Simuelewi Baba Mkwe wangu

Hofu yako TU,
Wazee wengine ndo sura zao zilivyo
IMG_20211213_120231.jpg
 
Inaonekana hujawahi Kumpa baba mkwe pesa
Kama pesa ya mahari alilipa yote hadaiwi kitu inamtosha, kwanza mzee anatakiwa amshukuru jamaa maana amempunguzia bajeti ya chakula, mavazi na matibabu nyumbani kwake?
 
Kuna umuhimu gani wa kukutana na Baba Mkwe wako mara kwa mara.??
Kutana nae kwa ishu maalum na sio kuzoeana.

Sisi nyumbani ukiwa barabarani ukamuona Baba Mkwe /Mama Mkwe kwa mbali, mmoja wenu ubadilisha njia ili mladi msikutane.
Hata mimi nilikuwa najiuliza mbona inaonekana mtoa uzi yupo karibu sana na baba mkwe? ... nahisi tatizo lilianzia hapa ...
 
Aisee unapata wapi muda wa kuonanaq na baba mkwe ?? Mimi nilipotoa mahal kisha sendoff ya wife aisee ilipita almost 2 years sijaonana na wakwe.Ila wajukuu nawapelekea wakawasalimie na mama yao ndio anakwenda nao mara moja moja
Mimi ndani ya miaka 4 naeza enda ukweni mara mbili au moja ... na mawasiliano mpaka kuwe na ishu ya maana
 
Ananinyima raha kiongozi yaani tukibaki wawili no story ni mikausho tu
Sasa unataka uongee nini na baba mkwe mkuu basi ukitaka hivyo mpe issue za kupata pesa hapo ndo mtakuwa na mazungumzo marefu.

Mimi siyo mkwe tu hata baadhi ya ndugu nikikutana nao kama baada ya salamu wao hawajaanza mazungumzo basi hapo tutabaki tunatizamana maana huwa sina cha kumsemesha mtu na kama ana mambo ya maana ya kuzungumza nitachangia kama hana napiga kimya,ni aina tu ya watu wako hivyo usichukulie ubaya.
 
Mimi ndani ya miaka 4 naeza enda ukweni mara mbili au moja ... na mawasiliano mpaka kuwe na ishu ya maana
Safi sana.Utaanzaje kugombana na wakwe au mashemeji kwa style hii.Live your life mambo tunajitakia tu
 
Back
Top Bottom