Simuelew anapenda mwili au mimi!!!

Simuelew anapenda mwili au mimi!!!

Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???
Kwani hao wake za marafiki zake wapoje kimaumbile?
 
Shosti hebu nisaidie hyo kitu ulotumia kupunguza kgs manake mie nina 70kgs afu nikitembea kidogo nahema kweli nataka kukata 20kgs
 
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???

WTF, nimekasirika utafikir ni mimi. huyo ni hamnazo kweli... to me hana upendo wa dhati, anapenda mwonekano wa nje (mwili wako). Sasa akikuoa ukawa na vipingili pingili baada ya kuzaa atakuacha????? By the way ... yeye mwenyewe anafikiri huo mwili wake alionao utakuwa hivyo milele???

Mwili wa binadamu unakutana na mabadiliko kibao kila kukicha kwa sababu mbalimbali ugonjwa, umri , ajali n.k. HE IS NOT MATURED at all.

How old is he??? Hawa ni wale humu JF wanawaitaga wavulana alaaa!
 
Yaani umepungua kilo 20!!! kweli umefanya jitihada aisee...
Turudi kwenye topic, hapo dada ninahisi unapotezewa muda, kama anapenda wasichana wenye miili ya kawaida kwa nini alikutafuta wewe mnene...
Kama bado unampenda na hutaki kuachana naye binafsi nakushauri hamia plan B....hakikisha kunako 6 x 6, una mpa mambo mpaka anapata breini konkasheni in that way hatajali sana umbo lako...

Huyu jamaa hana lolote wala hajui anachokipenda ni kipi coz ktk uzi cuchi anasema hivi

"wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba." halafu ..

"Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???"

  • HUYU MTU ANAJITAMBUA kwelii??

Last edited by a moderator:
Ebwanae!;Jamaa kigeugeu! Mbaaaya!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Yaani umepungua kilo 20!!! kweli umefanya jitihada aisee...
Turudi kwenye topic, hapo dada ninahisi unapotezewa muda, kama anapenda wasichana wenye miili ya kawaida kwa nini alikutafuta wewe mnene...
Kama bado unampenda na hutaki kuachana naye binafsi nakushauri hamia plan B....hakikisha kunako 6 x 6, una mpa mambo mpaka anapata breini konkasheni in that way hatajali sana umbo lako...

Weweee! Unataka mwenzio apate breini konkasheni halafu bibie atabaki na nani?
 
Huyu boya wako ni wa aina ya wale watu wasioishi maisha yao, af ndo wale siku ukikaribia kuzaa atakwambia bora operation..

Baadae atakwambia bora ungezaa kawaida mishono haipendezi, au ukizaa kawaida atakwambia nanhii yako kama koliflawa, sasa sijui ujiue ama!!!

Kwa kifupi jipende wewe kwanza, jiangalie wewe upo comfortable na nini..unene mwingi si mzuri na wembamba mwingi si mzuri.,so unafurahi UKIWAJE.

Then kama hayupo okay na ulivo bora kujikacha mapemaaa maana mwisho atakwambia moyo wako unadunda kwasauti uchomoee!!!!

Me in ishuz za hivo.. Swts comes first!!hataki aumbe wake amtakae yeye!!

Maana huyo anaishi maisha ya bongo movies kuangalia nani anafanya nini aige!!!

Tafakari chukua hatua...Love urself na ujiangalie utakuwa happy wapi even after marriage!!

Pole sana ila jamaa ako ANABOAA!
 
Last edited by a moderator:
I'm 23 nilikuwa na kilo 80 nimepungua sa hv nina 60!

Kumbe he was right kukwambia upungue!!coz at the age of 22 ulikuwa na kilo 80 mmh it wasnt healthy at all..mi niko 9yrs older with my 62kg..Ila hapo sioni mwanaumume,how old is he??mana hata ww bado uko so young kuanza kuhangaika na ndoa..umemaliza chuo??piga masterz tafuta gud job kwanza then uutapata matured men huko..all i see from the so called bwana harus to be ni utoto na ushamba
 
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???

una kila sabbau ya kushukuru coz huyo mpenzi anapenda mabadiliko ya kiumbo kama maji na barafu of which is nt a big deal lakini ukimuendekeza atahamia kwenye mabadiliko ya kikemia hapo ukifata huna ujanja maana huwezi rudi awali ng''oooooo, ataanza we mweusi nataka uwe mweupe, them umetisha rudisha rangi yako ya asili, mara ooh fanya operation uongeze hips, mara oohh, nadhan u have already know wot i min, tek care siku njema huonekana asubuhi asije akaishia kukupa ulemavu akakumwaga, sema nae kinagaubaga
 
Shosti hebu nisaidie hyo kitu ulotumia kupunguza kgs manake mie nina 70kgs afu nikitembea kidogo nahema kweli nataka kukata 20kgs

na safari zote hizo mara mwanza mara ..... bado mzito shost
 
pole sana , , ,ingekuwa tofauti kama ungebadilika baada ya kuwa naye au ingekuwa tofauti kama mngekuwa mnashauriana kuhusu afya zenu au muonekano wenu..... ila hii ya kushinikizana na kucompare na wake za marafiki zako ,atakuwa hajitambui huyo na tatizo siyo wewe ni kichwa chake na selfesteem yake ipo very low.

jaribu kumbadilisha ajiamini na atumie akili zake zaidi ya mazingira ,otherwise ni stress tu hapo
 
Ndoa ni zaidi ya show off, jadilini haya mambo mapema.
 
watch out my dear...! mizengwe inaanza hata kabla ya ndoa! sasa akisha kuoa then ukazaa na body morphology ikabadirika kutokana na kuzaa na mambo mengine ya kimaisha na mabadiriko ya mwili for sure atatafuta 'somebody' nje ya ndoa sawa na taste yake! sikutishi lakini fact ndo hiyo!
 
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???

kwa kweli u did a great job,kupunguza kilo 20 si mchezo,mi naona huyo mwanaume hajui nini anapenda coz anachofanya ni kukulinganisha na wake za marafiki zake ilihali wewe ni mpenzi wake yeye na si mpenzi wa marafiki zake.sifa ya mwanaume ni kujitambua na kusimamia anachokipenda yeye kama yeye.kwa hiyo mke wa rafiki yake akipata watoto mapacha na wewe itabidi uwatafute hadi uwapate,maendeleo ya nyumbani kwenu mtakuwa mnacopy kwa nmarafiki zake pia,think outside the box my dia
 
WTF, nimekasirika utafikir ni mimi. huyo ni hamnazo kweli... to me hana upendo wa dhati, anapenda mwonekano wa nje (mwili wako). Sasa akikuoa ukawa na vipingili pingili baada ya kuzaa atakuacha????? By the way ... yeye mwenyewe anafikiri huo mwili wake alionao utakuwa hivyo milele???

Mwili wa binadamu unakutana na mabadiliko kibao kila kukicha kwa sababu mbalimbali ugonjwa, umri , ajali n.k. HE IS NOT MATURED at all.

How old is he??? Hawa ni wale humu JF wanawaitaga wavulana alaaa!

He is 30, yaaaan hta simuelew jaman,
 
Shosti hebu nisaidie hyo kitu ulotumia kupunguza kgs manake mie nina 70kgs afu nikitembea kidogo nahema kweli nataka kukata 20kgs

nimetumia asali na mdarasini, na pia products za forever kuna juice na dawa ingawa ni gharama ila nzuri sana ingawa mi yamenifika shingon
 
Kumbe he was right kukwambia upungue!!coz at the age of 22 ulikuwa na kilo 80 mmh it wasnt healthy at all..mi niko 9yrs older with my 62kg..Ila hapo sioni mwanaumume,how old is he??mana hata ww bado uko so young kuanza kuhangaika na ndoa..umemaliza chuo??piga masterz tafuta gud job kwanza then uutapata matured men huko..all i see from the so called bwana harus to be ni utoto na ushamba

Yaaaa ndo nimemaliza degree na nasoma masters evening classes, napiga kazi mkuu ila nilitaka kutulia ila naona nimepata stress
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom