Simuelew anapenda mwili au mimi!!!

Simuelew anapenda mwili au mimi!!!

kg 20 ni nyingi sana kupungua, hongera sana, na pole sana, but kuwa makini kwani huyo man anaonekana kama anaishi kulingana na watu, yaani maisha yake yanaundwa na maisha ya wengine, hana maamuzi,na mwanaume asiye na maamuzi basi bado sana katika kuleta mabadiliko na maendeleo kwenye familia na jamii kwa ujumla, yaan kila akikuambia kitu anacompare na rafiki zake, ooh wake za rafiki zangu wapo hivi,mara anaogopa kutoka out na wewe kisa kuogopa watu.. natamani ningempata huyo kijana wapo nimfunde kwanza maana bado hajawa mwanaume wa kweli, hata kuoa anafanya hivyo maana rafiki zake wamefanya hivyo, na wakiachana na wake zao na yeye bila shaka atafanya hivyo coz maisha yake totally ni ya kuiga au kuigiza, be careful.Ninachokushauri,kaa nae mzungumze, mwambie kuwa maisha yako wewe na yeye hayawahusu wengine, mwambie vile unajisikia baada ya yeye kukubadilikia kila unapofanya mabadiliko ya mwili wako,. feel free, mapenzi ya uwazi ndo mapenzi hasw.. best of luck, usisahau kuchukua mchango kwangu vikao vikianza.
 
kama unaolewa na huyo,atakupa pressure kila siku kwa sababu hajui mke na outside beauty haina maana,......viserengeti boys na visharobaro ndio huwa wanaangalia hayo mambo nahisi ndiye uliyemuopoa....

tupe tip ya kupunguzan unene lol:lying:
 
Pole sana. Huyu alikupenda wakati ukiwa mnene lakini baadaye akataka upunguze mwili ili uwe mwembamba kama wake wa rafiki zake, ukawa mwembamba ili kumridhisha sasa anasema umekuwa mwembamba kupita kiasi hata kutoka nawe ni aibu. Huyu ni mtu ambaye hana msimamo na hajui anataka/anapenda nini. Inabidi uwe na msimamo mkali wa hili la webamba na unene vinginevyo atakuendesha sana hata ndoa kama itakuwepo utaiona chungu. Kila la heri na maandalizi ya ndoa.

Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???
 
Labda mwanzo ulikuwa mzito alikuwa anashindwa kukubeba sasa now umekuwa mwepesi sana hata akikupakata inakuwa hamna kitu.
 
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???
Napendaga maturboo{BBW} Njoo kwangu...Ni PM Tuangalie uwezekano mi bado nipo single...Rudisha weight yako ile ile mpendwa asikuumize akili huyo mtazama vya wengine/anaiga tembo kunya.
 
Binti unachekesha! Kwa hiyo huyo mchumba wako alitaka upungue kwa ajili ya shinikizo la wake wa marafiki zake? Kwani wake wa marafiki zake waliongea nini hadi wafikie kukudiscuss na walikuwa wanaongelea wapi ambapo marafiki zake walikuwa na wake zao lakini yeye hakuweza kwenda na wewe?
Pengine hao "wake wa marafiki zake" wamemwambia mwanamke gani ''unataka kuoa hakufai'' hivyo akaamua kukuambia uslim lakini mbona baada ya kupunu sana anaanza tena mawenge ? Kwani hao wake wa marafiki zake si wanakufahamu? Kilichowazuia wao ukueleza wenyewe hadi wamwambie mchumbako ni nini?
Kuna walakini, unahitaji kuchukua maamuzi mazito maana mkishaoana ukapata watoto usitegemee mwili utaenelea kukubali kuwa twisted kiasi mnachotaka. Pengine wakati huo atakuja na jipya kabisa kuwa matiti yako yamenyonywa jaribu kuyasimamisha! ha! ha! ha!

Vijana wa siku hizi bwana! Jamani mi napita kidogo!
 
Hapo tu hajakuoa,na wanawake wengi wakisha zaa hunenepa hasa wanaponyonyesha ss jiulize itakuwaje? Na utakuwa ndani ya ndoa.
 
Umenikumbusha kijana aliyekuwa anataka kuoa binti mnene kwa mipango ya kumpeleka gym mara tu baada ya kumuoa ili apungue uzito kisa wake za marafiki zake ni wembamba. Kwa ujumla nilimpa ushauri nasaha na akanihakikishia kuwa ameelewa.

