Simuelewi huyu mwanaume

Simuelewi huyu mwanaume

Wewe hujamuelewa huyu mrembo shida yake.
Nadhani hiyo ndo njia nzuri zaidi ya kufurahia mahusiano yenu wakati huu ambao hamjaingia kwenye ndoa.. Muhimu ni wewe upate darasa jinsi ya kurudisha Nyani Ngabu's make out / necking ili mwisho wa siku wote wawili mufurahie..

Njia moja salama ya kujikinga na maambukizi na nina shaka jamaa anafikiria zaidi kugonjweka kuliko kupata full starehe..
 
Last edited by a moderator:
nyoka wa maonyesho hang'ati.... kama analidhika na romance na we jitahid uridhike tu, kwani nyie si ndo mnasema mnaeza live without sex!!!!

Live without sex if it's not there, siyo Mtu anakushikashika anakuacha.
Hiyo wanaweza mahanithi Aisee
 
he is a nice guy,mstaarabu,mpole na muelewa he is kind of a guy alot of ladies would be happy to have him.he is such a good caring man and a husband material....am so confused sijui nimsaidiaje naona kumuacha sio solution.

Labda vile ilikuwa mupya akachanganyikiwa na alikuwa amechoka.......mara ya 2 3 4 5 leta majibu
 
i think ni wewe pekee uliyeshangaa,cos am not a kid na mapenzi sijaanza kwake mpk nimefikia kuandika humu basi ujue am above 21 and alot of people above 21 has onced dated more than 1 man,sijui kitu gani kilichokufanya ushangae au ubold hiyo sentenci kichwani mwako.
Kuna mmoja aliwahi kusema JF kunawanafiki nikawa namshangaa. kumbe tupo aisee...tunajifanya hatuna namba za kutisha kumbe ndio mabingwa. mfano mimi kuna wengine hata siwakumbuki majina wala ni lini zaidi ya kukumbuka nilishamgegeda. Bora hata wewe unaweza kuwakumbuka mpaka majina.
 
Wewe hujamuelewa huyu mrembo shida yake.

Mkuu inawezekana kweli sijamuelewa mie..

Na wewe hujaelewa kabisa ninachomaanisha.....

Ha ha ha.. Unajua Nyani Ngabu hapa JF ni kama shule kwangu.. Hii ulioileta nilikuwa siifahamu na ikabidi niende kwa kamusi ili nipate kufahamu maana yake.. Sasa inawezekana sijaelewa..

Waweza kunisaidia darasa kidogo Mkuu..?
 
Last edited by a moderator:
Haha uyo mpaka apigwe starter kwisha habari yake. Mkiwa mnafanya uzinzi ukiona gari linasua sua yani kama futa linataka mlimani mpige ndolele au mshike matako atawaka tena mzigo kama kawa. Ndo vijana wetu wa ckuhz Viroba/Nyeto ni janga la taifa.

Mkuu hapa nilipo nataka kuzimia kwa vicheko......nimekugonga na like kabisaa
 
i think ni wewe pekee uliyeshangaa,cos am not a kid na mapenzi sijaanza kwake mpk nimefikia kuandika humu basi ujue am above 21 and alot of people above 21 has onced dated more than 1 man,sijui kitu gani kilichokufanya ushangae au ubold hiyo sentenci kichwani mwako.

kwa mahesabu ya haraka haraka wewe wanafika kama wangapi?! ........... vp mwakyembe linajaa?!
 
belinda john

haha atakuwa anajua kuramba tu mzoee hivyo hivyo si ndo mnawapenda
 
Last edited by a moderator:
Inaonyesha anafanya maromance akiwa amevaa masuruali yake. Sasa mwambie atoe hayo manguo na apigilie msumari kwanza kwenye kibubu ndiyo aendelee na maromance yake. Hapo atamwagia kila kitu kwenye kibubu
 
Sidhani kabisa kama wananielewa aisee.

Mbaya zaidi ni hawajui kuwa hawajui.

Na uko sahihi, ni tatizo karibu la nchi nzima.

mbaya zaidi ni kuwa Mungu alitupa uelewa tofauti au ufaham tofauti..... Sasa jaribu kuweka mazingira ya kuleweka na kila mtu...

Kwasababu unaweza ukasikia na usfahamu na unaweza kuona na usielewe....
 
hahaha bia tamu aisee, mi ndo maana nimestaafu hii kazi ya kufunua pichu sasa hivi nafunua chupa tu. The Boss we vipi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom