Simuelewi huyu mwanaume

Simuelewi huyu mwanaume

samahanii itakuwa umevusha mawazo yako,umeenda mbali sana,sijawai na sifanyi na wala sitegemei na pia mie ni binadamu kama wewe,nina maisha yakawaida na kwenye swala la mapenzi pia kuna break ups and make ups thats life schedule
nimekuelewa but unataka kuniambia kwenye life schedule huyu jamaa ni wangapi?
 
Ha ha ha.. Unajua Nyani Ngabu hapa JF ni kama shule kwangu.. Hii ulioileta nilikuwa siifahamu na ikabidi niende kwa kamusi ili nipate kufahamu maana yake.. Sasa inawezekana sijaelewa..

Waweza kunisaidia darasa kidogo Mkuu..?

Sawa, hamna shida.

Ila tuanze na hili kwanza: kwako neno 'Romance' lina maana gani?
 
Wanaume tunakumbwa na mengi Eh mwanyaaazi Mungu tujalie waja wako nguvu zimekuwa tatizo

nitonye, nimejikuta nacheka sana...mkuu, nguvu zimekuwa shida kiasi hicho...hahaha hadi umepiga dua kwa mwenyezi Mungu..?
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana JF,naombani ushauri wenu,nina boyfriend wangu nimedate nae kwa miezi kadhaa sasa,we are good in relationship the problem inakuja kwenye sex life yetu,sijui ni anapendelea romance sana kuliko sex ama sielewi,ila nilivyomuuliza alisema anapenda vyote,he is good in romance na tukifanya romance anadinda kabisa na anachafua mpk suruali ila sasa tunaishia kuromance tuu hatuendelei kwenye kugegedana,sielewi tatizo ni nini?kwa mara ya kwanza tulijaribugi kufika mbali ila gari lilishindwa kupanda mlima nikamuuliza nini tatizo akasema haelewi what has happened cos kwenye foreplay kitu kilikuwa tayari kimesimama kabisa,nilivyomuuliza akasema haelewi labda amechoka,inshort nilihisi labda ndio matatizo ya nguvu za kiume maana binafsi najiamini na najiamini cos nilikokwishaga kupita hadi leo wanatakaga warudie game na mie ila sielewi what happened na huyu mutu mpya wangu

Inaonekana jamaa yako ana upungufu wa nguvu za kiume, mwambie atumie asali kila siku, ale pweza, tende, matikiti maji, maziwa, karanga mbichi na mboga za majani!!!!
 
Habari zenu wana JF,naombani ushauri wenu,nina boyfriend wangu nimedate nae kwa miezi kadhaa sasa,we are good in relationship the problem inakuja kwenye sex life yetu,sijui ni anapendelea romance sana kuliko sex ama sielewi,ila nilivyomuuliza alisema anapenda vyote,he is good in romance na tukifanya romance anadinda kabisa na anachafua mpk suruali ila sasa tunaishia kuromance tuu hatuendelei kwenye kugegedana,sielewi tatizo ni nini?kwa mara ya kwanza tulijaribugi kufika mbali ila gari lilishindwa kupanda mlima nikamuuliza nini tatizo akasema haelewi what has happened cos kwenye foreplay kitu kilikuwa tayari kimesimama kabisa,nilivyomuuliza akasema haelewi labda amechoka,inshort nilihisi labda ndio matatizo ya nguvu za kiume maana binafsi najiamini na najiamini cos nilikokwishaga kupita hadi leo wanatakaga warudie game na mie ila sielewi what happened na huyu mutu mpya wangu

Jamaa inawezekana wasiwasi unamponza na kapiga sn punyeto...so cha kufanya hapo achomeke mgiriri kwa ke kabla ya romance ata pee fasta zen unaanza tena romance mzee atarudia kudin*a tu...siku za mwanzo itasumbua ila akishazoea mambo yatakua msobe.....na umwelekeze km bado anapiga puri aache
 
Hivi ni mimi tu nilie note huo mstari wa 'kila ulipopita wanataka kurudia'?

yaaniiii, anasisitiza kwamba she is that good...mtu akiacha lazima amkumbuke..mtambo kweli..nimeona pia nikasema moyoni "amaizing"
 
Sawa, hamna shida.

Ila tuanze na hili kwanza: kwako neno 'Romance' lina maana gani?

Romance ni hadithi za mahaba, au fasihi ya mahaba, au hali ya kuvutiwa na hadithi za mahaba.. au mambo/uzushi uliozidishwa chumvi na yafananio hayo.. Huo ndo uliokuwa ufahamu wangu kwa neno hili la romance..

Ila sasa kwa kuwa sikuwa na mbadala wa hilo nikajikuta na mie ninatambaa kwenye nyasi zile zile matumizi sio kwa neno hilo.. Ni kama alivyochangia member mmoja kwamba kituo cha mafuta cha BP mtu anaita shell ya BP..
 
Hahahaaa basi wala sina tena haja ya kukuelewesha chochote maana naona somo ushalielewa vilivyo.

Bravo bravismo.
 
nitonye, nimejikuta nacheka sana...mkuu, nguvu zimekuwa shida kiasi hicho...hahaha hadi umepiga dua kwa mwenyezi Mungu..?

Nguvu zimekuwa shida wewe ona akina mama wanavyouza mihogo na nazi mabara barani yaani ni janga. Yaani hata kama nguvu unazo siku ikatokea dushelele limegoma kunyanyuka kwenye awamu ya pili hata kama ni uchovu wa kawaida lazima mwanaume jasho likutoke na mwili wote lazima utetemeke kwa hofu
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana JF,naombani ushauri wenu,nina boyfriend wangu nimedate nae kwa miezi kadhaa sasa,we are good in relationship the problem inakuja kwenye sex life yetu,sijui ni anapendelea romance sana kuliko sex ama sielewi,ila nilivyomuuliza alisema anapenda vyote,he is good in romance na tukifanya romance anadinda kabisa na anachafua mpk suruali ila sasa tunaishia kuromance tuu hatuendelei kwenye kugegedana,sielewi tatizo ni nini?kwa mara ya kwanza tulijaribugi kufika mbali ila gari lilishindwa kupanda mlima nikamuuliza nini tatizo akasema haelewi what has happened cos kwenye foreplay kitu kilikuwa tayari kimesimama kabisa,nilivyomuuliza akasema haelewi labda amechoka,inshort nilihisi labda ndio matatizo ya nguvu za kiume maana binafsi najiamini na najiamini cos nilikokwishaga kupita hadi leo wanatakaga warudie game na mie ila sielewi what happened na huyu mutu mpya wangu

labda he is nervous, au anaona atakudisappoint ukamtema au bado haaminiii...labda he is that rare breed that wants to take things slow
 
Hahahaaa basi wala sina tena haja ya kukuelewesha chochote maana naona somo ushalielewa vilivyo.

Bravo bravismo.

Ha ha ha.. Ila ninakushukuru maana hili neno ulilolileta leo lilikuwa geni kwangu na nimelijua kwako.. make-out / necking...
 
Maiwee....hakyanani wewe miaka yako haizidi 20,na jeshini kwa nini hujaenda??

Halafu kwa nini unakuwa na wanaume wengi wengi sana wakat bado mdogo,huogopi usumaku kuisha??
 
Mguse kwenye kiwiko cha mguu au mnyonye kidole gumba cha mguu pale nguvu zinapomuisha kisha akisimama, wewe kaa juu yeye awe chini, utamaliza hamu yako. Kidole kiwe cha mguu wa kulia.
 
Haha uyo mpaka apigwe starter kwisha habari yake. Mkiwa mnafanya uzinzi ukiona gari linasua sua yani kama futa linataka mlimani mpige ndolele au mshike matako atawaka tena mzigo kama kawa. Ndo vijana wetu wa ckuhz Viroba/Nyeto ni janga la taifa.

HAHAHAHA jf noma aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom