Non-Shatter
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 597
- 266
Habari zenu wana JF,naombani ushauri wenu,nina boyfriend wangu nimedate nae kwa miezi kadhaa sasa,we are good in relationship the problem inakuja kwenye sex life yetu,sijui ni anapendelea romance sana kuliko sex ama sielewi,ila nilivyomuuliza alisema anapenda vyote,he is good in romance na tukifanya romance anadinda kabisa na anachafua mpk suruali ila sasa tunaishia kuromance tuu hatuendelei kwenye kugegedana,sielewi tatizo ni nini?kwa mara ya kwanza tulijaribugi kufika mbali ila gari lilishindwa kupanda mlima nikamuuliza nini tatizo akasema haelewi what has happened cos kwenye foreplay kitu kilikuwa tayari kimesimama kabisa,nilivyomuuliza akasema haelewi labda amechoka,inshort nilihisi labda ndio matatizo ya nguvu za kiume maana binafsi najiamini na najiamini cos nilikokwishaga kupita hadi leo wanatakaga warudie game na mie ila sielewi what happened na huyu mutu mpya wangu
nimekuelewa but unataka kuniambia kwenye life schedule huyu jamaa ni wangapi?
hamna msichana anayeweza kukuambia aliye naye ni wa ngapi,ni sawa na kumuuliza speed meter yake inasoma ng.pi?
wanaweza sana mkuu...utaskia uyo ni wa 2...kwakuwa kesha lose bkr.
Mpiga nyeto huyo, imeathri mpaka ubongo.
Hivi ni mimi tu nilie note huo mstari wa 'kila ulipopita wanataka kurudia'?
Hahaha pata picha wewe ndio unakutana na mjuzi huyu? Si hukawii kuchemsha na wewe? So sad kwa kweli
Siku hizi wasichana wengi ndio 'mafundi' kitandani
wavulana wanaonewa tu daily
dunia imebadilika..enzi za kukutana na msichana hata kugeuka unamwambia hakuna
siku hizi wana command wao turn over..mguu pale...
Hahaha mtajuta. Mguu upandeeee, mwili legezaaaa! Mnatutia aibu tu huko mkichepuka. Yaani mchepuko wa mkeo haukawii kukushauri uchepuke ule raha za dunia. Mweeh.
Sasa waliopiga kazi bado wanadai ajira. Hata mie ningechemsha.
Habari zenu wana JF,naombani ushauri wenu,nina boyfriend wangu nimedate nae kwa miezi kadhaa sasa,we are good in relationship the problem inakuja kwenye sex life yetu,sijui ni anapendelea romance sana kuliko sex ama sielewi,ila nilivyomuuliza alisema anapenda vyote,he is good in romance na tukifanya romance anadinda kabisa na anachafua mpk suruali ila sasa tunaishia kuromance tuu hatuendelei kwenye kugegedana,sielewi tatizo ni nini?kwa mara ya kwanza tulijaribugi kufika mbali ila gari lilishindwa kupanda mlima nikamuuliza nini tatizo akasema haelewi what has happened cos kwenye foreplay kitu kilikuwa tayari kimesimama kabisa,nilivyomuuliza akasema haelewi labda amechoka,inshort nilihisi labda ndio matatizo ya nguvu za kiume maana binafsi najiamini na najiamini cos nilikokwishaga kupita hadi leo wanatakaga warudie game na mie ila sielewi what happened na huyu mutu mpya wangu
Wewe ndio unamponza kaka wa watu. Kama una experience ukiitishwa referees unatoa contacts 20, mwenzio he is mama's boy anaogopa uzoefu wako.
Ushazoea mbio za marathon, hizo mbio za kuku zinakushinda. So sad, it aint fun to have some kind of skills and experience. Hapa ndio huwa nakubaliana na dada FaizaFoxy (najipendekeza unialike futari japo kobe)
nyoka wa maonyesho hang'ati.... kama analidhika na romance na we jitahid uridhike tu, kwani nyie si ndo mnasema mnaeza live without sex!!!!