Simuelew anapenda mwili au mimi!!!

cuchi

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
218
74
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???
 
kwanza kupungua sana is not healthy. Naomba uje unapaswa kuwa na uzito kiasi gani kitaalamu, kabla ya kujipunguza sana! Na kama mmeanza hivyo, mbona sioni mbele?ukibeba mimba utajipunguzaje? ukiwa unanyonyesha utafanyaje???????????????endless questions!
 
Pole dada. Kuna wanaume ambao wanapenda show off,lakini mweke chini na umwambie we ni mkewe mtarajiwa,akupe heshima yako.
Hivyo vikorombwezo asivijali bali ajali misingi yote ya uchumba wenu,heshima.upendo,subira na kiasi.
 
Yaani umepungua kilo 20!!! kweli umefanya jitihada aisee...
Turudi kwenye topic, hapo dada ninahisi unapotezewa muda, kama anapenda wasichana wenye miili ya kawaida kwa nini alikutafuta wewe mnene...
Kama bado unampenda na hutaki kuachana naye binafsi nakushauri hamia plan B....hakikisha kunako 6 x 6, una mpa mambo mpaka anapata breini konkasheni in that way hatajali sana umbo lako...
 
Before doing anything you better understand that men are form Mars and women are from Venus..in that sense we differ!
Kwani na wewe hujamwambia apungue au aongezeke?.. ina maana na wewe waume za marafiki zako wako kama yeye??...
Mara nyingi na sisi wanaume huwa hatujulikani ni nini tunataka kwa wake zetu!!...i feel sorry for you so to speak...
My take,a good beginning makes a good ending and vice versa...watch out!
 
ppole sana kadadaa huyo anataka kukuzingua hebu mkalishe chin umueleze a-z kilie alicho taka umefanya lkn bado hajaridhika ebu kaa nae chini mwelezane vzr kwa hekma na busa bila ugomvi
 
ulikuwa na kilo ngapi b4 minus 20kg?

kama anaona umepunguwa sana, basi tafuta wasitani, mean ongeza 10kg atakupenda, au mwambie anataka upunguze kilo ngapi?

wt ur age?
 
Yaani umepungua kilo 20!!! kweli umefanya jitihada aisee...
Turudi kwenye topic, hapo dada ninahisi unapotezewa muda, kama anapenda wasichana wenye miili ya kawaida kwa nini alikutafuta wewe mnene...
Kama bado unampenda na hutaki kuachana naye binafsi nakushauri hamia plan B....hakikisha kunako 6 x 6, una mpa mambo mpaka anapata breini konkasheni in that way hatajali sana umbo lako...
ati brein konkasheni jamani hadi kwenye nanliu kuna brein konkasheni kazi kweli
 
ati brein konkasheni jamani hadi kwenye nanliu kuna brein konkasheni kazi kweli

Ipo sana mkuu, achana kabisa ukikutana na kigoli anayejua kisusumbe vizuri....mbona utahisi kama kucha zataka kunyofoka!!!
Maana maungo yote yanakua yanatetemeka kama injini ya trekta!!
 
Huyo anataka Roho yako, maana kama umefanya anavyotaka bado analalamika mhhhh! muangalie kwa jicho la 3, usije ukawa unapoteza muda wako.
 
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???

Hongera sana, umetumia madawa gani hadi kuunguza kilo 20? Mwanzoni ulikuwa na kilo ngapi?

About mchumba wako, nenda naye taratibu asikupe homa sana; alipaswa kukuambia upungue sio kwa sababu mashemeji zake ni viportable bali kwa ajili ya afya au hata muonekano wako. Kumcompare mtu wako na wengine ni vibaya sana, ni kutojiamini.
 
Kwani kukuambia umepungua sana ndio kipimo cha upendo??? Kakwambia kwa kuwa anakupenda...angekua hakupendi angesepa kimya kimya...
 
Muonekano mzuri ni kwa ajili ya afya yako! So ukibongeka au kuwa chikonde lazima uambiwe uchukue hatua! Bora huyo anayekwambia kuliko anaetafuta substitute!

Niambie njia uliyotumia kupunguza hizo 20KGs ndani ya mwaka!!!!!!!????????? Please!!!!!!! Kizuri kula na wenzio! Nipe bana diet hiyo nianze mara moja!
 
Mi ndo maana ni m'binafsi sana aisee. Nitapungua uzito kwa ajili YANGU! Nitapungua kwa ajili ya afya yangu binafsi, urembo ama muonekano wangu binafsi, na kama ni kwa ajili ya kuenjoy sex mimi binafsi! Nitavaa nguo flani ama viatu kwa ajili YANGU!

Siku utamkuta huyo baba na tinginya lenye kg 150 ama kimbaumbau chenye kg 35 usipozimia utakufa. Kama alikuwa anawapenda wembamba hakuwaona barabarani hadi akukondeshe! Wallah ningekuwa wewe, sijui kama bado angeitwa mchumba huyo!
 
Kukuambia hajafanya vibaya ila hiyo "wake wa marafiki zangu....." sio nzuri siipendi hata kidogo!!!!!!!!
 
Dada kwani wewe mwenyewe hujielewi? Umeanza vibaya sana, kwani ni nini unataka? Ulikuwa comfortable ulipokuwa mnene? Ulipendendelea kupungua au kubaki mnene? na kama kupungua ni kwa kiasi gani dear?
Niliwahi kuwa kwenye situation kama yako alisema yote lakini sikufanya juhudi yoyote ya kupungua kwani haikunibother that much baadae nilipoamua na kuona sasa nataka nirudi size 10 nilifanya jitihada mwenyewe bila msukumo wa mwanaume. Ushauri wangu ni kufanya kile unachopendezwa nacho, epuka kumpendeza mtu hasa linapokuja suala la mwili wako unless uko kwenye health risk. Be yourself na jipende ulivyo, hapo kaanza hivyo na mwili kesho atakuambia mavazi kwani anataka mke wa maonyesho? Ningekuwa miye ningerun as fast as i can before i tie myself kwenye ndoa
 
Ipo sana mkuu, achana kabisa ukikutana na kigoli anayejua kisusumbe vizuri....mbona utahisi kama kucha zataka kunyofoka!!!
Maana maungo yote yanakua yanatetemeka kama injini ya trekta!!
Mhhhhh ndugu yangu iliwahi kukukuta nini?maanake sio msisitizo huo!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom