kwanza kupungua sana is not healthy. Naomba uje unapaswa kuwa na uzito kiasi gani kitaalamu, kabla ya kujipunguza sana! Na kama mmeanza hivyo, mbona sioni mbele?ukibeba mimba utajipunguzaje? ukiwa unanyonyesha utafanyaje???????????????endless questions!
Yaani umepungua kilo 20!!! kweli umefanya jitihada aisee...
Turudi kwenye topic, hapo dada ninahisi unapotezewa muda, kama anapenda wasichana wenye miili ya kawaida kwa nini alikutafuta wewe mnene...
Kama bado unampenda na hutaki kuachana naye binafsi nakushauri hamia plan B....hakikisha kunako 6 x 6, una mpa mambo mpaka anapata breini konkasheni in that way hatajali sana umbo lako...
Before doing anything you better understand that men are form Mars and women are from Venus..in that sense we differ!
Kwani na wewe hujamwambia apungue au aongezeke?.. ina maana na wewe waume za marafiki zako wako kama yeye??...
Mara nyingi na sisi wanaume huwa hatujulikani ni nini tunataka kwa wake zetu!!...i feel sorry for you so to speak...
My take,a good beginning makes a good ending and vice versa...watch out!
Muonekano mzuri ni kwa ajili ya afya yako! So ukibongeka au kuwa chikonde lazima uambiwe uchukue hatua! Bora huyo anayekwambia kuliko anaetafuta substitute!
Niambie njia uliyotumia kupunguza hizo 20KGs ndani ya mwaka!!!!!!!????????? Please!!!!!!! Kizuri kula na wenzio! Nipe bana diet hiyo nianze mara moja!
Mi ndo maana ni m'binafsi sana aisee. Nitapungua uzito kwa ajili YANGU! Nitapungua kwa ajili ya afya yangu binafsi, urembo ama muonekano wangu binafsi, na kama ni kwa ajili ya kuenjoy sex mimi binafsi! Nitavaa nguo flani ama viatu kwa ajili YANGU!
Siku utamkuta huyo baba na tinginya lenye kg 150 ama kimbaumbau chenye kg 35 usipozimia utakufa. Kama alikuwa anawapenda wembamba hakuwaona barabarani hadi akukondeshe! Wallah ningekuwa wewe, sijui kama bado angeitwa mchumba huyo!
Dada kwani wewe mwenyewe hujielewi? Umeanza vibaya sana, kwani ni nini unataka? Ulikuwa comfortable ulipokuwa mnene? Ulipendendelea kupungua au kubaki mnene? na kama kupungua ni kwa kiasi gani dear?
Niliwahi kuwa kwenye situation kama yako alisema yote lakini sikufanya juhudi yoyote ya kupungua kwani haikunibother that much baadae nilipoamua na kuona sasa nataka nirudi size 10 nilifanya jitihada mwenyewe bila msukumo wa mwanaume. Ushauri wangu ni kufanya kile unachopendezwa nacho, epuka kumpendeza mtu hasa linapokuja suala la mwili wako unless uko kwenye health risk. Be yourself na jipende ulivyo, hapo kaanza hivyo na mwili kesho atakuambia mavazi kwani anataka mke wa maonyesho? Ningekuwa miye ningerun as fast as i can before i tie myself kwenye ndoa
ni hivi anataka uwe unonekana fresh ili hata ukitambulishwa kwa rafiki zake yeye mwenyewe aone fresh na rafiki zake wakubali kwamba uko fresh..so usiwe mwembamba kama kimbau mbau au usiwe mnene..kama sanamu la michelin...nafikiri umenisomaMmmmhh jaman mi hta sielew!!!!