Simuamini tena mke wangu!

Simuamini tena mke wangu!

MTAUNGANA NA KUA KITU KIMOJA:
Mkuu,hapa kidogo napata kigugumizi.
Lakini je, wewe hua unamshirikisha uyafanyayo?
Pengine umemaliza ujenzi kwenu(kwa Wazazi wako)hujamshirikisha.
Yeye kaenda kulalamikia Saloon,
Kapewa ushauri aujuae mwenyewe, nawe humu utapata mengi, lakinii fanya hima muwe pamoja.
Hii mambo ya M1 Dar,mungine Musoma,
Inachangia kwa kiasi kikubwa matatizo kama hayo.
 
Haya ndiyo matatizo ya wanaume wa cku hizi wanaoa wanawake wenye kazi ili kupunguziwa majukumu yao! Aaaagh! Kwani kutuma pesa home ni tatizo? Labda kama hajakushriksha! Je,mlikubalianaje kuhusu matumizi yenu ya pesa?au umemkurupusha tu?afterall mwanaume ndiye mwenye jukumu la kutunza familia zakwangu nitatoa nikiamua tena penye ulazima eboo! usilalamike kakope! ndo uanaume huo!

Ndio maana baadhi huamini kuwa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, maana kila siku wanapiga kelele za kutaka usawa lakini likija suala la pesa wanasahau kuwa walikuwa mavuvuzela wa kutaka usawa. Ni bora waachane na mpango wa kupigania usawa na kujiweka wazi kuwa wao ni viumbe duni ambao hawawezi kufanya mambo ya msingi hivyo wanahitaji kusaidiwa kwa kila jambo.
 
Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy! Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Nije kwenye pt niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahc kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu! Nimfanyaje mke wa namna hii?

Hebu fanya yafuatayo ingawa ni maamuzi magumu:-
1. Tafuta ada hata kwa kukopa kwa ajili ya mwanao
2. Fanya mpango uwachukue wanao ukae nao na utafute mdada wa kuwahudumia
3. Acha kumshirikisha mambo yako huyo mwanamke
4. Usimtembelee wala usimwambie maendeleo ya wanao.
Mambo hayo yote uyafanye hadi atakapojirekebisha mwenendo wake na atakapokubali mkae chini na kupanga maisha yenu ikiwa ni pamoja na kukubaliana majukumu yenu kwa ajili ya maendeleo yenu.

Kutetea majibu ya huyo mwanamke ni kuzidi kumdhalilisha mwanamke.
 
Kuna wanawake wana ubinafsi sana,hata humu kuna wanao toa ushauri kwa vile ubinafsi unawasumbua.Mkuu pole sana,ila hapo hesabu huyo ni hasara.Huko makazini huwa wanadanganyana sana maana kuna makulumbembe ambayo kazi yao ni kuharibia wenzao, kwa hiyo akiwa na ubongo wa kuku anachukua ushauri mzimamzima.
 
Lakini mimi nijuavyo, mwanaume anapaswa kuwajibika kwa kila namna. Ukipata msaada kutokwa kwa mwanamke hiyo ni bahati yako.

sasa ile haki sawa kwa wote maana yake nn?au nanyi mnataka muote p.u.m.b.u.u?!
 
Pole sana ndugu yangu. Ndoa za long distance, especially kwa muda mrefu huwa zina-shortcoming zake, hiyo ni among them. Hata maandiko yana-demonstrate kwamba a ma is a doer and a woman is a helper. Umefanya your part na unfortunately umekwama, jukumu lake ni kukusaidia. Lakini failure ya yeye kurecognize hilo probably imesababishwa na nyinyi kama wanandoa kuishi mbali na kuona kwamba anaweza ku-run mambo yake on her own.
Stage aliyofikia ni mbaya, ya kuamua mtoto ni heri abaki nyumbani, lakini labda amesema hivyo akihisi labda haujakwama bali unataka na yeye aplay role hiyo (just a hunch inategemea na mazungumzo yenu awali). Hilo la kushirikiana na ndugu yake bila ya kukuarifu pia ni tatizo KUBWA. provebs 9:8 inasema Don't correct the impudent, or they will hate you; correct the wise, and they will love you. Yaani usimkaripie mwenye dharau, asije akakuchukia; Mkaripie mwenye hekima, naye atakupenda. Wasting time kujibizana nae wakati kitu kipo obvious(kuhusu kutuma hela) na mtu wa hivyo its agitating. Cha msingi, kama unania ya kuweka mambo sawa na kuokoa ndoa, mnahitaji counselling (as silly as it sounds it might possibly help) pia kuombea sana ndoa yenu na kama ingewezekana mmoja apate uhamisho kwenda kwa mwenzake ili muanze kufanya mambo kwa pamoja.
Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy! Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Nije kwenye pt niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahc kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu! Nimfanyaje mke wa namna hii?
 
Lol! Hivi huyu ni mwanaume kweli anakuja kulalamika juu ya kusomesha mtoto? Mimi hwa najuaga kuwa baba ndie hubeba majukum yote, mama huwa anafanya kama kusaidia tu........... Hii ndio shida yakuwa na mume asiyejua nafasi yake kama mume, kazi kweli.
 
kuna aina za wanawake ni ngumu kuishi nao mkuu!sio swala la kwamba eti ulijengaje swala la ada ya mwanao unahitaji ujengwe kwanza!wanawake wengi wanakuwa wabinafsi sana hata ukimkuta anafanya kazi utakuta hela yake imeshikana na ngozi!me nishajizoelesha hela ya mwanamke sio ya kutegemea ndugu utaumbuka we komaa kivyko mkuu ukisema udeal na ho watu utapagawa tu!
 
Naomba tufunge mjadala make nimeoona regrets za mlengwa! Pengine alipata ushauri mbaya! Anaomba po ila mm sijakubali nitaamua kwa akili yangu nn kifanyike na nimemwambia sintoomba hata sent tano yake ktk maisha yangu! Ameregreaj sana ila mm sipo tena tayari kuendelea na relationship hii! Toka moyon kabisg amenipigia cm nying sana sijapokoea hata moja nina hasira sana make nimemsomesha huyv mtu!
 
Umeona eeh.

Pole zenu wenye wake dizaini hii....yani watoto wangu ni number one kwa kila kitu...niko tayari nishinde njaa wanangu waende shule.

Hawa ndio wanawafanya waume zao waugue BP; kama ela haionekani kuna haja gani ya yeye kufanya kazi...huyo angeolewa na kaka yangu....mkewe anakomaje; maana ana ela ila kwa ubahili alonao mke mwenyewe anajikuta anatoboka maana asipofanya hivyo watoto watatembea bila nguo.

wakati mwingine nasema kaka si bahili ila yuko smart; mkewe ana kipato kizuri sana pia asipobana basi ela ya mkewe ingeishia kwao.

Pole sana Mkuu...Inauma sana kuona mkeo yuko tayari kuona mwanenu anaacha shule kwa madai naye hapa pesa na hapo hapo una ushahidi wa yeye kutuma pesa chungu nzima kwa nduguze. Sijui hata nikushauri nini Mkuu...Pole sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Eeh; na wewe sasa ndio nini???

Yani ndio umsuse mkeo kisa hataki kutoa ela...na wewe jichunguze mapungufu ulonayo.

Tumia maujanja mengine na sio kumnunia mkeo...fikiria issue ikienda kwenye usuluhishi si utaambiwa mwanaume suruali wewe. Hayo mambo usiyakuze tafuta jinsi ya ku deal nayo kwa akili.

Naomba tufunge mjadala make nimeoona regrets za mlengwa! Pengine alipata ushauri mbaya! Anaomba po ila mm sijakubali nitaamua kwa akili yangu nn kifanyike na nimemwambia sintoomba hata sent tano yake ktk maisha yangu! Ameregreaj sana ila mm sipo tena tayari kuendelea na relationship hii! Toka moyon kabisg amenipigia cm nying sana sijapokoea hata moja nina hasira sana make nimemsomesha huyv mtu!
 
