Simuelewi mke wangu

Simuelewi mke wangu

Kaka kwanza pole kwa hilo, hiyo ni tatizo dogo mkuu, kuna vitu ameshaviona kwako upo wrong au unaenda visivyo, cha msingi kama utakuwa free, wikend hii mtoa out kaongee nae, kwa upole shida ni nini, ? Kuna kitu unaenda wrong kaka, wengine huwa hawasemi hadi umwambie ,matokeo yake hufanya kwa vitendo kama hivyo,
Kama utashindwa kimtoa out,jioni ongeeni chumbani atoe ya moyoni,mkiyamaliza hapo x2 unakula ndoa yako. Pole, usitumie hasira just calm down, ndoa za simu hizi siyo za kibabe, mtakuwa single mother na bachelor sasa hivi na watoto watateseka, huyo shemegi wala hakuna anayemtomba.
 
Kabisa Mkuu, Mwanaume ndani ya nyumba lazima uheshimike katika hiyo Order. Yaan linapokuja suala la BABA MWENYE MJI MUME, MZEE WA KAYA, MZEE WA KAMBI .. Nilazima ibakie ivoivo yaan hili halina mjadala kwangu.( hii ndio silaha walotumia wazeee wetu, unakuta ana wanawake wanne, lkn hakuna mwanamke anayechepuka. Kwasababu wote wanamjua vxuri.... Sada siku hzi mke mmoja tu anavyotoa watu miulimi njer mate kudondoka ,mikono juu... )

Uwe una kazi, uwe huna, uwe ni mwanaharakati, uwe mtu wa sheria n.k .. Yaan LAZIMA UNITAMBUE KWA IYO HESHIMA JUU.

nitakupenda sanaaaa, kujali n.k , NAWEW unilipe HESHIMA.

Bila hilo, Nitaisahau mahari nilotoa. Na Utasepa tu .

Siku hiz vijana wamekua na uzungu sanaa, ujentomeni, na maujinga ujingaa ya beby beby beby beby beby ..

Ukizoeana sana na Mbwa atakufata mpaka msikitin... IELEWEKE IVI, NI LAZIMA KUMPENDA MKEO, KUMJALI NA KUMFANYA AIONE DUNIA YUKO MWENYEWE ... WAKATI HUOHUO UMFANYE AJUE, WEWE NI SIMBA PALE ANAPOENDA KINYUME NA KUFANYA MAUJINGA YASOFAAA....... YAAAN WEWE NI """HUELEWEKI""""".

Ndoa itadumu, hakutakua na maujinga yakunyimwa K.
naheshimu mawazo yako mkuu👏👏.
Msalmie wife .
 
Kaka kwanza pole kwa hilo, hiyo ni tatizo dogo mkuu, kuna vitu ameshaviona kwako upo wrong au unaenda visivyo, cha msingi kama utakuwa free, wikend hii mtoa out kaongee nae, kwa upole shida ni nini, ? Kuna kitu unaenda wrong kaka, wengine huwa hawasemi hadi umwambie ,matokeo yake hufanya kwa vitendo kama hivyo,
Kama utashindwa kimtoa out,jioni ongeeni chumbani atoe ya moyoni,mkiyamaliza hapo x2 unakula ndoa yako. Pole, usitumie hasira just calm down, ndoa za simu hizi siyo za kibabe, mtakuwa single mother na bachelor sasa hivi na watoto watateseka, huyo shemegi wala hakuna anayemtomba.
 
Inahitaji moyo wa chuma. Huyu ni mke wa binamu yangu. Jamaa alinipa malalamiko ya aina hio hio sikutaka kutia neno zaidi nilimwambia vizia simu yake tu. Hiki ndicho alichokutana nacho leo. Sijui hata kama ataweza kula.
View attachment 1515503

Mwanamke anafanya CPA private studies chuo flani, hio njemba ni miongoni mwa wanaosoma nae.
Hizi presha za mwendokasi boss.
 
Kuchepuka sio dawa ni kuongeza matatizo juu ya matatizo. Huwa nasema ndoa bila Mungu ni matatizo, mana ukikosa hofu ya Mungu ndo mawazo potofu yanapopata nafasi unazani unajenga kumbe ndo unazidi kuharibu. Nikwambie tu mabadiliko hasa ya tabia na sex ndani ya ndoa huwa yanasababu hayaji tu hivi hivi, Mimi nikiwa kama mwanamke ambae niko kwenye ndoa, kuna vitu wanaume huwa mnafanya vinatufanya tuwe na hasira lakini nyinyi mnajifanya kama hamuoni au mnachukulia kawaida na unakuta ile hali ya hasira na unyonge inakaa ndani ya moyo muda mrefu kiasi kwamba upendo unaanza kupungua which hupelekea na hisia za mapenzi kuanza kupotea. Jichunguze umekosea wapi, au kuna kitu gani ndani ya nyumba kifanya muwe mnakwazana may be mara kwa mara, ukipata jibu umepata dawa. Lakini kama hamna kitu chochote kama kupishana ni kwa kawaida tu alafu amekuwa hivyo, mpotezee yani usiguse kabisaaa jifanye kama vile humuoni mwezi tu, utaleta mrejesho
Sasa wewe kwa nini usimwambie kuwa kakukosea unakaa kimya tu halafu unasema ajichunguze!!! Atajuaje? Unachekesha sana.

Mwanamke akiamua kuchepuka, kaamua. Eti utaongea nae akusikilize? Unatwanga maji kwenye kinu.
 
🙊🙈😳 mamaaa Nimeona aibu
Duh pole yake Aisee .
Ukisikia mtu kapigwa gunia za mkaa ndio mambo kama haya. Wanawake wa kibongo ni takataka kabisa. Na hamna anachokosa kwa mumewe hapo in terms of huduma wala hawana mikwaruzano.
 
Sasa wewe kwa nini usimwambie kuwa kakukosea unakaa kimya tu halafu unasema ajichunguze!!! Atajuaje? Unachekesha sana.

Mwanamke akiamua kuchepuka, kaamua. Eti utaongea nae akusikilize? Unatwanga maji kwenye kinu.
unakuwa unamwambia lakini still mnakuwa hamuelewani, yeye anakuwa anaona yuko sawa wakati wewe unaumia
 
Si bure, Kuna mtu anakusaidia...kaanae chini umuweke wazi ikishindikana it's viongoz wa din au wazazi ikishindikana tafuta mchepuko yeye umsuse
 
Ukisikia mtu kapigwa gunia za mkaa ndio mambo kama haya. Wanawake wa kibongo ni takataka kabisa. Na hamna anachokosa kwa mumewe hapo in terms of huduma wala hawana mikwaruzano.
Dah inauma kweli.
 
Back
Top Bottom