Simuelewi mke wa mpangaji mwenzangu

sikia wewe mgonge huyo demu kwa siri
 
Mdogo wangu,kaa mbali na hiyo ndito,itakuletea balaa,ishu kama hiyo ilishawahi kunikuta kanda ya ziwa,mke wa MTU,akanipenda,akagombana na jamaa yake,akaniomba nimsaidie kuhamisha vitu vyake kwa gari langu,hapo ndio niliharibu,majirani wote wakaona,anapakia vitu kwenye gari,jioni wakamuambia jamaa,jamaa alininunia balaa,mpaka uzalendo ulipomshinda akanieleza wazi wazi,wake za watu ni shida,utashindwa kuishi kwa amani,na usijidanganye,akiendelea kukupikia,kukuoshea vyombo,jamaa atajua tu,
Achana na hiyo maneno,
 
Huyo mwanamke tamaa na shetani wa ngono keshamuingia, atakuja kukuletea matatizo, muepuke haraka sana, ila huna sababu ya kuhama nyumba, jifunze kukabiliana na changamoto za maisha, utakimbia nyumba ngapi? Kwa hiyo, kila nyumba utakayohamia ukikuta mwanamke anakutaka utakuwa unahama?
a) Mkazie mchacho mwambie kwamba hutaki hayo anayoyataka yeye na akiendelea utamwambia mumewe na ushahidi unao kwenye messages za simu
b) Tafuta mwanamke wako awe anakuja hapo, hata kama wa kuzugia tu ili ujenge heshima, kutokuwa na mwanamke kunachangia kumpa matumaini kwamba siku moja atafanikiwa.
 
stuka kimbia pepo huyo
]
 
Anashindaga kazini mkuu, nilikuwa najit0mbE@ kwa nafasi na kwa uhuru kabisa.
Duuh mkuu hiyo ni hatari sana naogopa sana hawa watu wanaofanya kazi ngumu kujipatia kipato kuwalia wake zao
 
Mkuu una miaka mingapi kwanza
Mkuu hata tatzo sio miaka ni huyu mke wa kijana mwenzangu kuniweka mitegoni wakati niliapa kutokufanya hiyo dhambi
 
Mke wa mtu ni sumu ndg naomba usiruhusu majaribu kama hayo kwan jamaa akijua ataumia saana mke anauma
 
acha kushinda nyumbani, na wewe toka asubuhi na urudi usiku kama mume wake.
 
Achana nae mkuu, mke wa MTU sumu atakualibia ramani zako bureeee. We akituma msg usijibu mkaushie siku3 tu atashika adabu yke
 
kwa kweli kwa hapa tu nilipofikia ningeshindwa kuvumilia...ingebidi tu nifanye fasta af nitulie sasa....kumuacha tu hivihivi na anajileta mwenyewe hapana
 
akiambiwa akae atulie aheshimu ndoa kwani ndo itamfany atulie...hizo ni porojo tuu wanazijua na wameamua tu kuwa na tamaa kuvizia vijana wa watu japo wameolewa,,,ishu ni yeye na mume wake tatizo,...ilakuambiwa tu haimfanyi aache hiyo tabia kwani alishapagawa na buku 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…