Dah! umepotelea wapi banaaaa!? dah!!!!...nimefurahi kukusoma busara zako na hekima tunazikosa hapa jamvini. Watoto wako ni number one hapa duniani, siku zote ndio inabidi iwe hivyo hasa inapokuja kwemye masuala ya elimu yao na malezi yao. Na elimu ilivyokuwa na umuhimu mkubwa na ushindani wa hali ya juu katika dunia hii ya leo, halafu unamsikia mama yao eti ni bora akae nyumbani!!! kama baba yake hana uwezo wa kumlipia!!! wakati yeye anapeleka mapesa chungu nzima kwa ndugu zake...Mke huyu ana roho mbaya sana halafu ni mbinafsi mnoo. Kauli yake inakatisha tamaa.

Umeona eeh.

Pole zenu wenye wake dizaini hii....yani watoto wangu ni number one kwa kila kitu...niko tayari nishinde njaa wanangu waende shule.

Hawa ndio wanawafanya waume zao waugue BP; kama ela haionekani kuna haja gani ya yeye kufanya kazi...huyo angeolewa na kaka yangu....mkewe anakomaje; maana ana ela ila kwa ubahili alonao mke mwenyewe anajikuta anatoboka maana asipofanya hivyo watoto watatembea bila nguo.

wakati mwingine nasema kaka si bahili ila yuko smart; mkewe ana kipato kizuri sana pia asipobana basi ela ya mkewe ingeishia kwao.
 
kwani watoto babao ni nani??
hebu bebeni majukumu yenu kama wanaume. hivi ile miezi 9 na nyinyi mnasaifiaga??. ukiendelea na hio hali mkeo atakudharau. simama kama mwanaume
 
Afadhali na wewe umesema.

Kama hela ya mke hailiwi na watoto au mume nani sasa ataila?

Yaani hata jambo la msingi kama elimu ya watoto?

Mie nimeshangaa kwa kweli.

Umeona eeh.

Pole zenu wenye wake dizaini hii....yani watoto wangu ni number one kwa kila kitu...niko tayari nishinde njaa wanangu waende shule.

Hawa ndio wanawafanya waume zao waugue BP; kama ela haionekani kuna haja gani ya yeye kufanya kazi...huyo angeolewa na kaka yangu....mkewe anakomaje; maana ana ela ila kwa ubahili alonao mke mwenyewe anajikuta anatoboka maana asipofanya hivyo watoto watatembea bila nguo.

wakati mwingine nasema kaka si bahili ila yuko smart; mkewe ana kipato kizuri sana pia asipobana basi ela ya mkewe ingeishia kwao.
 
Mzee jukumu la kusomesha mtoto ni lako wewe baba
mkeo ata akiwa na milioni 900 hizo ni zake
Acha kufuatitilia mkeo kuhusu pesa
Unataka amtumie nani
Hujafundwa wewe nitafute haraka
 
Kutoa hela na kubeba mimba kunahusianaje?

Kwani mwanamme hakuchangia naye mbegu ya mahindi hadi mimba ikatokea?

Elimu na kazi ya mwanamke ina kazi gani kwa jamii yake?

kwani watoto babao ni nani??
hebu bebeni majukumu yenu kama wanaume. hivi ile miezi 9 na nyinyi mnasaifiaga??. ukiendelea na hio hali mkeo atakudharau. simama kama mwanaume
 
Mzee jukumu la kusomesha mtoto ni lako wewe baba
mkeo ata akiwa na milioni 900 hizo ni zake
Acha kufuatitilia mkeo kuhusu pesa
Unataka amtumie nani
Hujafundwa wewe nitafute haraka
kwenye kuosha vyombo and the like wanasemaga wanataka haki sawa, lakini kwenye suala la kulipa ada ya watoto wanasema jukumu la mwanaume.....
 
Back
Top Bottom