Nigga What
Senior Member
- May 1, 2021
- 164
- 448
Nenda naye sawa tu ilimradi hajakuambia lolote baya.
Mpe tabasamu, mchangamkie, uwe unampa vizawadi, mwisho atajiona fala tu na atapoa.
Huyo nenda naye kikauzu kama anavyofanya ipo siku uzalendo utamshinda atafunguka tu.Ananinyima raha kiongozi yaani tukibaki wawili no story ni mikausho tu
Huyo mzee kigagula, mrudishie binti yakeAliwahi kutabasamu mara moja baada ya kununuliwa suti ya piere cardin
Huyo mzee kigagula, mrudishie binti yake
Huyo nenda naye kikauzu kama anavyofanya ipo siku uzalendo utamshinda atafunguka tu.
Pia ifike hatua kila mtu atulie na mke wake.Namimi huwa namuonyesha ukauzu tu kama tukiwa wawili
Umemchukulia utamu wake lazima akumindNimeshangazwa na baba mkwe wangu kuniangalia kwa ukali kila ninapo kutana nae iwe nyumbani kwangu au kwake...
Kata kidevu huyo mzeeNimeshangazwa na baba mkwe wangu kuniangalia kwa ukali kila ninapo kutana nae iwe nyumbani kwangu au kwake.
Nimeoa binti yake na mahali nimelipa lakini mpaka leo sijajua kwanini hunionyesha sura ya aina hiyo. Nahisi kama si ukarimu wa mama mkwe wangu ningempiga stop kuja kwangu maana hii ni dalili ya uchaw...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mambo yanachekesha sana.....
hamnywi?? kama mnatumia kilaji kaa nae agiza mbili moto mbili baridi muongee kiume. Mzee ni wa wapi?
Kama aliwahi kukwambia unamtaka binti yake ili upate ahueni ya maisha!. Hapo solution ni kutafta hela umzidi kimaisha hata Mara 10 zaidi. Kwasasa Anakuchukia na anakudharau pia coz huna pesa za kutosha.
Nlikua nimeandika mzee ni wa kanda maalumu? halafu nikafuta....kumbe nlikua sawa.Huyu mzee ni Mkurya