pa kupumzikia usiombe gemu kwake hata ipite mwezi, zidisha upelelezi maana hamu zitamsukuma kuchepuka kama ni mchepukaji.
 
Me nahisi hapa ndiyo unapokosea mkuu, jifundishe zaidi si kukaza tu, mwandae vizuri ili mechi iwe ya kirafiki.
Wenyewe Wana msemo wao Siku hizi, "Utamu Wala haupo mbali"
 
Back
Top Bottom