Ila na wewe binti naona una behave kama robot yaani ina maana wewe huna msimamo wowote kuhusu muonekano wako. Ukiambiwa pungua uzito unaanza kujinyima chakula, kufanya mazoezi na kula midawa ya ajabu ajabu. Sasa amekwambia umekonda sana sijui utaanza tena kula kizembezembe? Siku nyingine akikwambia weusi wako umezidi utatafuta mkorogo ujichune?. Lazima uwe na msimamo na mtu akupende kulingana na ulivyo. Ukiruhusu kuyumbishwa kama "pendlum" utapata shida sana kwenye maisha yako ya mbeleni.
 
Binti unachekesha! Kwa hiyo huyo mchumba wako alitaka upungue kwa ajili ya shinikizo la wake wa marafiki zake? Kwani wake wa marafiki zake waliongea nini hadi wafikie kukudiscuss na walikuwa wanaongelea wapi ambapo marafiki zake walikuwa na wake zao lakini yeye hakuweza kwenda na wewe?
Pengine hao "wake wa marafiki zake" wamemwambia mwanamke gani ''unataka kuoa hakufai'' hivyo akaamua kukuambia uslim lakini mbona baada ya kupunu sana anaanza tena mawenge ? Kwani hao wake wa marafiki zake si wanakufahamu? Kilichowazuia wao ukueleza wenyewe hadi wamwambie mchumbako ni nini?
Kuna walakini, unahitaji kuchukua maamuzi mazito maana mkishaoana ukapata watoto usitegemee mwili utaenelea kukubali kuwa twisted kiasi mnachotaka. Pengine wakati huo atakuja na jipya kabisa kuwa matiti yako yamenyonywa jaribu kuyasimamisha! ha! ha! ha!

Vijana wa siku hizi bwana! Jamani mi napita kidogo!

Sio hilo tu siku nyingine rafiki ataoa mwanamke ana wowowo kubwa na huyu atamwambia mke wake wowowo lake limepungua siyo kama zamani hivyo ale dawa za mchina. Sijui binti atakubali na hilo. Lakini naona kama huyu binti yuko desperate anawea kukubali. Mimi napenda wanawake wenye msimamo kwa mambo ya msingi na wasioona shida kusimamia misimamo yao.
 
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???

Yamekukuta eeeeeeeehhh!!!!! Hangaika naye!! si umeyataka mwenyewe. Hujalazimishwa!!!
 
Kaa nae na hili swali uliloleta hapa umuulize yeye kama anapenda umbo au inside beuty?
 
wanaume hawajielewi wanataka nini, we kuwa na mwili wako unaoona unakuridhisha, sio kumsikiliza kila anachotaka
 
Dada pole hapo unagegedwa tu, hakuna mtu wa kuoa hapo. Na jinsi ya maelezo yako utakapopata kilema chochote ndio hitimisho lako.
 
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???

huyo bado ni big boy, bado hajajua nini maana ya mke, je ukipata shida ambayo itapelekea umbo lako kuharibika inakuwaje?
Haitaji mke wa kuoa ila mke wa maonyesho!
Watch out binti
 
kwanza kupungua sana is not healthy. Naomba uje unapaswa kuwa na uzito kiasi gani kitaalamu, kabla ya kujipunguza sana! Na kama mmeanza hivyo, mbona sioni mbele?ukibeba mimba utajipunguzaje? ukiwa unanyonyesha utafanyaje???????????????endless questions!

Acheni fikra potofu, unene au uzito mkubwa wakati wa ujauzito hauepuki lakini baada ya kujifungua ni kujiendekeza na mila potovu kuwa mmama kutoka uzazi umenenepa ndo afya na kujua kulishwa,mmama nae anabugia malita mengi ya uji na mitori ili anenepe wakati kuna lishe zingine nyingi tu na za afya kwa mama kama huyo.
 
nimeipenda hii...
 
Yaani umepungua kilo 20!!! kweli umefanya jitihada aisee...
Turudi kwenye topic, hapo dada ninahisi unapotezewa muda, kama anapenda wasichana wenye miili ya kawaida kwa nini alikutafuta wewe mnene...
Kama bado unampenda na hutaki kuachana naye binafsi nakushauri hamia plan B....hakikisha kunako 6 x 6, una mpa mambo mpaka anapata breini konkasheni in that way hatajali sana umbo lako...
Haya mambo ya kumteka mtu kwa usanii kwenye ngono yamepitwa na wakati. Hatudanganyiki!
 
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???

Hakutaki huyo anatafuta sababu kwa wakati anakutongoza hakukuona kuwa wewe ni bonge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom