Simuamini tena mke wangu!

Simuamini tena mke wangu!

Hehehe tafuta small hausi. Si ndo suluhisho la ndoa za sasa?
 
...angebaki kwao basi...wanawake wa siku hizi mana matatizo gani...?

kwao kufanyanini? Si ameolewa huyo mwanamke? Kwani ukiambatana na mumeo ndo hata kwenu usitoe msaada? Tatizo lao hawana effective communication baaaas!
 
Naomba tufunge mjadala make nimeoona regrets za mlengwa! Pengine alipata ushauri mbaya! Anaomba po ila mm sijakubali nitaamua kwa akili yangu nn kifanyike na nimemwambia sintoomba hata sent tano yake ktk maisha yangu! Ameregreaj sana ila mm sipo tena tayari kuendelea na relationship hii! Toka moyon kabisg amenipigia cm nying sana sijapokoea hata moja nina hasira sana make nimemsomesha huyv mtu!

hee! Wewe so kama umemsomesha? Kuuumbe! Unataka kulipwa fadhila eeeh? Hapa ndipo unapokoea..so ukimuacha hasara kwanani? Si kwa mtoto wako ebo!.. Then ninawaswas hujawahi hudhuria mafundisho ya ndoa wewe au hujafunga naye ndoa huyo bibie ndio maana hujiamini! Wacha hizo mambo utawaacha wangapi?
 
Ukimuuliza huyo mwanaume kama alishawahi kutuma hela kwa wakwe zake utashangaa majibu. Utashangaa zaidi ukimuuliza na yeye ameshatuma hela ngapi kwao ndo utakoma. Hukawii kukuta anamjengea dadake!
kwao kufanyanini? Si ameolewa huyo mwanamke? Kwani ukiambatana na mumeo ndo hata kwenu usitoe msaada? Tatizo lao hawana effective communication baaaas!
 
hee! Wewe so kama umemsomesha? Kuuumbe! Unataka kulipwa fadhila eeeh? Hapa ndipo unapokoea..so ukimuacha hasara kwanani? Si kwa mtoto wako ebo!.. Then ninawaswas hujawahi hudhuria mafundisho ya ndoa wewe au hujafunga naye ndoa huyo bibie ndio maana hujiamini! Wacha hizo mambo utawaacha wangapi?
We kumbuka, huyo ni mumewe na si kaka yake. Does not make sense kwamba kwenu unapeleka hela kibao halafu ukatae kulipa ada ya mwanao. Kama unadhani ada ni ya mume pake day in day out, huko anakopeleka hela hhakuna baba..??? Au hakuna akina kaka ambao nao kuna watu wanawaita baba..??? Au mume wa huyo bidada ndo baba pekee hapa duniani...??? Kuna wanawake mmelelewa kuwa tegemezi kwa wanaume and at the same time kila kukicha mnalalamikia mfumo dume... Huo mfumo mnaujenga wenyewe kwa imani kama hizi kwamba hili anatakiwa afanye baba hata kama kakueleza hali yake kifedha wakati huo...
 
Pole mkuu. Huyu mama amezidi mtoto wake wa kuzaa ashindwe kumlipia ada..tena kwa sababu mmewe amekwama, sasa anafanya kazi ya nini. Si aache kazi basi awe mama wa nyumbani.
Unasema huyo amezidi! kuna huyo mama anauza hadi chakula cha kula watoto wake store halafu anarudi zake chuo arusha.
 
Hebu fanya yafuatayo ingawa ni maamuzi magumu:-
1. Tafuta ada hata kwa kukopa kwa ajili ya mwanao
2. Fanya mpango uwachukue wanao ukae nao na utafute mdada wa kuwahudumia
3. Acha kumshirikisha mambo yako huyo mwanamke
4. Usimtembelee wala usimwambie maendeleo ya wanao.
Mambo hayo yote uyafanye hadi atakapojirekebisha mwenendo wake na atakapokubali mkae chini na kupanga maisha yenu ikiwa ni pamoja na kukubaliana majukumu yenu kwa ajili ya maendeleo yenu.

Kutetea majibu ya huyo mwanamke ni kuzidi kumdhalilisha mwanamke.

Huo ni ushauri wa kiume kabisa, pia itamsaidia jamaa kujua msimamo wa huyo mkewe kwenye ndoa yao.
 
kwao kufanyanini? Si ameolewa huyo mwanamke? Kwani ukiambatana na mumeo ndo hata kwenu usitoe msaada? Tatizo lao hawana effective communication baaaas!
....Umesoma post yake hujaisoma...sijaona mahali alipoandika kwamba kwao kuna shida anatoa msaada...ila anafanya biashara na ndugu zake...!!! Mkioana mnajenga FAMILIA yenu wanandoa kwanza ..especially kama ndoa ni changa..na huko kwnye kujenga kuna mambo ya msingi..kama hilo la mtoto kwenda shule.....wanawake wa siku hizi u have to change ur perception...angalieni hata wenzenu nchi zilivyo endelea wanavyo angangaika kujenga familia zao..hasa kwenye elimu na mahali pa kuishi...
 
[QUOTE=inaonye mke aliwahi tu kuolewa, lakini bado anapenda kuishi kwao. Ww wakiume parangana!
 
Mwanamke co mtu wakumweka akilini ukiwa kama mwanaume cha msingi kwa mwanaume aliyeko au anaetegemea kuingia ndani ya ndoa ukubali kukumbana na changamoto nyingi zidi ya hawa wakina hawa aka wanawake mara nyingi kwa akili zao wanajua kabisa kuwa mwanaume ndiye head of family kwa hiyo kila kitu kinamhusu iweje yeye aingie mfukoni wakati yuko mwanaume?kwa mwamamke usipotoa mahitaji wewe co mwanaume wa kweli yaani jembe wakati wote ukiambiwa leo hakuna hiki ATM ikuhusu.Ila napata shida sana kujua wanawake ni watu wa sampuli gani sifa zao ni moja hata angekuwa vp cjui ndo mfumo dume ndo ulio tawala akili zao wakaadhirika saikolojikali tokea enzi za mababu zetu napata shida kutambua,mwanamke ni mchumi -------- kwanini nasema hivyo awe ameolewa hajaolewa awe mwajiriwa au kajiajiri pesa zao ni kwa ajili ya mambo yao binafsi aidha kwa familia ya kwao na nk.Tamati ni kwamba mwanaume yakupasa kuishi na hawa viumbe kwa akili kuepusha zahama walizo rithi kwa hao mabibi zao wakale ila mfumo dume bado wanaupenda na wewe mama mwenye mtoto wakiume usije ukamlalamikia mwanao kuwa hakupi hela hata sent tano ni mwali wako anatunza kwao na ukiona mwanao wakike anatuma hela sana nae anavuna kule kwa mumewe nae wakwe zake nao wanalia kila aina ya maneno wanampa ila ndo ngoma droo yaani kula na mimi nile.
 
Ukimuuliza huyo mwanaume kama alishawahi kutuma hela kwa wakwe zake utashangaa majibu. Utashangaa zaidi ukimuuliza na yeye ameshatuma hela ngapi kwao ndo utakoma. Hukawii kukuta anamjengea dadake!
na wewe ndio walewale puuuuuu! we inaelekea umelelewa maisha ya mfumo dume na mfumo kike,kwamba mfumo kike tunafanya hivi,mambo yeti ji haya,ns kuwa mfimo dume ni huu na mambo yao ni haya
 
Hi pole mkuu! Inategemeana na mlivyopanga maisha yenu tangu mwanzo. Wote wawili mnafanya kazi, je matumizi yake mnaya-account vipi?? Wewe kama CEO wa familia ulitakiwa upange na mkeo from the beginning, wakati huohuo kuwe na transparency and effective communication kati yenu. Was it worth kwa yeye kufanya kazi mbali na wewe? Mliangalia pro and cons of that. Kutokana na maelezo yako inaonekana mmekosa kuaminiana kati yenu hasa kutokana na matumizi! Angalia usije ukafulia na katoswa na kushia kwenye un-expected BP na visukari! Soma alama za nyakati na take the necessary action! Kukimbia sio kutatua tatizo!
 
sm tym wanawake tuna matatizo sana! inashangaza kuona unashindwa kumlipia mwanao wa kumzaa ada ya shule, eti km vipi mtoto akae nyumbani! dah! we mwanamke! pole sana bro. swala la kufanya biashara na dadaake its ok, but kubwa ni mtt kumpa haki yake, na isitoshe mume mambo yameyumba na ukweli mke kaambiwa, dah! aisee hii dunia inamazito sana! binadamu tuna roho za ajabu sana! km kuna ugomvi kati yenu, hizo tofauti zisipelekee kumweka mtoto kwny mazingira magumu na akakosa haki yake ya msingi tena ELIMU! jamani!!
 
Lol! Hivi huyu ni mwanaume kweli anakuja kulalamika juu ya kusomesha mtoto? Mimi hwa najuaga kuwa baba ndie hubeba majukum yote, mama huwa anafanya kama kusaidia tu........... Hii ndio shida yakuwa na mume asiyejua nafasi yake kama mume, kazi kweli.

hivi umepitia post alizosema huyu jamaa? amesema hajawahi hata siku moja kutokutimiza majukumu kama baba wa familia...sasa ujue mpaka kaamua kuleta huu uzi ni kuwa alikwama kipesa na akamuomba mkewe msaada wa ada...hivi nayo ni shida??mna maana mwanaume yeye haishiwi pesa??au nyie hela yenu ni kuremba kucha, nguo kali, pafume,

maana kodi ya nyumba alipe mume, ada alipe mume, michango ya harusi ya wenzako alipe mume, hela ya kukusanya takataka mtaani alipe mume, hela ya ulinzi alipe mume, na hata hela ya kuanza ujenzi wa nyumba mtakayoishi atoe mume pia..mnachosha sana wanawake tena wanawake walioelimika kielimu sasa na degree zao.
 
Ujinga ni pale unaposema kipato cha mkeo ni chake mwenyewe na Ana hiari ya kkpa au kutokupa! Kwa maana nyingine ni kuwa anahiari ya kuhonga mtu mwingine aule wakati familia inateseka. Huu ni ujuha full stop!

jifunze kuandika ukaeleweka acha kutanguliza hasira wakati unaandika ndo mana unaandika hasira badala ya kuandika ulilokusudia.
 
We lea mtoto huyo. Kama unataka akusaidie mkope au muombe sio ufanye kama ndio wajibu wake, ndio utaratibu huo.......Kama unataka alipie mtoto ada basi kubali kuvuliwa u-kichwa wa nyumba. Wewe si ulioa au mmeoana??
 
pole mkuu
sie tunapenda tuhudumiwe..ila penye ulazimu tunatoa,........sasa huyo km ameshindwa kuona priority number one ni mwanenu dah basi tena....nakushauri muongee kiutu uzima mwambie juu ya ulazima wa kushare cost,fungua joint account mpya mgawane nusu kwa nusu kupeleka kny hio account....hivyo kutakuwa hamna lawama
 
Back
Top Bottom