Simuelewi mke wangu

Simuelewi mke wangu

Sina furaha kabisa,

Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.

Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.

Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.

NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.

Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.
Kama vile nakujua jirani pole uwe unaendaga na kusali basi sio muda wote wewe na kazi kazi na wewe
 
Utapata muhuni labda uache pombe umrudie muumba wako
Alikwambia nani Mungu hutafuta kondoo waliozizini mkuu...
Hebu niache huko niendelee kujiwasha matungi aisee..
 
Sawa wewe ambae huna utoto mkuu..ukilinganisha miandiko ya huko Jf na akili za watu utakwenda na maji joo..🤪🤪🤪

Hebu niache nijiinjoy na utoto wangu chief
Tulia Chakorii😀😀😀😀. No hard feelingss...Nilikuwa nakupa tu kauzoefu kutoka kwa legendariiii, kwamba unavyodhani ndivyo sivyo. Siwezi nikakuacha ndugu yangu uamini kwamba suluhisho ni kumuoa rafiki yako halafu ukakuta mambo tofauti, ukapata dissapointment (hapa ndo ndoa zinapata ufa maana tunashindwa kuhimili tukikuta matarajio hayaendani na hali halisi), utabaki unatulaumu wakulungwa kwa kutokukuambia ukweli mapema..😀😀. Ndoa ni compromise ya watu wawili wamekubaliana kuyafumbia macho mapungufu yao madogo madogo. Hakuna mkamilifu dunia hii zaidi ya Mungu pekee. Malezi uliyopata kwenu na malezi aliyopata kwao hata siku moja hayawezi kulingana. Unakuta huyu amezoea tabia ya kutafuna chakula huku mdomo upo wazi, wewe unakuta umefunzwa kwenu kutokufanya hivyo. Lazima utumie busara kumuambia mpenzi wako na usimzodoe, kitu kama hicho kinaonekana ni kidogo lakini ndo kinaweza kuleta mgogoro kwa maana mwenzio anaona wewe kazi yako ni kutafuta tu makosa yake kama wewe upo mkamilifu. Huu ni mfano tu. Mawasiliano yanaanza kuvunjika kwa vitu vidogo vidogo tu, usaliti huwa ni matokeo ya kupishana vitu vidogo vidogo kwa muda mrefu na kutopata wasaa wa kujaribu kuelewana.
 
Fanya uchunguzi mzee lazima unagongewa. Wanawake wakipata mtu anayemfeel anapoteza mapenzi kwa mme wake na uwa ni automatic wenyewe hata hawastuki inatokea naturally. Chunguza simu yake utagundua mengi sana

Pole sana
Sio kweli, suala hapa ni hela

Hii ndo imeleta yote haya
 
Mkuu, lakini mwanamke "anayejitambua" Hadi kufikia hivi ujue Kuna shida ya muda mrefu mumewe aliipuuzia

Wanawake huchukua muda mrefu Hadi kuanza kufanya ujinga huu wa kujipoza kwa kuchepuka
Tatizo wanaume akiambiwa kitu wala hakichukulii kwa umuhimu, unajua kupuuzwa huumiza sana, wanaume hawajuagi tu
 
Sina furaha kabisa,

Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.

Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.

Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.

NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.

Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.
Muulize kwa utaratibu atasema tu. Labda umepunguza kuleta vijizawadi au kumtoa out.
 
Jaribu kubadili mazingira mtoe hata out safari ya mbali huko msiende hata na mtoto. Mtoto mpeleke kwa bibi. Mchimbe taratibu.

🤔Tunaoshauri maswala ya ndoa hatuko ndoani😀
 
Veri simpo...

Ana jamaa nje anayemgonga...

Ukubali ukatae.

Ukibisha Jaribu kuchukua simu yake KWA KULAZIMISHA.

kama nimm, ningelazimisha kuchukua, najua angenipanda kichwan na ugonv ukawa mkubwa........

Alafu kisha, ningemuondosha ndani kwangu aende huko huko kwa kajamaa kake.

Nilishasema, Siwezi kukutunza, kukulisha kama mtoto, ulale mahali pazuri, kila kitu nikupe mm, . ...ALAFU UNIPANDE KICHWAN ,ET UNICHEPUKIE ?? MATOKEO YA KUCHEPUKA YAKUFANYE UNIBADILIKIE USHINDWE KUTIMIZA WAJIBU WAKO KWANGU??? .nahata kama una kazi yako sijui kipato chako, ili mradi ulikubali kuoana namm, hakikisha unaendelea kuniheshimu km Kichwa chako, Baba wa mji, Mkuu wa kaya ,

mamaeeeeeee .......Siku hizi wanaume wameisha, mnajifanya majentomeni et bebi bebi kibaoooooooo....
Khaaa nimecheka duh.
 
Sina furaha kabisa,

Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.

Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.

Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.

NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.

Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.
MPANDISHE CHEO MFANYE MKE MKUBWA
 
Back
Top Bottom