Simuelewi mke wangu

Simuelewi mke wangu

Ndoa changamoto sana,pole kiongozi
If she is not seeing someone else basi kakuchoka ama hapati huduma nzur toka kwako,
Jaribu kumuandaa kiakili tangu asubuh unaamka had jion unaporudi na umtoe out had wakati wa kulala mtashiriki na ongeza manjonjo unaweza ukagundua lolote,mwanamke hawez kukaa kimya kama alikua haipat haja yake vizuri
 
Sasa hapo kwenye kumkaza unafikiri ni kama kule kupiga pushups eeee

Maana ndivyo mnavyojipaga moyo..

Kumbe unamkaza kwa kumtoa malengelenge ofisini🙈🙈 unampa kero na maumivu tu..mwisho wa siku anaishia kukikinai maana unamuumiza🙈🙈
Inatakiwa iweje?tupe darasa mkuu
 
Sina furaha kabisa,

Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.

Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.

Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.

NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.

Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.
Veri simpo...

Ana jamaa nje anayemgonga...

Ukubali ukatae.

Ukibisha Jaribu kuchukua simu yake KWA KULAZIMISHA.

kama nimm, ningelazimisha kuchukua, najua angenipanda kichwan na ugonv ukawa mkubwa........

Alafu kisha, ningemuondosha ndani kwangu aende huko huko kwa kajamaa kake.

Nilishasema, Siwezi kukutunza, kukulisha kama mtoto, ulale mahali pazuri, kila kitu nikupe mm, . ...ALAFU UNIPANDE KICHWAN ,ET UNICHEPUKIE ?? MATOKEO YA KUCHEPUKA YAKUFANYE UNIBADILIKIE USHINDWE KUTIMIZA WAJIBU WAKO KWANGU??? .nahata kama una kazi yako sijui kipato chako, ili mradi ulikubali kuoana namm, hakikisha unaendelea kuniheshimu km Kichwa chako, Baba wa mji, Mkuu wa kaya ,

mamaeeeeeee .......Siku hizi wanaume wameisha, mnajifanya majentomeni et bebi bebi kibaoooooooo....
Wewe Jamaa hii ni mara yapili nachangia hapa baada ya kusoma nyongeza, nachangia tena ili nikupe Nuru.

MWANAMKE WAKO ANATOMBWANJE, KWA UFUPI NA 100% ANATOMBWANJE.

Nambaya zaidi kutombwaa kwake kumemfanya asiwe na hamu nawee kabisaa ikionyesha kwamba keshapoteza hisia nawewe, saizi yuko kwako sababu ANAKULA BURE, ANALALA BURE, ANAMTOTO, ANAPATA ANACHOTAKA N.K, YUPO KWAKO KMWILI LKN KIHISIA KIROHO HAYUPO NAWEWR KABISAA.

MPAKA ATULIE, NISIKU ANAYEMTOMBAA ATAKAPOAMUA MKE WAKO AJIRUDI VZURI.
NAKAMA ANAMTOMBAA MPAKA HATUA HII YAKUKUNYIMA, INAMAANISHA MTOMBAJI WAMKE WAKO ATAANZA KUNUFAIKA NA JASHO LAKO.

NINI UFANYE ??????..... HUNA CHA KUFANYA KUMRIDHISHA KINGONO,SABABU KESHAPATA ANAYEKUZIDI, HAPO KITENDO CHAKE CHA KUCHEPUKA, KISHAMFANYA AWE MTU WA MAPIGO MENGINE YAAAN KAMA WEWR NI KIBAMIA MWANZO ALITOSHEKA, SAIZI ANAHOGO, JE UNAWEZA GEUZA KIBAMIA KUA HOGO????

SIKI NAKUSHAURI NIKIWA KAMA MKRISTO, NIKIWA KAMA MWANAUME MWENZAKO, USHAURI AMBAO HATA MIMI NINGEFANYA HIVOHIVO.

Sababu anajua huna uhakika wa anayekutombeaa,.. Fanya kama nilivokushauri kwenyr hiyo komenti ya mwanzo, Utamuona tuuu ..

KAMA UNASHINDWA FANYA HILI JAMBO...

MWAMBIE HAYA MANENO HAPA...

