Simuelew anapenda mwili au mimi!!!

Simuelew anapenda mwili au mimi!!!

Hivi kama ndo mko kwenye uchumba na hakuridhika na wewe ulipokuwa mnene akademand upungue na umepitiliza anasema anaona aibu kutoka na wewe...Ungekuwa dada yake angekuonea aibu? Seriously the man does not love you enough to merely show you to the world...How do you see your relationship in say 15years?
FYI: hata ujikondeshe vipi-beauty fades
 
Huyu boya wako ni wa aina ya wale watu wasioishi maisha yao, af ndo wale siku ukikaribia kuzaa atakwambia bora operation..

Baadae atakwambia bora ungezaa kawaida mishono haipendezi, au ukizaa kawaida atakwambia nanhii yako kama koliflawa, sasa sijui ujiue ama!!!

Kwa kifupi jipende wewe kwanza, jiangalie wewe upo comfortable na nini..unene mwingi si mzuri na wembamba mwingi si mzuri.,so unafurahi UKIWAJE.

Then kama hayupo okay na ulivo bora kujikacha mapemaaa maana mwisho atakwambia moyo wako unadunda kwasauti uchomoee!!!!

Me in ishuz za hivo.. Swts comes first!!hataki aumbe wake amtakae yeye!!

Maana huyo anaishi maisha ya bongo movies kuangalia nani anafanya nini aige!!!

Tafakari chukua hatua...Love urself na ujiangalie utakuwa happy wapi even after marriage!!

Pole sana ila jamaa ako ANABOAA!

,Asante yaaaan ananichanganya ile mbaya ila I just pray nipate uwezo wa kumuacha na kumsahau coz nakoelekea ntakuwa chiz
 
Last edited by a moderator:
watch out my dear...! mizengwe inaanza hata kabla ya ndoa! sasa akisha kuoa then ukazaa na body morphology ikabadirika kutokana na kuzaa na mambo mengine ya kimaisha na mabadiriko ya mwili for sure atatafuta 'somebody' nje ya ndoa sawa na taste yake! sikutishi lakini fact ndo hiyo!

Aaaahh asante kamanda
 
Anajali outlook yako na pengne easy to carry ndo preferenc yake na pengine since alilikukuta kibonge anatakiwa tu asuggest kupungua na sio alazimishe

Cz cmz anakuinsist sana na inakupa tension to the xtent of loosing 20kg!!we mueleze hapo ulipofkia ndo uwezo wako cz ukimwendekeza sana mwisho atakwambia mashemiji zake ni weupe na kma we ni mweus hpo carolight itakuhusu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yani na wewe umekubali kufanywa mbao anakukereza style anayotaka!anaishije maisha ya kukopi na kupaste kwa marafiki zake?kwa uzuzu huo kuna siku mke wa rafiki yake atapata tatizo akatwe kiungo labda mkono atakuambia na wewe kakate.
 
Ndani ya mapenzi chongo huwa kengeza
 
Punguza mwili kwa ajili ya afya yako na sio kutafuta uzuri wa kumfurahisha mchumba/mume...kwa taarifa yako hii miili inabadilika kila kuchwapo na hasa hasa kwenu wamama...Anatakiwa aonyeshe ushirikiano na sio kukuforce kwa kutumia kigezo 'cha mashemeji' zake..Hatukatai kuwa 'obesity' ni mbaya lakini pia kuwa 'skinned' is too bad too...Mwambie ajifunze kumvumilia na kumpenda mtu alivyo!..................

Den what should I do
 
Hahahah Suprise mpana we ka pazia la sinema....kwan safari zinapunguza uzito? Ishu ni kuwa napiga menyu kisawasawa , vp mtoto keshaanza kukupiga mateke? mwambie nampenda!!!
na safari zote hizo mara mwanza mara ..... bado mzito shost
 
Last edited by a moderator:
Huyo anayekulinganisha nawake za marafiki zake kama ndiye mume mtarajiwa una kazi! ukiamua kujikomit utakuwa umejitoa muhanga
 
,Asante yaaaan ananichanganya ile mbaya ila I just pray nipate uwezo wa kumuacha na kumsahau coz nakoelekea ntakuwa chiz

chukua hatua haraka mbele ya safari kuna mengi, ukija kubadilika si atakukimbia!
 
Mungu kaumba wanawake wakila aina, sasa mtu akiamua kua nawewe basi anatakiwa aridhike navile ulivyo. Huyu mpenzi wako hana mapenzi yadhati. Maana wanasema mapenzi ni upofu. Angekua anakupenda hata kama upoje angeridhika nawewe
 
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???
hilo ulilosema kwenye kwenye title yako ndo jibu lenyewe!kimbia fasta!
 
Hahahah Suprise mpana we ka pazia la sinema....kwan safari zinapunguza uzito? Ishu ni kuwa napiga menyu kisawasawa , vp mtoto keshaanza kukupiga mateke? mwambie nampenda!!!

nyie watoto hapa mi mamkubwa kuna kitu nimemiss au? Suprise hebu mueleze mamito nini kinaendelea hapa!
hongera sana mpenzi!penda wewe sana!nilete ubuyu,juice ya miwa?maghimbi,chokletI?au nilete nini!
 
Last edited by a moderator:
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???
Mara nyingi sio zote,umri ni muhimu sana ktk hii kitu,sikui huyo jamaa ana umri gani?unajua hata kama ukiwa mtaalamu vipi wa haya mambo ukifika age fulani mambo mengine unagundua hayana nafasi ktk future,ok bt umejitahidi kumpa kitu roho inapenda kwa kupungua 20kg,duuu HONGERA SANA,hebu cheki...pungua....ahhh umepungua sana nenepa....mhhh,hivi ulivokuwa unapungua alikuwa hakuoni?huyu jamaa sisemi kama hakupendi bt bado hajakomaa,hatofautishi mapenzi ya kutamani na kuishi daima,JE?Ukija kuzaa je watoto 2/3 si ndo nyumba ndogo itakuwa tulizo,jamaa hajui nini anachopenda...tumia na za kwako kama mbayuwayu....
 
Sina uhakika utakapojifungua watoto wawili atakwambiaje!!
Jarib kufikiria mwenyewe!
 
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???[/QUOT

labda wanampango wa kufungua kampuni ya modeling!! Huyo jamaa yako hajielewi anataka aina gani ya mwanamke, inawezekana alikufata wakati ana heartbroken....
 
hahahah mamito hujui?? Suprise aliiga mambo ya 1nite stand si akazawadiwa kizygote....hapo alipo kishajaa.....
nyie watoto hapa mi mamkubwa kuna kitu nimemiss au? Suprise hebu mueleze mamito nini kinaendelea hapa!
hongera sana mpenzi!penda wewe sana!nilete ubuyu,juice ya miwa?maghimbi,chokletI?au nilete nini!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom