Scolari
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 1,723
- 2,419
UnitagMda si mrefu nitakuja na darasa chief.stay tuned
UnitagMda si mrefu nitakuja na darasa chief.stay tuned
😅😅usijaliUnitag
Miss u mrembo, inbox basi dahWewe bwana umetokea wapi??😳😳😳aiseeehhh..
Siku ...unaendeleaje??
Mkuu tafuta muda utokee na waifu mwende sehemu tulivu wawili mzungumze ikiwezekana iwe ni mbali na hom utajua tatizo nini hasa na atakueleza kwa undani, changamoto zinazotokea kwenye ndoa zitatueni wenyewe mkiziacha zinaleta madhara makubwa sana Mkuu kwa watoto na wanakosa upendo kwa pande zote mbili, usiruhusu hali hii itokee itawapa watoto maumivu, Kuchepuka si suluhisho suluhu ni kujua chanza cha tatizo na kutoa solution.Sijawahi chepuka, lakini hapa nilipofika nitalazimika,. potelea mbali
Napiga simu inakata aiseh sijui nini shida..Miss u mrembo, inbox basi dah
Ndugu yangu hiki ni kilio cha wanaume wengi naelewa maumivu yako. Ila naomba ufikilie mara mbili tafadhari uamuzi huu sio mzuri bora upige puli tu upozee machungu na kumwomba Mungu akusidie sana. Nje kuna magonjwa n pia kupata mchepuko aliyetulia ni ngumu sana. Wewe kumkomesha piga puli kwa uwazi kabisa ajue.Sijawahi chepuka, lakini hapa nilipofika nitalazimika,. potelea mbali
Mwenyewe unajiona mjanjaaaWangu aluanza huu ujinga, baharia mmoja akaniambia nifanye sub, nikatafta kabinti mtaani sasa navifinya km sina akili nzuri




Sio kila mwanamke anashtushwa na michepuko, wengine utachepuka weee hakuulizi chochote na anajua. Na ukiona huulizwi jitafakariNi ulofa na uvivu wa kimahaba vimemtawala. Siku akijua kuwa una mchepuko ataanza kunyenyekea na kukukatikia viuno kama vyote.
Ewaaa umejiongezea siku zakuishi mkuuKhaaa nimecheka duh.
😁 😁 😁Utaambiwa una gubu na mdomo
Wity hujambo mamaEti unashindana na shimo![]()
Sana aiseeMwenyewe unajiona mjanjaaa![]()
Niko poa, usiadimike hivyo aiseeSijambo mrembo za misiku dear?
Miss u![]()
naweza nikawa mdogo kimawazo au kifikra ila huwa na msemo mmoja mwanaume kama mwanaume hii duniai hakuna wa kukuonea huruma katika matatizo yako mwenywe isipokuwa mama yako mzazi kama umeshazaa watoto naye jitahidi kumvumilia kama hali itakushinda fukuzia mbali maana hili jambo litakutesa na wala hutaona sababu ya kuishi..kuna principle moja inasema ,,you cant control whats going on on the universe but you can opt do be the part of it...cha msingi tafuta tatizo nini ikishindikana usi mcheta ila fuata taratibu za kuhalali za kumuacha kucheat no dhambi anmbayo haitakiaucha salama hata kama yeye kafanya wewe usifanyeSina furaha kabisa,
Kwanza, Mke wangu hanipi unyumba mpaka niforce saaana. Mara nyingi husingizia kachoka wakati hakuna kazi ya maana anayofanya.
Nisipolazimisha unaweza ukapita hata mwezi bila kukutana kimwili.
Pili, kila nikitoka kwenye mihangaiko yangu naporudi home usiku huwa nawakuta mke wangu na mwanangu. Ajabu ni kwamba mwanangu hunikimbilia na kunipokea kwa furaha sana lakini mke wangu hubaki kuniangalia tu bila hata kunipa pole na kazi au hata kuniuliza habari za kazi.
Najiuliza sana nini chanzo cha haya yote. Furaha ya ndoa yangu inapungua kila kukicha.
NYONGEZA;
Leo asubuhi alitangulia kuamka, nikamfata nikaanza kuaandaa mazingira nile mzigo. Akaanza kukataa, mara akasema kalale nimebanwa na mkojo naenda kukojoa. Nikaenda kulala, cha ajabu hajaenda kukojoa ila akapanda kitandan kulala.
Kwa hasira nikamwambia wewe sio bure kuna mtu anakuto*ba. Nikamwambia tulioana tukiwa wazima sasa ole wako uniletee maradhi. Akamind sana, mi nikakaa kimya nikaamka na kusepa.
Hakuna hisia tena hapo
Jr![]()
Sasa wee hapo sio mapenzi, ni ubabe na u dictator. MmmmmmhVeri simpo...
Ana jamaa nje anayemgonga...
Ukubali ukatae.
Ukibisha Jaribu kuchukua simu yake KWA KULAZIMISHA.
kama nimm, ningelazimisha kuchukua, najua angenipanda kichwan na ugonv ukawa mkubwa........
Alafu kisha, ningemuondosha ndani kwangu aende huko huko kwa kajamaa kake.
Nilishasema, Siwezi kukutunza, kukulisha kama mtoto, ulale mahali pazuri, kila kitu nikupe mm, . ...ALAFU UNIPANDE KICHWAN ,ET UNICHEPUKIE ?? MATOKEO YA KUCHEPUKA YAKUFANYE UNIBADILIKIE USHINDWE KUTIMIZA WAJIBU WAKO KWANGU??? .nahata kama una kazi yako sijui kipato chako, ili mradi ulikubali kuoana namm, hakikisha unaendelea kuniheshimu km Kichwa chako, Baba wa mji, Mkuu wa kaya ,
mamaeeeeeee .......Siku hizi wanaume wameisha, mnajifanya majentomeni et bebi bebi kibaoooooooo....