" UMEKUA NA MABADILIKO YA GHAFLA , UMENITESA SANA, NMEHANGAIKA KUJUA TATIZO LIKO WAPI, SASA NMEUNGANISHWA NAMTU WA ( MTANDAO ANAUTUMIA TGO ,VODA N.K) NMEAMUA KUTUMIA LAKI MBILI ANIPE NAKALA YA CHAT ZAKO NA CLIP YA MAZUNGUZO YAKO , NINASEMA HIVI NIKIKUTA ULIKUA UNANISALITI , HAKI YAMAMA, NIKUKUTE UMEDHAONDOKA KWANGU MARA MOJA, BILA IVO NITAKACHOFANYA ITAKUA NI HABARI YA TANZANIA NZIMA'"............ .... MWAMBIE HAYA MANENO USO KWA USO UKIWA UMEKAZA SURA NA MWENYE HASIRA BILA KUCHEKA ALAFU ONDOKA ZAKO.

KAAAA UKO MPAKA JIONI , RUDI SAA MOJA HAPO MCHUKUE MTOTO WAKO, NENDA NAYE MAHALI MKALE CHAKULA N.K , ( RUDI HOME NA CHUPA YA KONYAGI HATA KAMA HUNYWI RUDI NAYO KAMA GERESHA).

USIMSEMESHE KABISAAA, KALALE CHUMBA CHA WATOTO AU WAGEN AU SEBULENI.

KESHO YAKE ALFAJIRI SANAAAAA ONDOKA MAPEMA MNOOO , ALAFU RUDI MIDA YA SAA TANO HAPO, UMENUNUA PANGA LAKO KALIIIII FANYA KULINOA MBELE YAKEEE UKU UKIWA KIMYA WAKAT HUO UKIJIFANYA KUONGEA NASIMU ZA UONGO.. oyaaaaa msiniangusheee , andaeni mazingira nikileta mzigo tu ,tunafukia chapu.

BAADAE ,UNAMCHUKUA MTOTO MNAENDA KULA CHA MCHANA, UNAKAAA NAYEEEE UNAMRUDISHA KISHA UNAPOTEA.

USIKU WAKE USIRUDI KULALA NYUMBAN,, MTUME BODA APELEKE CHIPS YAI HOME, AMPE MTOTO WAKO ALE.

ASUBUHI, RUDI , JIPIKIE CHAI YAKO NZITOOO YAMAANA, KUNYWA UMERELAX, ENDELEA KUONGEA NASIMU NA AKISIKIA " Leo ndio narudi pale Voda jamaa anipee mzigo, nashukuru sanaa Kaka"...

ONDOKA ZAKO NA MTOTO WAKO KAMWACHE KWA NDUGU,RAFIKI , ZUGAAA WEEE, MIDA YA SAA KUMI , MPIGIE SIMU..

UKO WAPI??? NISUBRI HAPO HAPO, HUWEZI KUNIFANYIA UNYAMA WA AINA HII.

Usimpomkuta nyumban ( mpigie simu kwa maneno haya " Bahati yako sijakukuta popote nitakapokuona ama zako ama zangu)
Au mtumie Meseji hii( Ole wako urudi hapa )

Ukimkuta Nyumbani ...... Weka sura ya ukauzi, gombezaa sanaa , zuga kumkaba kaba bila kumpa makofi ( ukumbuke huna ushahidi hapa unazuga) . Sasa kabla sijakutenda ubayaaa wowote , Chagua moja, Kukiri na kuomba masamaha, kuondoka haraka kwenda kwenu kabla sijawambia ulichonitenda na nitakachokufanya saizi.

Akikiri alikusaliti... FUKUZAAAAAAA KABISA HUYO MPUUUZI HAFAI.

Akijifanya bado ngangari...mwambie aende kabla hujamfanya kitu.

( ila kwa sababu ya dhambi ya usaliti, laxima atakua na woga sanaaaa, kwaiyo chaguxi lake ni kuondoka)... HATA IVO HAMNA MWANAMKE CHINI YAJUA WA KUHIMILI MIKIKI HIYO.

Kwann ufanye ivo???

Kwa sababu ya hatima yako, YAHESABU MAISHA YAKO KUA NI BORA KULIKO YAKE, MUONE MWANAO BADO ANAKUHITAJI, MAGONJWA MENGI, MKE NI MSAIDIZI SIO CHANZO CHA SHIDA, NABADO WEE NI MTULIVU ILA YEYE NDO MWENYE SHIDA.

usishangae hiyo mbinu... MFALME SULEIMANI , ALILETA SIME( PANGA) KABISAAA AKADIRIKI KUTAKA KUMPASUA VIPANDE VIWILI KICHANGA ...... NDIPO ALIPOJUA MWENYE MTOTO NI YUPI. NA ALIYEFIWA MTOTO NI YUPI.

ALOFIWA ALISEMA.." ndiooo bora tumkate wote tukose tu"

MWENYE MTOTO ALISEMA " Mfalme kuliko kuua, bora umpe huyu mke mwenzangu"

HAPA NDIPO UKAJA MSEMO WA BUSARA ZA SULEIMANI.

KUBALI KUPOTEZA KWA AJILI YAKO NA MWANAO.. UGONVI WA UNYUMBA, HATIMA YAKE NI MBAYAAA.

Kama utamkut
 
1.Huenda kuna jini mahaba linamridhisha halafu linamfanya asiwe na hisia na wewe. Tatizo hili hutibiwa kiroho.
2. Amepata mchepuko aliyekidhi vigezo vyake, hapa utapiga uwezavyo, lakini kumbdilisha ni ngumu. Kama wewe una uhakika huna michepuko, tafuta ushahidi, hatimaye mtimue kwa ajili ya ustawi wa afya yako. Lakini Kama nawe unachepuka, basi endeleeni na maigizo yenu.
 
Ushauri ni mzuri ila unaweza ukakuta mke wake naye yumo humu JF,atakuwa ana mzoom tu na kumcheka akiwa anayafanya hayo!
 
Nimejifunza kutohukumu jambo kwa kusikiliza pande moja maana hakika ya mgogoro huwa ni wa pande mbili sarafu haikamiliki kwa upande mmoja pekee...... Kwa maelezo yako mkuu unapitia magumu mno ila jaribu kutafuta chanzo cha tatizo kabla ya kufanya maamuzi
 
Kakukinai, jarbu kumpa vitu tofauti. Usikute kaz yko ni kumfunua tu nguo na kutaka kuchomeka, hisia za m'mke si km za m'ume
Wanaume wengi tunauelewa mchache Sana juu ya hii elimu ya maandalizi ya chakula...wengi wanajua kupupia kula na huwa wanadanganyana na story za vijiweni oooh dakika 30,50,10 adi analia,au adi kaomba poo....

Ghaaah,katka kusoma kwangu vitabu kuhusu Aya mambo...70% adi 80% ni romance, uwe na uwezo wa kuiteka hisia za mwanamke kabla ya kumuingilia...

Muda mwengne huwa nahisi maandalizi ni Kama oil Kwenye engine,ikikosekana hii si kwamba engine haitafanya kazi laa hasha Ila baada ya muda fulani lazima engine ikaja pata tatzo Kama si kufa kabsa..

Chakula kilicho andaliwa vizuri huwa kitamu na hakikinaishi ata Kama kidogo na kuliwa kwa muda mchache.. pia huleta furaha na hamasa.
 
Sina furaha kabisa,

Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.

Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.

Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.

NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.

Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.
Mapenzi ya ujana raha sana.

Hapo sasa ndipo mtu anachukua attention yako na kukufanya umuwaze yeye muda wote. Sasa ukitaka kuuwasha moto vizuri, mkaushie kama wiki usiwe unampa attention direct hata kidogo.

Ila mpatie mahitaji yake ya msingi kama kawa na ikibidi hata ukirejea mletee zawadi ndogo ndogo at least mara moja kwa wiki mbili.
Then utaona namna atavyoanza kubadilika....
 
Bado una utoto mwingi. Unaweza ukaona na rafiki yako na bado akafika ndani mkakosana. Watu wanakosana na ndugu waliozaliwa tumbo moja ndo iwe rafiki? Cha msingi wote mnapoingia kwenye ndoa mkubali kufanya compromise na kujaribu kuishi na mapungufu madogo madogo ya mwingine. Ndoa yahitaji wote mjifunze kuwa na busara na hekima. Pia yahitaji mungu aisimamie. Kwa akili zako za kibinadamu utachemka tu hata uolewe na malaika
Sawa wewe ambae huna utoto mkuu..ukilinganisha miandiko ya huko Jf na akili za watu utakwenda na maji joo..🤪🤪🤪

Hebu niache nijiinjoy na utoto wangu chief
 
Back
Top Bottom