mi nafikir hajui huyu!lol!Sijui my dear baby sis. Ila siku akiniona mie na hizi kg 100 atakuja kukunywesha mafuta ya kitimoto ili uwe kama mimi.
Unajua kukimbia?
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???

Huyo atakusumbua. Inaonekana hana maamuzi binafsi, maamuzi yake inategemea wake za marafiki zake wanaonekanaje...Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???
Na kuna siku atataka roho yake sijui atampa..???!!na nyie wanawake bana kwa nini mnapenda sana kuendeshwa na wanaume? baadae atakwambia nataka uwe na makalio makubwa utaenda kwa wachina kufanya mambo
Na kuna siku atataka roho yake sijui atampa..???!!
He is 30, yaaaan hta simuelew jaman,
na nyie wanawake bana kwa nini mnapenda sana kuendeshwa na wanaume? baadae atakwambia nataka uwe na makalio makubwa utaenda kwa wachina kufanya mambo