Simuelewi Baba Mkwe wangu

Nigga What

Senior Member
May 1, 2021
164
438
Nimeshangazwa na baba mkwe wangu kuniangalia kwa ukali kila ninapo kutana nae iwe nyumbani kwangu au kwake.

Nimeoa binti yake na mahali nimelipa lakini mpaka leo sijajua kwanini hunionyesha sura ya aina hiyo. Nahisi kama si ukarimu wa mama mkwe wangu ningempiga stop kuja kwangu maana hii ni dalili ya uchawi. Akimuona mwanae anafurahi sana lakini akiniona tu unakua mkinywa mwenye sura ya ukauzu

Hata nilipompa ujauzito binti yake kabla sijamuoa mzee aliwahi kuniambia namtaka mwanae ili nipate ahueni ya kimaisha, lakini sikuwahi kumuomba hata chumvi huyu mzee mwenye mwenye tuhela twa tia maji tia maji.

Mtoto wake na mama mkwe wananipenda sana lakini dingi kauzu dagaa kama mwarabu fighter nipeni ushauri wazee au nimkate kidevu.

By mdau mmoja hapa Dar
 
Back
Top Bottom